Kwanini siku hizi Imekua rahisi sana kufanya tendo na mpenzi wako muda mfupi tu baada ya kuwa wapenzi?

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,727
3,286
Habarini!

Najiuliza sana hili swali nashindwa kupata Majibu kulikoni sasahivi imekua very easy kufanya Mapenzi na mpenzi wako mpya yaani anaweza akakubali asubuhi, mchana akaja mkafanya yenu.

Au akakubali leo kesho akaja, hii imeletwa na nini?

Kitambo kidogo ilikuwa hadi mkae muaminiane, siku hizi mbona imekua hivyo ni kizazi au kuna kingine?
 
Ni Ile Ile ishu ya supply and demand.mbususu zimekuwa nyingi alafu demand imekuwa ndogo.kwa hiyo mwanamke mwenyewe anajua akileta mambo ya Kusema subiri Hadi tuonane au ukajitambulishe nyumbani anahofu unaweza ukapita hivi ukatafuta mbususu zaa take away(Malaya)
 
Kwahio Wanafanya Point of Defence Mapema sana!🤣🤣🙏🙏
 
Habarini!

Najiuliza sana hili swali nashindwa kupata Majibu kulikoni sasahivi imekua very easy kufanya Mapenzi na mpenzi wako mpya yaani anaweza akakubali asubuhi, mchana akaja mkafanya yenu.

Au akakubali leo kesho akaja, hii imeletwa na nini?

Kitambo kidogo ilikuwa hadi mkae muaminiane, siku hizi mbona imekua hivyo ni kizazi au kuna kingine?
Kila huduma imerahisishwa kutokana na matumizi ya teknolojia. Hivyo huduma bora kwa mteja ni pamoja na kupata mahtaji kwa haraka na uhakika.
 
Back
Top Bottom