mfumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Tunafunga mfumo wa umeme kwenye magari bajaji na pikipiki

    Habari Kampuni mpya Toka china JAHA inapenda kuwatangazia watanzania wote wenye vyombo vya usafiri kuwa WANAOTAKA huduma ya kufunga mfumo wa umeme kwenye magari bajaji na pikipiki na kuwezeaha gari bajaji na pikipiki kuweza kutembea Kwa nishati ya umeme. Huduma ya kufunga mfumo wa umeme...
  2. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mzee Warioba ni tunda la mfumo kristo na anachokifanya ni muendelezo wa harakati zile zile

    Friends and Our Enemies, Ukimsikiliza warioba kwa umakini sana utabaini wazi wazi kuwa ni muendelezo wa drama za TEC na Mfumo kristo mara baada ya kufeli kwa harakati zao za kutumia GENZ katika kuichafua nchi hii na kutaka kuifanya isitawalike. Besides Warioba usije ukajiona wewe ni special...
  3. Kitchener

    JamiiForums Tanzania DSM kujengwa mfumo wa trams? zingatieni hili

    Tafadhali, tumesikia tangazo kwamba mnataka kujenga mfumo wa reli kuzunguka DSM nzima, binafsi sijaelewa wanajenga mitaruma ya mireli ili tuwe na tram zinazotembea kwenye makokoto katikati ya mji au wanajenga mfumo wa trams kama nchi zingine. Naomba kutoa tahadhari hii manake bongo kwa upigaji...
  4. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanapigania mfumo kristo kwa kigezo cha utanganyika tuwakatae

    Kuna mlengo fulani wa kupigania Tanganyika huku ikionwa Zanzibar inainyonya Tanganyika Watu hawa Wana ajenda fiche ya udini wakiona kuwa kuikomboa Tanganyika dhidi ya Zanzibar ni kuwatoa waislam madarakani Ndugu zangu hizi ajenda tuzikatae Zanzibar na Tanganyika ni kitu kimoja na ni watu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Robert Alai: Tanzania Shida siyo Samia, shida ni system (mfumo), ili kufanikiwa lazima ing'olewe

    Wakati akizungumza na Radio 47, Robert Alai ameeleza kuwa shida si Rais Samia bali ni mfumo mzima uliopo hivyo ili kufanikiwa ni lazima ung'olewe. Amesisistiza kuwa anaamini kwamba shida siyo Samia, shida ni CCM.
  6. Soul21

    JamiiForums Tanzania MAPENDEKEZO: MFUMO WA "VIWANDA VYA AJIRA" KWA WAHITIMU WA UHANDISI NA UFUNDI

    Tanzania inazalisha maelfu ya wahitimu wenye vipaji katika fani za uhandisi, ujenzi, na usanifu majenzi kila mwaka. Hata hivyo, kuna changamoto mbili kubwa: uhaba wa ajira kwa vijana hawa na utegemezi mkubwa wa makampuni ya nje katika kutekeleza miradi ya miundombinu. Pendekezo hili...
  7. L

    JamiiForums Tanzania TRA imeanzisha Mfumo Mpya Unaitwa IDRAS

    Ndugu Mjasiriamali habari, Kwa miaka kadhaa tumekua tukipiga kelele TRA irahisishe huduma zake ziwe kama za Brela na Tausi maana struggle ilikua ni kubwa. TRA wameanzisha mfumo unaitwa IDRAS ambao ni mfumo unaokuwezesha -kusajili Kampuni yako TRA -Kupata TIN certificate -Kufanya Tax clearance...
  8. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alishalegea, ila sisi tumeingia kwenye mfumo wake kilaini sana

    Za ndani kabisa Unajua zile vurugu za Mo 29, Samia zilikuwa zinampa mawazo siku zote 40 kabla ya tarehe 9 ila alivyoona Jana watu wameandamana Kwa amani basi akasema haya manyumbu yashakuwa maoga yameingia kwenye mfumo Sasa Unaambiwa Samia ana furaha kuliko siku zote huko Chamwino sababu anajua...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa vyama vingi Tanzania na Afrika ni mfumo kwa kuwaibia Mabeberu

    Wandugu Nimewaza na kuona kuwa mfumo wa vyama vingi afrika hasa Tanzania ni mfumo unaotumika kuwaibia wazungu pesa. Janja ya kupata pesa za bure za misaada nk. Kwa nini nasema hivi nchi nyingi mfano Tanzania ki uwazi hakuna Uchaguzi huru. Watu wanafanya kiiini macho kuwaaminisha wazungu kuna...
  10. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Serikali Inacheka, Watu Wanalia! Vijana Tumekosa Ajira, Lakini Mfumo Uko Tu Huko Ujinga!

    Hey wana JF, leo nataka tuongee ukweli mchungu kuhusu hali ya ajira kwa vijana na hizi system zenye kutufanya waogope zaidi kuliko ilivyo sasa. Serikali ya Tanzania imekuwa inajifanya kila kitu kipo sawa lakini ukweli ni kwamba vijana wengi wanateseka. Serikali inatupeleka wapi na hizi sera...
  11. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 10. Tukisusa JKT si kuukomoa mfumo bali tunaukomoa ubongo wetu wenyewe

    Haya ndiyo maneno ambayo vijana wengi wanashindwa kuyameza kwa sababu yana ladha kali kuliko ukoko wa ugali wa Mpangala. Ukisusa JKT, mfumo unacheka. Kicheko cha mfumo hakisikiki masikioni, lakini kinatetemesha mustakabali wako. Akikuona huendi, anasema: “Huyu ndio rahisi kutumia baadae. Hana...
  12. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania 7 JKT kama mama wa uchumi - mfumo uliyoua uwezo wa taifa kwa makusudi”

    Hapa tunafungua ukurasa ambao mfumo haujawahi kutaka uandikwe. Hapa ndipo roho ya JKT inajitokeza kama mzimu wa baba aliyenyang’anywa ardhi yake na majambazi halafu akaitiwa polisi ati ni kelele anapiga. Karibu. JKT Ilipangwa Kuwa “Uchumi wa Taifa kwa Ujumla”, Sio Idara ya Parade. JKT...
  13. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwanini mfumo ulioogopa vijana ilibidi uzuie JKT kama taasisi?

    (Hii ndiyo sehemu wanayoogopa watu kuitaja hadharani - leo tunaifungua kama pochi ya mama lakini siyo Mama Omary Atakuua ...Aaaah kwanza hana pochi anafunga kwenye kitenge anamambo ya kizamani) Vijana Ni “Tishio” Kwa Mfumo Wowote Unaoishi Kwa Mabavu ya Kiuchumi China, Urusi, Marekani, canada -...
  14. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jasiri wa mwisho - JKT dhidi ya mfumo wa vyama

    Watanzania wanaishi katika maigizo makubwa kuliko “Tausi,” “Siri za Familia,” “Jumba la Dhahabu,” na “Bongo Movie” zote zilizowahi kutengenezwa. Maigizo ambayo kila mtu anajifanya haoni, ilhali moshi wa jiko la taifa unafuka hadharani. Kila mtu anasema “Tatizo ni viongozi” kana kwamba viongozi...
  15. bob_fundi

    JamiiForums Tanzania Inawezekanaje taarifa za mtu kufutwa kwenye mfumo wa sipa wa HESLB

    Habari zenu ,poleni na majukumu ya kazi. Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu kuna dogo alikuwa alikuwa anasoma bachelor degree mwaka 2023/2024 chuo cha st john lakn alikapiliwa na changamoto za kipato ikafanye afute usajili (diregistration). Sasa akaomba chuo mwaka huu akapata lakn kwa...
  16. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Bendera, utumwa wa mfumo

    Watanzania wengi wanapenda kuamini kwamba vyama vya siasa ndio injini za maendeleo: CCM, CHADEMA, ACT-Wazalendo, CUF, TLP, ADA-orodha ndefu, matumaini machache. Wanapenda kufikiri kwamba mabadiliko yatatoka kwenye sanduku la kura, kana kwamba sanduku limebeba miujiza, sio majina ya watu...
  17. Daby

    JamiiForums Tanzania Msigwa na wengine mnafaidika na mfumo au faida yenu ni ajira tu?

    Tunaweza kutofautiana kwenye masuala mengi ila linapokuja suala la uhai wa binadamu tunatakiwa kuongea lugha moja. Bado nazidi kuwashangaa waTanzania wenzangu waliokubali kuaminishwa na mfumo kwamba waTanzania waliuliwa barabani kama mbwa ni wahalifu na walistahili kuliwa kinyama...
  18. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mababa Askofu msiwajibu Masheikh wanaotumikia mfumo, waoneeni huruma maana kula yao inatokana na wao kutumika

    Mababa Askofu. Nakuandikieni barua hii kuwaombeni kuwa msihadaike, msishawishike na wala msiingie msukumo wa kujibishana na masheikh wanaotoa matamko ya kuwashambulia. Hao masheikh wengi wanaowashambulia ni masheikh wa mfumo, wapo kimkakati, wapo kazini. 1. Kazi ya Masheikh hao ni kutumika...
  19. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Baraza la maaskofu nchi hii ni ya kidemokrasia na siyo ya mfumo wa kikristo wala mfumo wa dola ya kiislamu acheni kuipa amri serikali

    Friends and Our Enemies, Kuna ajenda ya udini inaendelea chini chini na haikuanza leo dhidi ya Rais Samia,Ajenda hiyo ilijicha kwa muda mrefu sana lakini hivi sasa ni wazi kabisa imejionyesha ni nani alikuwa mastermind wa ajenda hiyo. Kama sote tutakuwa na kumbu kumbu vinara wa uchochezi na...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wanaosisitiza amani zaidi badala ya HAKI ni wajinga au wanufuika wa mfumo kandamizi. Haki ikitamalaki amani inakuwepo automatically

    Ukiacha vichwa panzi wachache na mapoyoyo wa hali ya chini na wale wenye maisha duni wanaoimbishwa wimbo wa amani bila haki na wanaimba kwa sababu ya ukosefu wa maarifa, taarifa sahihi au udini wengine wote wanaoimba zaidi amani badala ya kuimba zaidi haki ni wanufaika wa mfumo ulioondoa...
Back
Top Bottom