Utaratibu mgumu ni walio nje ya mfumo tuu

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,689
Reaction score
17,958
Huko TRA,TANESCO na ofisi nyingne za serikali utaratibu unatakiwa ufuatwe na maskini tuu au walio nnje ya mfumo.

Walio ndani ya mfumo ni meseji tuu isiozidi maneno 10 MAMBO YANANYOOSHWA KAMA MHUSIKA ANAVYOTAKA.
 
Chama Cha Mashetani ndipo walipotufikisha hapa.

Mifumo ya huduma imevurugika kabisa.
 
Sasa hivi utaratibu umewekwa mgumu na kufuata vigezo vyote maana si mmekua watukutu mnaandamana?? ILA NI KWENU TUU SI KWAO
 
Hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho.

Hipo siku wajue hawatoweza tena kuleta upumvavu wao wanaoufanya sasa.

Undugu ujamaa urafiki pesa na rushwa ya ngono ndio kipaumbele cha mifumo ya CCM.
 
🤣🤣🤣🤣
 
Ama hakika mboga mboga nawamaindi kichizi
 
Back
Top Bottom