mfumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Ni mjinga tu anayefikiri kuna Dira nzuri ya 2050 kwa mfumo huu wa siasa (Katiba hii)

    Watanzania sasa mpaka dira za uongo tu. Hebu tujiulize kwa utaratibu wa sasa serikali yenyewe haifuati sheria, hakuna uwajibikaji na viongozi wala rushwa hivi . Kwa katiba hii na mifumo hii Dira ni kama vichekesho tu. Kila mwenye akili anajua ni kujidanganya tu kwa huyu Mama na kupenda kusifiwa...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna nini kuhusu AI mfumo kuzibitiwa kama ukitoka nje ya USA hata ufanyeje unakataa kabisa

    Mi na vijana na nakijana nilichobakisha ni aviator ya mungu na maisha tuliyopo nayo wengine wanaona kama mungu ni CCM. Sasa kitu ambacho kina nishangaza yani AI zilizotengezwa USA ni ngumu kufanyika nchi za watu na zimekuwa zikigoma kabisa na hata ukitoka nchi nyengine utapata matokeo tofauti...
  3. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Salamu kwa wanawake: mwanaume kumuhudumia mwanamke ni mfumo dume.

    Kuhudumiwa na mwanaume ni suala ambalo wanawake wanakubaliana nalo, lakini ni mfumo dume, ambao wanawake wanaupiga vita. Mwanaume kumuhudumia mwanamke ni suala la kupigwa vita, sio kupongezwa. Miaka ya zamani ambayo mfumo dume ulikua umeshika hatamu wanawake hawakua na fursa za kiuchumi na...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Unapotengeneza mfumo kuwa bagaza wananchi usitegeme utawarudisha kama walivyo.

    Ukiangalia historia ya south africa na leo walipo ni ushaidi tosha jinsi walivyofanyiwa ndio wamefikia pale kama walivyo akili zao na maisha yao ya ajabu. Ukienda USA kuna tabia za watu weusi wa kule unaweza kusema sio mwafrika wakati muafrica sababu waliishi vizazi vyao kwa kufanyiwa mambo ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka na mfumo wa kuhakiki bidhaa original kwa kuscan stika za TRA, mchakachuaji hawezi kuprinti stika na kuibandika kwenye bidhaa feki ?

    Chukulia mfano, mchakachuaji ana kiwanda bubu cha kutengeneza pombe feki. Je hawezi kwenda dukani kununua chupa original au na kubandua hio stika kisha kumpa mtaalamu wa mambo ya printing amtengenezee stika hata 1000 ? Mteja kabla hajalipia bidhaa anascan QR code, kitu kinasoma freshi tu kumbe...
  6. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA haijaikosea CCM na dola popote. Ni upotoshaji kutumia neno "MARIDHIANO" bali Tunachotaka sio Maridhiano bali ni Nchi kurejesha mfumo wa haki

    Watu hutafuta Maridhiano baada ya kugombana au kuhujumiana ata kupigana. Kama ilivyokuwa kenya. Ulikuwa ugonvi kati ya Odinga na Kenyata. Watu wakakaa wakataka waridhiane. Lengo ni kuondoa tofauti zao. Tanzania ni tofauti kabisa, Tena mbali mno. Je kuna ugonvi binafsi kati ya Lissu na Samia. Au...
  7. Parabolic

    JamiiForums Tanzania HOJA Muda wa kujiunga na Mfumo wa Ukaguzi vyombo vya moto (MIMIS) uongezwe, badala ya Julai 31, 2026

    Wamiliki wa magari wakisubiri kuongia Ofisi ya Usalama Barabarani Kituo cha Polisi Kawe. *** Serikali, kupitia Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, ilitoa siku 21 kwa wamiliki wa vyombo vya moto kuhakikisha wanaviingiza katika Mfumo wa Uratibu wa Ukaguzi (MIMIS) na kukamilisha taratibu zote...
  8. Vedasto Leopold

    JamiiForums Tanzania Mfumo nzuri wa mauzo ya stationery

    Wadau mnaomiliki stationery tupeane uzoefu wa mfumo mzuri unaoweza kusaidia kwenye mahesabu. Ukizingatia stationery ina mambo mengi kama kuuza bidhaa, kutoa huduma kama copy, scanning, printing na sometimes Bei ya printing au copy zinatofautiana kati ya mtu mmoja na mwingine means profit...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu utekelezaji wa Mfumo wa ufundishaji katika chuo cha DIT

    Ningependa kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu hali ya ufundishaji katika Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology (DIT), ambayo kwa maoni yangu imekuwa ikiwakwamisha wanafunzi wengi kupata ujuzi unaostahili. Kumekuwa na matukio ambapo baadhi ya walimu hawafundishi ipasavyo kwa kipindi...
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania DCI yapunguza muda wa kupata Police Clearance hadi saa 24 kupitia mfumo mpya wa MBIS

    Serikali kupitia Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) imeanzisha mfumo mpya wa Multi-Biometric Identification System (MBIS) ambao sasa unaruhusu waombaji kupata Cheti cha Police Clearance (Certificate of Good Conduct) ndani ya saa 24, badala ya kusubiri hadi wiki mbili kama ilivyokuwa awali. Mfumo...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Tatizo mfumo wa uhakiki wiki ya nenda kwa usalama

    Nimejaribu kuangalia inspection report naona inaonyesha inspection date na valid until vinafanana yani inaisha siku hiyohiyo. Status pia inasoma expired. Je kuna tatizo la mfumo wa ukaguzi kutoka Jeshi la polisi au kwa wale waliolipia kuanzia mwezi January na kuendelea mfumo hautambui ?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba sababu kwanini niendelee kutumia mafuta zaidi ya 400K kila mwezi wakati ninaweza kubadili gari itumie gesi ya 60K hadi 100K kwa mwezi

    Tuchukulie mfano wa mtu anayesafiri km 30 hadi 35 kila siku ndani ya mji. Kwa mwezi (siku 30), atakuwa amesafiri takribani km 900. Petrol - 4000 kwa lita Gesi - 1545 kwa Kg Sasa tuangalie upande wa gesi. Kwa gari la CC 1900, mfano Nissan X-Trail, kwa mafuta inaweza kukulamba lita 1 kwa km...
  13. U

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna mchezo mchafu kwenye mfumo mpya wa kusajili madaktari (HPRS)

    Mnamo tarehe 12 nilifanya malipo ya kuhuisha (renew) leseni yangu ya taaluma ili niweze kuendelea kufanya kazi kisheria kupitia mfumo mpya. Nilitengeneza Control Number kupitia mfumo huo na nikafanya malipo kwa kutumia Airtel Money. Malipo yalifanikiwa bila tatizo lolote, kama inavyoonekana...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Nani kati ya Samia na mfumo mfu anayetawala Tanzania?

    Alipoapishwa kuwa rais kutokana na ajali ya kufiwa mtangulizi wake, rais Samia aliahidi mambo mengi mazuri. Alimuita Tundu Lissu na kuongea naye mambo mazuri. Alianza kujitenganisha na utawala wake na Magufuli. Alianza kutofautiana na mfumo. Muda haukupita, mara Samia wa matumaini akaanza kuwa...
  15. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Huu mfumo wa utawala tuuchukue ndio uwe mfumo rasmi wa uongozi na utawala

    Habari Tanzania !. Naomba niweke mawazo yangu hapa jukwaani. Ikiwapendeza nawaomba mtumie huu mfumo ili mfanikiwe maendeleo; 1. Madiwani ndio waiongoze halmashauri; (a) Mwenyekiti na Msaidizi wake wa Halmashauri wawe raia wa kawaida wasomi ngazi ya Shahada moja na kuendelea asitokane na...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye mfumo wa idras

    Habari zenu nahitaji msaada ni wapi nitapata mafunzo ya IDRAS Iwe ni sehemu, taasisi, au ofisi itakayonisaidia jinsi ya kujifunza mfumo Kwa vitendo Natanguliza shukrani na pia napokea ushauri wowote unaolenga kunisaidia
  17. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Haya ni mambo muhimu ya kuzingatia unapotumia dawa za magonjwa ya mfumo wa mkojo na sehemu za uzazi kama UTI, kisonono (gonorrhea) na kaswende (syphil

    . Epuka kufanya ngono hadi matibabu yakamilike na daktari athibitishe kuwa ni salama, ili kuzuia kuambukiza wengine au kuambukizwa tena. Hii watu wengi hupuuzia lakini imekuwa ikifanya watu wengi kutokupona kabisa maana unapokuwa unatumia dawa hata wale bakteria walinzi wanakuwa wanazidiwa na...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya ucheleweshaji wa maombi ya hati kwenye mfumo wa e-Ardhi Dodoma

    Maombi ya hati kupitia mfumo wa e-Ardhi kwa wakazi wa Dodoma bado yanaendelea kuwa changamoto kubwa. Mtumiaji anaweza kufanikiwa kutuma maombi kwenye mfumo, lakini maombi hayo hukaa muda mrefu bila kusonga kwenye hatua za uidhinishaji (approval stages) hadi pale anapomtafuta afisa anayehusika...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Je, Kampuni au Taasisi Yako Inahitaji Mfumo Maalum?

    Peculiar Enterprises Ltd. ni kampuni ya teknolojia inayobuni na kutengeneza mifumo ya kidijitali kwa makampuni, mashirika, taasisi na biashara zenye mahitaji ya kitaasisi. Mbali na kuendesha mfumo unaosimamia zaidi ya biashara 20,000 Africa unaojulikana kama SmartBusiness, pia tunatengeneza...
  20. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Inasemekana mfumo wa AC kwenye gari la Simba umekufa

    Kumbe ndiyomaana Chama kashindwa akapanda bodaboda.
Back
Top Bottom