mfumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Je tatizo ni watu au mfumo?

    Hivi ni kweli ni rahisi kulalamika ukiwa nje ya mfumo eti kwa sababu wewe si mnufaika wa moja kwa moja? Kwa mfano, unaweza kusema mtu fulani ni fisadi. Lakini je, ukipewa nafasi ya huyo mtu, una uhakika kwamba na wewe hutageuka kuwa fisadi? Mfano👇 Mtu asiye na kipato anaweza kuapa...
  2. Diwani

    JamiiForums Tanzania Upande mwema wa Mfumo dume unaofifia taratibu

    Mfumo dume ni mfumo wa Kihistoria unaoelezewa kwa upande mmoja (Mbaya) hivi leo, kwenye kizazi chenye kulea na kuendekeza huruma kimatukio, kuna upande wa Mfumo huu haukusimuliwa ndio maana leo kuna majanga tunayoyaona. Mfumo dume ulitengeneza HALI YA UMILIKI kwa Wanaume, kuwaweka wao kuwa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa NaPA unagoma kwenye kutafuta barua ya utambulisho kwa ajili ya maombi ya mkopo (HESLB)

    National Physical Address (NaPA) kwenye kutafuta barua ya utambulisho kwa ajili ya maombi ya mkopo (HESLB) inagoma kuendelea na kutoa notification ya hivi Toka last week till now. Contacts zao walizoweka hazipatikani, kuna moja inapatikana mara moja moja na ikipatikana haipokelewi.
  4. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani. Yaani kumbuka sasa hivi...
  5. Candela

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa bos Brela hauna notifications

    Katika mfumo wa ORS ulikuwa ukifanya application unapata notifications za status ya maombi yako. Mfano kama kuna mabadiliko au marekebisho mfumo una ku notify. Baada ya kuhamia BOS haiko hivyo tena. Unatakiwa kuingia kwenye akaunti moja kwa moja kuangalia kama kuna updates zozote.
  6. The lastborn9319

    JamiiForums Tanzania Msaada,kwenye mfumo wa heslb olams

    "An error occurred please ..." Hili tatizo kwenye kujisajiri heslb olams online mmelitatuaje
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi Chuo kikuu cha Waislamu Morogoro (MUM) tumesaini ada bodi ya mikopo mpaka sasa Leo 1-07-2026 hazijawekwa kwenye mfumo wa matokeo

  8. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mfumo wa BRELA unasumbua kutuma barua pepe ya uthibitishaji

    Ni wiki ya tatu sasa nikiwa najaribu kutumia mfumo wa BRELA kusajili jina la biashara, lakini nakumbana na changamoto ile ile kila mara. Mfumo unaonesha kuwa barua pepe (email) imetumwa, lakini ninapokagua kwenye email yangu hakuna ujumbe wowote unaowasili. Nimejaribu mara nyingi bila...
  9. bless on

    JamiiForums Tanzania Imihigo: Mfumo wa Kuwawajibisha Viongozi wa Tanzania

    Umewahi kujiuliza kwanini miradi mingi mtaani kwetukama barabara, ujenzi wa madarasa, au usambazaji wa umeme na maji inachelewa sana, alafu kiongozi aliyefeli anahamishwa tu kituo cha kazi badala ya kuwajibishwa? Kule jirani zetu Rwanda kuna mfumo wa kijasusi wa utendaji kazi unaitwa Imihigo...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe: Uzembe wa Ma-Afisa Rasilimali Watu katika Mfumo wa PEPMIS umezuia Watumishi kutopanda daraja

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe ametoa maelekezo hayo Juni 23, 2026 kwa niaba ya Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2026 katika Viwanja vya...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Checkmate ya Siasa: Pale Mfumo Unapolazimika Kujilinda Dhidi ya Shinikizo baada ya kufanya blunders

    Anaandika Robert Heriel Mtibeli Post zilizopita nilisema serikali au mtu hutawaliwa na kwa kutumia mambo matatu. Yaani ili serikali yeyote dunia iongoze hutumia. Mambo haya matatu; a) Hofu Kile watu wanachokiogopa. Serikali nyingi za kimabavu hutumia njia hii. Hata hivyo hasara ya njia hii ni...
  12. Light Saber Imetosha Sasa

    JamiiForums Tanzania Ni Wakati Sasa JF Kuanzisha Mfumo wa Kuwalipa "Content Creators" Wetu. Huu Ndio Ukweli wa Kisheria na Kiuchumi.

    Wakuu salama, Mimi ni mwanachama wa muda mrefu hapa JamiiForums (JF). Leo nimekaa na kutafakari kwa kina sana kuhusu mchango wetu sisi watumiaji katika kuuendesha, kuukuza, na kuuongezea thamani mtandao huu unaopendwa zaidi nchini. Nimekuja na hoja moja ya msingi: Ni wakati sasa kwa uongozi wa...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya kutisha ya Oct29 ni matokeo ya hitilafu ya mfumo

    Mfumo unapopata hitilafu madhara kama mauaji ni jambo linalosubiriwa. Kama hitilafu isiporekebishwa tutegemee hatari zaidi
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa bunge kuuliza wabunge na CV zao.Je mna maana kwamba mnaficha aibu zenu

    Watuambie kuwa bunge ni kikundi cha watu wachache. Leo uwezi kuuliza CV za mtu yoyote bila kupata kwenye tovuti ya bunge. Uchafu wa nchi imefikia kila tovuti kuficha taarifa ya yoyote hata idara. Mfano nilitaka kujua kama ndo mimi mfano nipo UN.
  15. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Wazabuni wanalalamika kutolipwa; tatizo ni bajeti au mfumo wa manunuzi?

    Kwa nini taasisi na mashirika ya serikali hutangaza tenders na kuingia mikataba ya manunuzi wakati fedha za kulipia bidhaa au huduma husika hazipo au cash flow yake haina uhakika? Mwisho wa siku suppliers wanapeleka bidhaa au kutoa huduma, lakini malipo yanachelewa kwa muda mrefu. Je, hali hii...
  16. Msafiri mkusa

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kusimamia biashara

    Avialmax ni mfumo unaokupa udhibiti kamili wa bisahara yako kwa usalama na usahihi jiunge na avilamax software upate siku 14 za majiribio kwa maelezo zaidi tupigie kupitia 0623552355 kawaida au whatsapp
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo binafsi na nyonyefu

    WADAU. Ajira mpya serikalini tunanyonywa sijui ni kwa ufinyu wetu wa maarifa au nitakua mkosefu sana kwa kusema kuna mapapa walioweka mifereji kwa kufanya mifumo rasmi iwe migumu na kutumia huo ugumu kama faida kwao kwa kutunyonya sisi. Ni ngumu kusema ni mtu wa nje ya mfumo kwakua...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji: Mfumo ulisumbua na sasa umekaa sawa, taarifa za walioomba Passport zipo, hawatakiwi kulipa mara 2

    Idara ya Uhamiaji nchini imefafanua kuwa huduma zake za kimfumo zimerudi katika hali ya kawaida baada ya changamoto iliyosababisha ucheleweshaji wa baadhi ya maombi ya wananchi, na kueleza kuwa mbombaji hatakiwi kulipia huduma mara mbili. Akizungumza kuhusu suala hilo, Msemaji Mkuu wa Idara ya...
  19. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mfumo wa TBS unasumbua kutoa gari Bandarini, gharama zinakuwa kubwa na zinaangukia kwa mteja

    Mimi ni mmoja wa wateja niliyeagiza gari kutoka nje ya nchi. Gari langu limefika bandarini tangu wiki iliyopita, lakini hadi sasa halijatolewa kutokana na changamoto kubwa ya mifumo, hususan mfumo wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS). Kwa kweli hali hii inakatisha tamaa sana. Tangu mfumo huo...
  20. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Nato anatafutwa aingie kwenye mfumo

    Drone strikes residential building in Romania (VIDEO) Romania’s Defense Ministry claimed that the UAV which injured two people in the city of Galati came from Russia A residential building damaged by a drone strike in Galati, Romania, May 29, 2026. © ISU Galati A drone crashed into an...
Back
Top Bottom