BRELA mfumo wenu una shida gani?

BRELA mfumo wenu una shida gani?

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,322
Reaction score
4,550
Niliona Humu uzi maalum wa BRELA sijui kama bado UPO, hata hivyo Brela Mfumo wenu una shida ya availability na Utendaji.

Tunajaribu kupiga simu zenu za Kituo cha miito Hampokei.
 
Niliona Humu uzi maalum wa BRELA sijui kama bado UPO, hata hivyo Brela Mfumo wenu una shida ya availability na Utendaji.

Tunajaribu kupiga simu zenu za Kituo cha miito Hampokei.
Habari, pole kwa changamoto uliyokutana nayo, watoa huduma wetu walikua wanahudumia wateja wengine, tunaomba kufahamu changamoto uliyokutana nayo kwa ajili ya msaada zaidi.

Technical Support
0735331000
0222212800
 
Naangalia kwamba nimetuma lalamiko January,Najibiwa Juni.Anyway.Napitia huu mfumo wenu mpya wa BOS nashauri sasa zile mifumo zote mlizo nazo mzilete kwenye huu mfuo mpya yaani mambo ya beneficial owner,trademarks,n.k.
 
Back
Top Bottom