Umewezaje kukwepa huu mfumo kutoka gizani?

Umewezaje kukwepa huu mfumo kutoka gizani?

Chosen Rich

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2019
Posts
1,565
Reaction score
1,116
00D03184-D3B4-4329-A20C-C7BC28EC3E4C.jpeg

Hii picha imenifikirisha sana, Nikizingatia mwenendo mbaya uliopo katika jamii na kizazi cha sasa kwa ujumla
Mwenendo ambao ni matokeo ya athari mbaya zilizotokana na utandawazi

Vipi mdau, Umenusurika kwenye huu mfumo ? Umewazaje ?
 
nahisi kila kiZazi kinakuja na angamivu lake.
 
Back
Top Bottom