mfumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Mfumo wa LATRA haufanyi kazi, wasafirishaji washindwa kupata huduma kwa siku kadhaa

    Mfumo wa Mamlaka ya Usafiri wa Ardhini (The Land Transport Regulatory Authority- LATRA). Huafanyi kazi sasa kwa takribani wiki nzima. Watoa huduma za usafiri wa Ardhini ambao wanapaswa kupata leseni toka mamlaka hiyo kupitia mfumo wao wa njia ya mtandao (Online Application) wamekwama. Kila...
  2. Ni marekebisho gani hayo ya mfumo yanayoendelea mwezi mzima?

    Habari za jioni wataalamu..... Ni mwezi sasa mambo ya ankra yamekwama....maafisa utumishi wanasema hawajui, wengine wanasema jibu kutoka Dodoma ni "mfumo umefungwa kwa ajili ya maboresho". Maafisa wa bank hawatoi mikopo kwasababu makato hayawezi kuingizwa, mfumo umefungwa, jamani mwezi...
  3. S

    Mfumo wa majina katika Passport na ID za Tanzania unasababisha usumbufu sana nje ya Tanzania

    Wanajamii, Unapoomba passport au ya ID, ni kawaida kuulizwa kwenye form Jina lako la Kwanza, la katikati na la Ukoo. Sasa Tatizo ni kwamba Passport au ID vikitolewa, kunakuwa hakuna utenganisho huu, bali Mambo ya Ndani na NIDA wanaamua kuunganisha jina lako la kwanza na la katikati kama jina...
  4. M

    Waziri wa Utumishi iangalie vizuri Wizara yako, Upandishaji Madaraja umeshindikana sababu ya Mfumo

    Mhe Waziri pole na Majukumu yako ya kila siku, hivi karibuni Ofisi yako ilitoa waraka wa kuwapandisha madaraja Watumishi wenye vigezo, ukiachilia mbali changamoto ya watumishi wakongwe na juniors kulundikwa kwenye daraja moja (mfano mtu aliyeajiriwa 2013-2014 kuwekwa sawa na mtu wa 2016). Mfumo...
  5. Hujuma? Mwezi sasa wafanyakazi hawapewi mikopo yao kisa mfumo haufanyi kazi

    Ni takribani mwezi sasa wafanyakazi walioomba mkopo benki hawapewi pesa kwa kile kinachodaiwa ni mfumo wa mawasiliano kati ya benki na mwajiri kuwa na hitilafu. Hoja hapa ni je, huo mfumo pia umechezewa ili kumchonganisha mama na wafanyakazi? Na kwanini mamlaka inayohusika na mfumo huo haitoi...
  6. Luhaga Mpina: Mfumo mbaya wa kodi kikwazo sekta ya viwanda

    Mbunge Luhaga Mpina amesema sababu mojawapo ya kuwepo changamoto katika Viwanda vya Tanzania ni mfumo mbaya wa Kodi ambayo haufanyiwi tathmini mara kwa mara Ameeleza, "Wazalishaji wanapigwa Kodi lakini wanaoingiza wamesamehewa. Sasa nani atawekeza kwenye Viwanda katika Nchi yako? Tuna mfumo wa...
  7. LATRA ichunguzwe na mamlaka katika mfumo mzima wa tenda za kufunga Ving'amuzi (VTS), Kuna shida mahali

    KUNA MENGI YA HOVYO YANAENDELEA KWENYE HII TAASISI, TUNAJIULIZA KAMA MH. WAZIRI MKUU AMEWAWAJIBISHA MENEJA WA TANESCO NA WATU WAKE KWA TATIZO LA KUPATIKANA KWA LUKU. JE HAWA WATU WA TEHAMA WA LATRA WANAAACHWAJE KWA UBABAISHAJI WA KWENYE MFUMO WA ONLINE TICKETING NA KUTUSABABISHIA WENGINE HASARA...
  8. Ni nani anayeingilia hii mifumo ya Taasisi nyeti za Nchi? TRA, TPA, TANESCO na ana malengo gani?

    Huyu anayeingilia hii mifumo kumhujumu mama Samia ni nani na anataka nini na ana nguvu kiasi gani? na lengo lake ni nini?
  9. D

    Urasimu mpya unaletwa kupitia kauli ya uli 'Mfumo Unasumbua'

    Habari, Mungu nakutumaini wewe tu. Hivi nani anasimamia mifumo ya fedha za Serikali kimtandao? 1. Wapo wanaocheleweshewa malipo wakiuliza majibu ni mtandao unasumbua au network ipo down. 2. Wapo wanao subiri check namba kwa muda mrefu. 3. Wapo wanao subiri mafao ya kustaafu 4. Wapo...
  10. Sabaya tulia Mungu atatenda muujiza maana huwezi kupambana na ufisadi chini ya mfumo wa kifisadi

    LENGAI OLE SABAYA, HUWEZI KUPAMBANA NA UFISADI NDANI YA MFUMO WA KIFISADI, UKABAKIA SALAMA: Mfumo wa ufisadi, ulaji rushwa, uhujumu uchumi, ufanyaji magendo, na matumizi mabaya ya madaraka kwa viongozi wa umma ulianza kujikita mizizi serikalini na kwenye Chama cha Mapinduzi kuanzia miaka ya...
  11. Kujisajili kwenye Mfumo wa Ajira za TAMISEMI upande wa AFYA inasumbua

    Ninapata changamoto wakati wa kujisajili kwenye mfumo wa Ajira TAMISEMI ambapo nikifika hatua ya kuhakiki taarifa unatoka ujumbe wa kwamba Taarifa zangu haziendani na Taarifa za NECTA. Nimehakiki kila Taarifa ziko sahihi
  12. M

    Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

    Habari wakuu, naomba kwa anayeweza kujua hili tatizo anisaidie. Nataka kufanya application ya hizi nafasi za ualimu zilizotangazwa, nakutana na changamoto moja, kila nikijaribu Ku log in naaambiwa unauthorized user, nikafili nakosea password. Nikataka kubadili password ikashindikana, coz ili...
  13. Mfumo wa kupeana majina nchini Korea Kusini

    Asante mno kwa kuweza kufungua uzi huu. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Wakorea huwa wanatumia mfumo wa tofauti sana katika kupeana majina. Kwa hapa Tanzania kwa mfano mtu anaitwa JOHN SULUHU KIKWETE. Maana yake hapo JINA LAKE ni JOHN, SULUHU ni JINA LA BABA alafu KIKWETE ni jina la...
  14. Nimeupenda huu mfumo wa League ya Croatia

    Wakuu CROATIA Bana League yao ina timu 10. Na kila timu head to head ya home&away zinakutana Mara 4 Yaani twice at home and twice away. Jumla inachezwa Gemu 36 Mpaka apatikane mshindi. Bingwa Anashiriki UEFA Mshindi wa 2&3 hucheza Europa ligue. Timu inayoshuka daraja ni moja tu.
  15. Kwanini Umiliki Biashara badala ya kumiliki mfumo wa kibiashara?

    Habari za wakati huu; Leo nataka tuzungumzi kitu kinaitwa "Business Model"aka mfumo au muundo wa Biashara.Wajasiriamali wengi huwa wanakama katika Biashara kwa kujikita zaidi kujenga Biashara badala ya kujenga Business Model.Ndio maana wengi hujikuta wakifanya bashara za kuigizana bila kuwa na...
  16. Mbunge Bernadeta Mushashu aitaka Wizara ya Elimu ikubali mfumo una tatizo

    Mbunge Bernadeta Mushashu ameitaka Wizara ya Elimu pamoja na wadau wengine wa sekta hiyo kukubali kuna tatizo katika mfumo wa Elimu wa hapa Nchini. Amesema hayo leo Bungeni Dodoma. Ameeleza, "Wafungue mjadala mpana tukae tujadili tuangalie Mfumo wetu ni wapi kuna tatizo, kitu gani kinakosekana...
  17. Wazazi hebu leteni maoni yenu hapa

    Ikiwa mzazi ambaye anamuwazia mazuri mtoto akimaliza elimu yake ya juu kwa atatumia mahela kibao kugharamia elimu ya mtoto ila by the end! 1. Mtoto anatakiwa akanunuliwe mashine ya popcorn aiweke stand aanze kuuza bisi! 2. Anunue mashine ya kukamulia juisi ya miwa na glass! 3. Aanze kuuza uji...
  18. M

    Awamu ya 5 ilitaka turudi kwenye mfumo wa chama kimoja kwa nguvu

    Wadau salaam, kipindi cha awamu ya 5 kuna baadhi ya watu waliondolewa kwenye nafasi za uongozi wa taasisi za umma kwasababu ya kua opposition, mfano aliyekua mwenyekiti wa bodi ya shule ya sekondari Madasenga. Alikua na vigezo vyote lakini aliondolewa kwasababu tu ni chadema. Bahati mbaya...
  19. Mfumo mpya wa namba za siri si salama

    Habari wakuu leo nataka kujuza kuhusu mfumo mpya wa namba za siri zinazo tolewa si Rafiki kwa mtumia/mteja. Rejea taarifa ya TCRA. Ndugu Mteja, Kuanzia July 1, 2021 laini zote mpya zitatolewa zikiwa na namba ya siri. Mteja atatakiwa kuweka namba hizo kila atakapozima au kubadili simu yake...
  20. Wakazi wa Magamba Songwe wachoma mazao yao ya ufuta mashambani mwao kupinga agizo la Mkuu wa Wilaya ya kutaka wauze kwa mfumo wa stakabadhi ghalani

    Wakazi wa Magamba Songwe wachoma mazao yao ya ufuta mashambani mwao kupinga agizo la mkuu wa wilaya ya kutaka wauze kwa mfumo wa stakabadhi ghalani ambao wanasema hauna faida kwao SOURCE : channel 10 taarifa ya habari
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…