Sio kwa mfumo huu wa bei

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,701
36,121
Hello!

Bidhaa ambazo naona hazijapanda bei kwa Dar es salaam hii ni nyama, chumvi, viberiti, mbao basi.

Maji yamepanda bei
Nguo zimepanda bei
Vifaa vya shule vimepanda bei
Vyakula vimepanda bei
Nondo zimepanda bei
Misumari imepanda bei
Cement imepanda bei
Mabati yamepanda bei
Gypsum board imepanda bei
Rangi imepanda bei
Ngano imepanda bei
Soda na juisi zimepanda bei
Mafuta ya kula yamepanda bei
Diesel imepanda bei
Petrol imepanda bei
Mafuta ya taa yamepanda bei
Vifaa vya ofisini vimepanda bei
Mboga mboga hazijapanda bei.
 
Na kipato cha Watanzania - havijapanda.
Mshahara wangu kwa mwezi ni pale pale na watoto watatu napokea 1.5m - miaka minne sasa.
Kodi 450
Matumizi over 1.7M kwa mwezi
Bado school fees , dharura n.k.
Na deni benki killa mwezi makato 386,000/=
Hadi mwakani mwezi wa pili.
Ujenzi wa nyumba yangu unademadema kigamboni ntahamia hivyo hivyo maana kumaliza asilimia 25 hizo itachukua muda.
Bado ndugu, jamaa ,marafiki.
Kampuni imenijibu hakuna nyongeza tuvumilie na hapo tumepunguza watu 12 tupo 16.

Ushindani mkubwa gharama kubwa japo tumeongeza uzalishaji saana.

Kinachosaidia na heka zangu kumi mbeya nalima mpunga zinasaidia sana.

Gari nilikuwa nazo mbili nimeuza moja kosogeza ujenzi nimebaki na moja anatumia mke naye kaajiriwa kwa laki 650,000/=
Natumia piki piki yangu mbadala nimenunua kwa mkopo hatari killa siku.

Je wantanzania wenzangu wenye hali chini ?
Maana mimi nipo hoi, napambana masaa 15 jumatatu - ijumaa na jumamosi masaa 9.
Jumapili kumpumzika nako shida kutembelea waginjwa na kuzijua shida zaidi.

Ewe mungu tuonee huruma sisi Watanzania.
 
Hello!

Bidhaa ambazo naona hazijapanda bei kwa Dar es salaam hii ni nyama, chumvi, viberiti, mbao basi.

Maji yamepanda bei
Nguo zimepanda bei
Vifaa vya shule vimepanda bei
Vyakula vimepanda bei
Nondo zimepanda bei
Misumari imepanda bei
Cement imepanda bei
Mabati yamepanda bei
Gypsum board imepanda bei
Rangi imepanda bei
Ngano imepanda bei
Soda na juisi zimepanda bei
Mafuta ya kula yamepanda bei
Diesel imepanda bei
Petrol imepanda bei
Mafuta ya taa yamepanda bei
Vifaa vya ofisini vimepanda bei
Mboga mboga hazijapanda bei.
Mkuu nakuomba please rudisha avatar picha yako tuliyokuzoea dogo kabeba AK 47 mgongon ikining'inia.

Please
 
Hello!

Bidhaa ambazo naona hazijapanda bei kwa Dar es salaam hii ni nyama, chumvi, viberiti, mbao basi.

Maji yamepanda bei
Nguo zimepanda bei
Vifaa vya shule vimepanda bei
Vyakula vimepanda bei
Nondo zimepanda bei
Misumari imepanda bei
Cement imepanda bei
Mabati yamepanda bei
Gypsum board imepanda bei
Rangi imepanda bei
Ngano imepanda bei
Soda na juisi zimepanda bei
Mafuta ya kula yamepanda bei
Diesel imepanda bei
Petrol imepanda bei
Mafuta ya taa yamepanda bei
Vifaa vya ofisini vimepanda bei
Mboga mboga hazijapanda bei.
Kuna haja ya kukubaliana na ukwell.
DUNIA nzima inataabika na Inflation.

Kuna shortage ya Vyakula World wide.

Uingereza inakabiliwa na Inflation at 11%

Bei ya Mafuta imepanda World wide...

Na bado itapanda...this time around Ulaya ni kipindi cha Joto..but soon wataenda kwenye Baridi...bei itapanda zaidi japokuwa wanatumia Alternative Fuel Resources kupambana na mambo ya House Heating etc....

Punguzo la bei ya Mafuta hapa Nchini siyo suluhisho...

Bei ya mafuta iendane na Bei ya Soko lakini Serikali ipambane na kununua Nafaka popote pale.

Hii ni Energy inayohitajika kuendesha maisha ya watu...

Energy ya kuendesha mashine ni muhimu but can be adjusted....


Food security unasababisha political stability...

Huko majumbani kwetu tusiishi kwa Mazoea...

Tubadili muundo wa Maisha...

Tuishi kuendana na wakati...

WASALAAM.
 
Back
Top Bottom