mfumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa E-Mrejesho hautoi majibu kwa malalamiko ya watu

    Pamoja na kwamba serikali imeamua kuanzisha mfumo unaowawezesha wananchi kupeleka malalamiko, maoni, taarifa ama mapendekezo kwa taasisi mbalimbali za serikali ili kuweza kuzitatua, ila mfumo huo kwa upande wangu sijaona kama unafanya kazi kama ilivyokusudiwa. Binafsi nilishawahi kuandika...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kisasa wa POS

    Habari nimekuletea mfumo wa maauzo "POS" ulio bora na unaotatua changamoto za moja kwa moja kwa waendeshaji na watoa huduma wa bidhaa kwa uhalisia kama zifuatvyo; (i)Umeme ukikatika ghafla hauna haja ya kuandika order yako upya, bali ukiwasha na kubofya "restore pages" utapata oda yako jinsi...
  3. JamiiForums Tanzania Soon, Ally Hapi atakuwa ndani ya mfumo

    Ilikuwa ni vigumu mno kwa Mwenyekiti kuendelea kuishi na watu wenye kumshauri kwa karibu huku akiendelea kusikia pembeni wakijadili namna sahihi na bora ya kumnyang'anya tonge mdomoni. Kwa muktadha huo, boss lady ameamua kama mbwai na iwe mbwai na rasmi ameamua awarejeshe kundini wale wote...
  4. JamiiForums Tanzania UDSM pitieni upya mfumo wa wanafunzi kusaini pesa ya kujikimu

    Habari wakuu, moja kwa moja niende kwenye topic chuo kikuu Cha udsm kimekua na utaratibu wa kuzuia wanafunzi kusign pesa za kujikimu mpaka pale mtu awe anemaliza kulipa ada pamoja na direct cost. Huu mfumo haujakamilika kwasababu Kuna wanafunzi wa Hali ya chini wanategemea kulipa ada kwa pesa...
  5. JamiiForums Tanzania LATRA: Mabasi 759 yanayofanya safari za Usiku yanazidisha Speed na kuchezea mfumo wa ufuatiliaji taarifa za gari (VTS)

    Mwezi mmoja tangu Serikali iruhusu safari za mabasi kwa saa 24, tathimini ya mamlaka za usimamizi imeonyesha kuwepo ukiukwaji mkubwa wa sheria na kanuni za usalama barabarani, hali inayohatarisha usalama kwa abiria na mali zao. Kutokana na ukiukwaji huo, ndani ya muda huo mabasi 759 yamekamatwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mfumo mpya wa ESS wa uhamisho wa watumishi unahujumiwa kwa makusudi?

    Hilo ndilo tatizo kubwa sababu suala la uhamisho pale TAMISEMI ni rushwa tupu, sasa huu mfumo umekuja kuzuia ulaji wa watu hivyo wameuhujumu taatifa za kuhama na kubadilisha vituo hazipo, yaani hakuna updates zozote zinazoingia.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaa mfumo wenu mpya ni kikwazo

    Tangu jana Mahakama ya rufaa imeanza kutumia mfumo wake mpya wa ku file kesi online. Mfumo huu umekuwa kikwazo na pia unaflchelewesha mashauri. Mfano kwa kesi ambazo ni za rufaa kutoka mahakama kuu mfumo huu haujaanza kuzipokea. Ukienda pale ku file rufaa yako wanakuambia uache namba ya simu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Ulinzi wa Israel Iron Dome wapata na tatizo la kutungua makombora

    Hapo Jana usiku Hezbullah na HAMAS walifanya mashambulizi ya rocket na makombora,na kwa asilimia kubwa yakapiga makazi ya miji kadhaa ya Israel kama vile Ashdod,Tel aviv na kwingineko huku mfumo wa Ulinzi wa kuzuia makombora ikishindwa kuinterrcept na baadala yake ikawa inayasamabaza kwa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kuchauka: Waziri akichaguliwa leo anakuta wizarani kuna watu ni 'mama wa wizara', ili aweze kudumu kwenye wizara anaungana nao!

    Mbunge Kachauka anasema anaona Wakurugenzi wanatumbukizwa kwenye bwawa lenye mamba kwasababu kuna mhasibu, mkaguzi wa ndani, afisa masuuli kwenye halmashauri ambao wana uzoefu mkubwa kuliko yeye. Kumpeleka mtu aliyekuwa mwalimu akagombea ubunge na kupelekwa pale kama Mkurugenzi je salama yake...
  10. JamiiForums Tanzania Mfumo fisi maofisini

    Habari ya muda huu wanajf. Naimani tuko vizur mnoo, mvua kila Kona shida kwa wafanyakaz biashara ndogondogo. Msikonde ndugu zangu tupambane, tukomae.. life is no longer space for leasure but only struggle to survive. Midabwada nimekuwa mchangiaji mkubwa sana kwenye madabalimbali nilizokuwa na...
  11. JamiiForums Tanzania Utoroshwaji wa dhahabu Wilayani Chunya nini kifanyike?

    Kufuatia taarifa iliyotolewa tarehe 28/10/2023 katika Mkoa wa Mbeya wilaya ya Chunya. Kuhusu wachimbaji kukutwa na vipande 160 vya dhahabu, walivyokuwa wakivitorosha kwenda kuuza nje ya mfumo rasmi. Ni malalamiko ya wachimbaji wengi kuwa mfumo rasmi wa ununuzi wa dhahabu umekuwa na ushuru...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa Mawaziri kuwajibika kwa karibu Mwenezi wa chama? Mfumo wa mawasiliano ndani ya chama cha Mapinduzi upoje?

    Waziri ni mtendaji mkuu wa wizara kisiasa, anateuliwa na Mhe. Rais na anawajibika kusimamia masuala ya kisera ya wizara. Leo wameelekezwa kuripoti kwa Karibu mkuu wa chama , je haya maelekezo ni halali? Wanaripoti nini wakati wao ni wajumbe wa baraza la mawaziri ambalo Mwenyekiti ni Mh. Rais ...
  13. JamiiForums Tanzania Inakuwaje Makonda anatangaza kutokuwepo kwa mfumo wa vyama vingi?

    Hii namna ya uenezi inanitia hofu. Hivi adidu rejea za nafasi hiyo ndio zinamwelekeza kusema haya? Halafu wakati huo huo anazungumzia uboreshaji wa demokrasia! Upendo baina ya wana-CCM au watanzania? https://youtu.be/CwkIX4svNRk?si=R_Cl1Q9ttomNVBp-
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Kuna haja ya kuweka mfumo maalumu wa kuwatambua "Beach Boys" maeneo ya Fukwe

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk Doroth Gwajima amesema kuna haja ya kuweka mfumo maalumu katika fukwe ili huduma zinazotolewa kutambulika na watu wanaotoa huduma pia kutambulika lengo ni kuepuka watu matapeli ambao wanafanya ukatili. Dk Gwajima ameeleza...
  15. JamiiForums Tanzania Je, mfumo wa ulinzi wa anga lsrael "Iron Dome" hauaminiki tena?

    Mfumo huu ambao unaaminika kuwa bora na wenye ufanisi mkubwa katika siku za hivi karibuni umeonyesha shaka. Mfumo huu ulibuniwa na kampuni ya kizawa Rafael advanced system 1: Hamas waliporusha makobora Tel aviv mengi kwa mkupuo battery za Iron dome zilichoka na ikabidi wafanye recharging. 2...
  16. JamiiForums Tanzania Zanzibar kufuta mitihani ya Taifa na kuwa na Mfumo Mpya wa Elimu

    Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inafanya mageuzi makubwa ya mfumo wa elimu kuanzia sasa hivi. Watakuwa na mpango wa muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu. Katika mipango hiyo kuna mitihani ya Taifa ambayo itafutwa kabisa. Hawaoni sababu ya kuwepo kwa mfumo wao mpya wa elimu. Jinsi...
  17. JamiiForums Tanzania Rushwa katika tathmini za wanafunzi ina athari mbaya katika mfumo wa elimu

    Rushwa, inapojitokeza katika mfumo wa elimu, inaweza kuchukua sura nyingi, lakini moja ya matatizo makubwa ni ile inayohusiana na tathmini za wanafunzi. Katika muktadha huu, rushwa inaweza kujitokeza katika njia mbalimbali, ikiwa ni pamoja na walimu kupokea rushwa ili kuongeza alama za wanafunzi...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM wanaua elimu; wanabadili mfumo wa elimu bila walimu

    Sitaki salamu nimevurugwa, naingia kwenye mada moja kwa moja. Nchi hii ina maamuzi ya ovyo na ya kipumbavu sana. Kila kitu kinafanyika ovyo ovyo! Ni juzi tu serikali imeuza nchi kwa warabu wa DP World. Na ni jana tu Rais Samia ameenda India kuwaomba wahindi waje kununua kipande cha nchi...
  19. JamiiForums Tanzania Demokrasia ni mfumo mfu hamuwezi kufanikiwa duniani kwa sababu ya "Unafiki"

    Kwa wale wanao ona dunia itakuja kuwa chini ya utawala wa kidemokrasia kama ilivyo vitabuni basi hawapo sahihi wanaishi katika njozi. Ili demokrasia iweze kufanikiwa duniani basi panapaswa kutokuwepo unafiki baina ya watu. Unafiki ni kikwazo mojawapo cha asili cha sisi watu kinacho weka uzio...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Mfumo mpya wa ulipaji mapato kwa Serikali umekuwa mgumu sana kwa mtu wa Kawaida

    Mfumo mpya wa ulipaji mapato ya Serikali umekuwa ngumu sana kwa Wananchi wa kawaida. Nitoe mfano, kama Mfanyabiashara anataka kulipia leseni yake kwa mfumo mpya lazima umtafute mtu akusaidie taratibu zote mpaka control number itoke. Mfanyabiashara kwa kazi hii anatozwa mpaka 20,000 kwa kazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…