mfumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    Mfumo wa Mtandao kuomba uhamisho Serikalini ni tatizo, unatakiwa kuboreshwa

    Kuna changamoto ya Mfumo wa Employee Self Service (ESS), Watumishi wa Serikali tunateseka. Nimeanza kutumia Mfumo kwa ajili ya kuomba Uhamisho wa kuhama kutoka ‘Taasisi A’ kwenda ‘Taasisi B’ kwa takribani miezi sita sasa tangu kuanza kwa Mfumo huo rasmi bila ya mafanikio huku nikikumbana na...
  2. K

    Viambatanisho katika mfumo wa uhamisho (ess.utumishi.go.tz)

    Habari za Jumapili ndugu zangu wanajamii na wenzangu, Ninaomba kufahamu taratibu za kuomba uhamisho (transfer) kutoka Taasisi X kwenda Taasisi Y kupitia mfumo wa Utumishi (e-Utumishi). Je, kuna viambatanisho ambavyo vinahitajika kuambatanishwa na maombi? Na ikiwa ndivyo, ni viambatanisho gani...
  3. vvvv

    Mfumo gani mbadala kwa style ya mamelodi waliyocheza first half?

    Kwa walioangalia first half, je ni mfumo gani rahisi kuchukua mpira na kuumiliki kwa mbinu waliyotumia Mamelodi first half? Kama timu imekuja na tricky ile mnafanyaje?au mtumie mfumo gani? Maana kwa timu inayotafuta matokeo ile mbinu yao inakera inabidi kuwasubiria tu waanzishe shambulizi wao.
  4. Mto Songwe

    Kama tunataka kukimbia na kutoka hapa tulipo katika kundi moja na waafrika wenzetu tunahitaji mfumo wa China

    Kama tupo serious tunataka kutoka hapa tulipo katika umasikini huu tunahitaji zaidi mfumo wa China. Kama kweli tunataka kukimbia kwa kasi tunahitaji zaidi mfumo wa China kuliko wakati wowote ule. Ubaya wa huu mfumo hauhitaji watu wazembe, hauhitaji wanasiasa wenye maneno mengi na wapiga...
  5. A

    TRA mfumo wenu unasuasua mno

    Toka saa 8 mchana mpaka muda huu saa 18:24 nimeshindwa kufanyiwa assessment kwa sababu mfumo wenu uko chini. Hii ni kero
  6. Z

    Duniani asilimia kubwa ya wanavyuo wana part-time jobs inayowafanya kuepuka kuwa tegemezi

    "Uko duniani asilimia kubwa ya wanavyuo wana part-time jobs inayowafanya kuepuka kuwa tegemezi pindi wanapograduate. Na hii inatokana na mifumo mizuri ya uendeshaji inayozingatia upatikanaji wa mda kwa mwanachuo kujitafuta nje ya ratiba ya masomo yake. "Huku kwetu, nmekutana na kijana mmoja...
  7. Course Coordinator

    Serikali kutolipa mishahara watumishi kwa kisingizio cha kutojaza majukumu yao kwenye mfumo wa ESS ni unyang'anyi usiotumia Silaha

    Serikali ya awamu ya Sita iliachana na mfumo wa kujaza OPRASS kwenye makaratasi (nakala ngumu) badala yake ikatambulisha PEPMIS kupitia mfumo Employee Self Service kwa kifupi ESS. Ikiwa na maana kwamba taarifa muhimu na za Msingi kuhusu Mtumishi zitakua kwenye mfumo huu. Ikiwemo Kujaza...
  8. Meneja Wa Makampuni

    Andika mawazo yako: Ujamaa ni nini? Na ubepari ni nini? Na ni mfumo upi mzuri unapaswa kufuatwa na nchi ili iwe na maendeleo?

    Watu wengi huzungumzia ujamaa na ubepari lakini bado hawaelewi kwa kina. Katika taifa letu la Tanzania tuna mchanganyiko wa ujamaa na ubepari. Mfano mdogo uwepo wa sekta binafsi hiyo ni ishara ya kuwepo kwa ubepari. Na nikwambie tu kuna baadhi ya taasisi katika taifa letu zinatumia mfumo wa...
  9. K

    Kama matumizi ya gesi ni nafuu kuliko mafuta kwanini vituo haviongezwi kwenye mikoa mingine?

    Juzi nilikuwa Dar na mara nyingi nilikuwa natumia usafiri wa bolt. Asilimia 90 ya magari ya bolt niliyokuwa natumia yanatumia gesi kwa ajili ya uendeshaji. Nilibahatika kumuuliza dereva mmoja juu ya matumizi ya gesi na akanieleza kuwa akijaza gesi ya Tshs. 14,000 anaitumia kwa kilomita 200...
  10. Kiboko ya Jiwe

    Ni mfumo wa mpinga kristo ndio leo hii umempa mwanamke mamlaka ya kumshika na kumkaripia mume wake akichepuka

    Kwa kasi hii ya Dunia I hope 50 yrs later wanaume ndio watakuwa wanachumbiwa na kuolewa na wanawake. Ile mamlaka ya Kiungu na kiuongozi ndani ya mwanaume inapotea taratibu. Inafika wakati sms tu ya kawaida ambayo haina ushahidi wa 100% kuwa mume wake anaishi kimapenzi na mwanamke mwingine...
  11. t blj

    Nani anahusika na mfumo wa malipo wa serikali - GEPG?

    Habari wakuu, Kwa wanafanya malipo ya serikali watakubaliana nami kuwa, mfumo wa kulipia na kuhakiki malipo wa serikali " government e payment gateway" (GEPG), haufanyi kazi vizuri kwa takriban mwezi sasa! Hali hii inasababisha usumbufu mkubwa wa kufanya na kuhakiki malipo ya serikali. Ni...
  12. K

    Chama chetu CCM kichukue hatua za haraka

    Jana tulikuwa na Mkutano Mkuu wa Mtaa ulioitishwa na CCM kuelezea wananchi wa Mtaa ilani ya Chama Cha Ma;induzi yaani utekelezaji wa shughuli za maendeleo tangu Awamu ya sita iingie madarakani na tangu Awamu ya Tano na Sita hawajaitisha mkutano mkuu wa mtaa. Mtaa wetu una takriban watu wazima...
  13. U

    Sijafurahia kuitwa Kwa wachezaji wa Simba timu za taifa kucheza Bonanza, wanaweza kukosa mechi za caf au kuchelewa kurudi kwenye mfumo wakirudi

    tuna game ngum na muda wa kujiandaa unaenda kumezwa na haya mashindano uchwara, Taifa stars inatarajiwa kurudi tarehe 27, hatujakaa sawa tarehe 29 kuna mechi ngumu dhidi ya Al Ahly Kuna tetesi Al Ahly wameomba Wachezaji wasijumuishwe Team ya Taifa wabaki wajiandae na club bingwa. Kwa upande wa...
  14. LAPSE RATE

    Mzungu arekodiwa akieleza jinsi wamejinga kuendelea kuididimiza Afrika

    Inasikitisha ukisikiliza video hii mzungu akieleza namna ya kuididimiza Afrika Kusini mwa jangwa la sahara.
  15. Meneja Wa Makampuni

    Wabunge: Serikali iagize magari yanayotumia mfumo wa gesi uliofungwa toka kiwandani moja kwa moja

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, imeishauri Serikali kuagiza magari yenye mfumo wa gesi ambao una gharama nafuu, hali itakayosaidia kupunguza gharama za mafuta kutokana na uwepo wa Gesi Nchini. Ushauri huo, umetolewa hii leo Machi 15, 2024 na Mwenyekiti wa kamati hiyo, David...
  16. D

    Natengeneza mfumo wa kukusanya kodi baada ya miaka 10 utakuwa na uwezo wa kukusanya usd billion 700+ kwa kila mwaka wa fedha

    Kama kisemacho kichwa cha habari kwa sahivi natengeneza mfumo wa kodi ambao ukiwa adopted baada ya miaka 10 utakua na uwezo wa kukusanya usd billion 700+. Nikimaliza ntawapa mrejesho.
  17. JamiiCheck

    AFP: Upotoshaji wa taarifa wakati wa Uchaguzi huweza kumhusu Mgombea, Chama cha Siasa au Mfumo Mzima wa Uchaguzi

    Shirika la habari la AFP wakiwa wanatoa mafunzo mtandaoni wamebainisha namna upotoshaji wakati wa Uchaguzi unaweza kutokea kwa Mgombea, Chama pamoja na Mfumo. Wanaeleza, Upotoshaji kwa Mgombea hulenga kutoa taarifa zisizo sahihi kuhusu Mgombea fulani. Upotoshaji wa Chama cha Siasa hukusudia...
  18. Kilunguru

    Feedback kwenye mfumo wa ESS

    Huu mfumo ni mzuri sana, Ila sjajua feedback ya huduma tulizoziomba tunazipataje na kwa muda gani, kwa anayejua au alishawahi pewa feedback atupe elimu kidogo.
  19. A

    KERO Serikali ibadilishe mfumo wa ulipaji wa kodi ya majengo, washushe mzigo kwa Wapangaji uende kwa Wamiliki

    Naiomba serikali iweke chaguo katika ulipaji wa kodi ya majengo. Serikali iandae mfumo wa kuomba Control number kupitia namba za mita ili mwenye jengo aweze kufanya malipo kwa muda anaoutaka na ikiwa hajalipia kwa muda fulani mfano miezi 6 au mwaka mzima basi deni hilo lihamishiwe moja kwa moja...
  20. Jadda

    Mimi naona dunia iachane na mfumo dume na rasmi 50/50 ishike hatamu

    Ndio, kuna msemo unasema "with great authority comes great responsibility" yani kila mamlaka makubwa huambatana na majukumu makubwa, lakini jambo la kushangaza ni kwamba wanaume wengi hasa wa kiafrika wanayataka hayo mamlaka tu ila majukumu hawayataki Mimi naona ifike pahala dunia iachane rasmi...
Back
Top Bottom