DOKEZO Mfumo wa BRELA unasumbua kutuma barua pepe ya uthibitishaji

DOKEZO Mfumo wa BRELA unasumbua kutuma barua pepe ya uthibitishaji

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Mose visum

New Member
Joined
Oct 20, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Ni wiki ya tatu sasa nikiwa najaribu kutumia mfumo wa BRELA kusajili jina la biashara, lakini nakumbana na changamoto ile ile kila mara. Mfumo unaonesha kuwa barua pepe (email) imetumwa, lakini ninapokagua kwenye email yangu hakuna ujumbe wowote unaowasili.

Nimejaribu mara nyingi bila mafanikio, ikiwemo kutumia anuani tofauti za barua pepe, lakini tatizo bado linaendelea kujitokeza.

Naomba mamlaka husika zilitazame na kulitatua tatizo hili ili huduma za usajili ziweze kupatikana bila usumbufu.
 
Back
Top Bottom