Mfumo wa bos Brela hauna notifications

Mfumo wa bos Brela hauna notifications

Candela

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2021
Posts
903
Reaction score
2,460
Katika mfumo wa ORS ulikuwa ukifanya application unapata notifications za status ya maombi yako. Mfano kama kuna mabadiliko au marekebisho mfumo una ku notify.

Baada ya kuhamia BOS haiko hivyo tena. Unatakiwa kuingia kwenye akaunti moja kwa moja kuangalia kama kuna updates zozote.
 
Back
Top Bottom