Peculiar Enterprises Ltd. ni kampuni ya teknolojia inayobuni na kutengeneza mifumo ya kidijitali kwa makampuni, mashirika, taasisi na biashara zenye mahitaji ya kitaasisi.
Mbali na kuendesha mfumo unaosimamia zaidi ya biashara 20,000 Africa unaojulikana kama SmartBusiness, pia tunatengeneza mifumo maalum (custom software) kulingana na mahitaji ya kila mteja.
Huduma zetu ni pamoja na:
• Website za kampuni – kuanzia TZS 10,000,000 (kulingana na idadi ya kurasa na features).
• ERP Systems – kuanzia TZS 20,000,000.
• Project Management Systems – kuanzia TZS 30,000,000.
• Manufacturing Management Systems – kuanzia TZS 50,000,000.
• CRM, HRM, Inventory, Logistics na mifumo mingine maalum ya usimamizi.
Hatutoi ready-made systems. Kila mfumo tunaoutengeneza huanzia kwenye uchambuzi wa mahitaji ya kampuni au taasisi husika ili kuhakikisha unasaidia taratibu zao za kazi na malengo yao ya muda mrefu.
Hatufanyi kazi na watu binafsi (individuals). Tunahudumia kampuni, mashirika, taasisi, viwanda na biashara zinazohitaji mifumo ya kitaalamu kwa shughuli zao.
Ikiwa unawakilisha kampuni au taasisi inayotaka kuboresha ufanisi kwa kutumia teknolojia, wasiliana nasi tujadili suluhisho linalokidhi mahitaji yako wasiliana nasi kwa +255683171398 / info@pel.tz / Contact Us — Peculiar Enterprises Company Limited (PEL)