members

A member of parliament (MP) is the representative of the people who live in their constituency. In many countries with bicameral parliaments, this category includes specifically members of the lower house, as upper houses often have a different title. Member of Congress is an equivalent term in other jurisdictions.
Members of parliament seem to tend to form parliamentary groups (also called parliamentary parties) with members of the same political party.

View More On Wikipedia.org
  1. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Huyu Said ni nani humu JF ambaye wanaamini ndiye Baba wa members wote?

    Nimeona sehemu nyingi ukimjibu mtu basi juu kwenye msg yake anaandikwa mfano Komeo la chuma Said. Nikawa najiuliza kwa nini JF mliona jina la Said ndo liwe Surname ya members wote? Kwa nini basi isiwe Komeo la Chuma Ali au Ngendembwe John. Ila mmeamua iwe 1. Komeo la Chuma Said 2. Kizuio Said...
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kuna members hapa jamiiforum hawajawahi kupanda usafiri wa bodaboda

    Je kuna watu kabisa katika maisha yao hawajawahi kupanda boda ?
  3. N

    JamiiForums Tanzania PHOTO: First Class CHADEMA members

    Sema neno moja kwa hawa wanachama daraja la kwanza toka Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA
  4. Brojust

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kuwa platinum member wa JF. Hivi huwa wanaangalia aina za mada au ukongwe wa member, Hongereni sana platinum members sijaona kilaza kabisa.

    JF kwa kweli hongereni sana timu nzima ya wakandarasi wa mtandao huu pendwa. Licha ya kwamba JF imekuwa jukwaa huru, lakini hawa platinum members kwa kweli wamekuwa ni watu wa maana kabisa. Ukiona mtu kama Kiranga au Mshana Jr ana comment kwenye mada yako basi ujue kwamba hiyo mada ni ya...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi wangu unaonyesha wanaume wengi hufa mapema kwa sababu hawakupendwa na wake zao

    UCHUNGUZI WANGU UNAONYESHA WANAUME WENGI HUFA MAPEMA KWA SABABU HAWAKUPENDWA NA WAKE ZAO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Watu wengi hujiuliza Kwa nini Wanaume hutangulia Kufa Kabla ya Wake zao. Imefikia hatua jamii imeshakuwa na mtazamo huo kuwa Mwanaume lazima atangulie Kufa Jambo ambalo...
  6. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania JF new members only

    Je una swali? Je una changamoto yoyote? Je kuna ufafanuzi unahitaji? Karibu hapa wakongwe wakuhudumie.. Si kila kitu tuwasumbue moderators mengine tunaweza kusaidiana hapa hapa
  7. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania jF members wa 2090's, pls know that I also existed

    Future members wa forum hii [ambayo kwa sasa inaitwa Jamii forums] Enyi mtakaojaaliwa kuishi miaka hii ya 2090. Mjue tu, namimi ◇Nilizaliwa nikiwa kitoto kichanga ◇Nikakuzwa na wazazi hata kufikia utu uzima ◇Nami nikajaliwa uzao wangu Hata sasa 25/10/2024 wakati nachora ujumbe huu...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Expert Members wengi wanaongoza kwa reply za hovyo tofauti kabisa na expectation zetu

    Kwa JamiiForums na tarajia expert member's ndo mfano wa kuigwa but reality ni tofauti kabisa unakuta mtu kapost uzi very serious then Expert member anakuja kupost reply iliyojaa pumba tupu why is that happening
  9. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania JF members waliopotea siku nyingi jukwaani

    Masanilo a.k.a Rev. Masanilo BAK a.k.a Bubu Ataka Kusema klorokwini kwinini Numbisa Nazjaz mfuga majoka Jemima Mrembo Sumbalawinyo @kidukulilo Bill Lugano a.k.a tajiri litutumbwe Hebu ongeza wengine
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Washauri wake Wakuu ni hawa Members wetu hapa Mwanafunzi wangu Lucas Mwashambwa na Mchovu ChoiceVariable mlitegemea Jipya Kwake jana?

    Na bahati nzuri 97% ya Wanafunzi wangu wote niliowafundisha kuanzia Mwezi August, 2010 hadi November 2013 hivi sasa Wanafanya vyema kabisa huko waliko na wengi wao huwa Wananishukuru mno kwa Madini Tukuka niliyokuwa nawapa lakini sijui kwanini huyu Lucas Mwashambwa hakuchukua Ujiniasi wangu ili...
  11. smttz

    JamiiForums Tanzania Hellow dear Members

    Habari timu ya wana jamii forums? Nafuraha kujumuika pamoja katika jukwaa hili huru.
  12. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Naomba list ya App ambazo zinamilikiwa na members wa jukwaa hili

    Kila siku tumekuwa tunajadili App zenye majina makubwa makubwa Leo nimekuja naomba list ya App ambazo zinamilikiwa na member wa jukwaa hili pengine zitatufaa zaidi kwa mahitaji yetu kuliko hizi ambazo zimekuwa popular Nawakaribisha
  13. C

    JamiiForums Tanzania Taja members ambao hujawaona tena hapa JamiiForums tangu Simba SC ifungwe na Yanga SC ili tuwatafute popote walipo wasije wakawa labda walishajinyonga

    naanza na huyu rodrick alexander yupo wapi?
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Senior DP Members USA wamethubutu Kukataa Biden asigombee kwa kuona hana Uwezo, je, CCM wanaweza kufanya hivyo 2025?

    Senior DP Members USA wamethubutu Kukataa Biden asigombee kwa kuona hana Uwezo, je, na Senior MCC Members in AZT nao wataweza Kumkataa Mtu 2025? Pia soma: Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024 Kwani wengi wao ukikutana nao Wanamkataa Mtu Fudenge kabisa ila mbele ya Mic...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Nawakubali sana hawa members wa jf, Mzee wa kupambania, Natafuta ajira, Extrovert, Equation x, mzabzab, DeepPond, Robert mtibeli, Analyse na Umughaka

    Shout out to you brothers, wengine kati yenu mna vipaji vya kuelezea story k.v Eric shigongo, wengine mnatoa post zenye falsafa iliyo timamu, wengine kati yenu huwa nikisomaga comments au post zenu mara nyingi huwaga nacheka kabla ya kujibu, wengine majina yenu ya humu yanachekesha, mara...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kisabato wa sasa ninyi ni kikwazo kwa watu kushika Sabato ya Bwana

    Moja ya Amri za Mungu katika kitabu cha kutoka 20 ni kuikumbuka siku ya Sabato na kuitakasa. Na hakuna ubishi kuwa siku ya saba ndiyo siku ya Sabato. Pia hakuna ubishi kuwa siku ya saba ya juma ni jumamosi. Labda kwa waswahili tu ambao wengi ni wavivu wa kusoma na kufikiri. Hata hivyo...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

    Achila mbali IDs au avatar yake... Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain fulani hivi wanaovutia na kujielewa, lakini pia ni magentlemen flani hivi watanashati kweli kweli...
  18. mkalamo

    JamiiForums Tanzania Hundreds of members of the Indian diaspora and volunteers of the Overseas Friends of the BJP (OFBJP)-USA orchestrated a vibrant “Modi Ka Pariv"

    FBJP volunteers, led by Adapa Prasad, President of OFBJP-USA gathered at the iconic Times Square in New York City on Sunday. On this bright sunny day, hundreds of supporters of Prime Minister Narendra Modi gathered here to demonstrate their solidarity, affirming their relationship with the...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Thanks JamiiForums members!

    Habari zenu jamii forum members, aisee nilikuwa nikifuatilia jamii forum Kwa muda mrefu tangia mwaka 2012 , yaani miaka 12 iliyopita, japo am new member here. NIMEJIFUNZA MAMBO MENGI. Na nimeona wasomi wa humu au labda, wakishua au watu wakawaida tu, wako fair katika kutoa mawazo, na michango...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Wilaya gani katika mkoa wa Ruvuma ni rafiki kwa kilimo cha vitunguu?

    Jamaani mashamba yanayoweza kuwa rafiki kwa kilimo Cha vitunguu mkoa wa ruvuma yapo wilaya gani?
Back
Top Bottom