A member of parliament (MP) is the representative of the people who live in their constituency. In many countries with bicameral parliaments, this category includes specifically members of the lower house, as upper houses often have a different title. Member of Congress is an equivalent term in other jurisdictions.
Members of parliament seem to tend to form parliamentary groups (also called parliamentary parties) with members of the same political party.
Ni dhahiri kwamba baada ya JF kupigwa ban members wengi wamekimbilia kwenye mitandao mingine.
Natumai kuwa membaz wengine wako Facebook, X (Twitter), na Instagram hiyo siyo shida sana. Shida ni kwamba members wengine sasa hivi wako TikTok wakifanya challenge ya Ngoma za akina Zuchu na Nandi...
Mada hii ni maalum kwa ajili ya JF-Expert members. Kuanzia leo, tambua kuwa maneno unayo-post humu, licha ya kuhifadhiwa na servers za JF, yanatunzwa pia kwenye "servers" za mbinguni. Yesu mwenyewe alisema, “Lakini nawaambia, katika siku ya hukumu watu watatoa maelezo kuhusu kila neno walilonena...
Mimi ni shabiki mkubwa wa wanachama wa hili jukwaa. Muda mwingi nawasoma kimya kimya....
Sasa fikiria ile couple inayotikisa mtaa...inaweza kuwepo hapa JF sema tu baadhi ya wanachama hawajakutana. Wanachama gani unadhani wangepeana chance wanaweza kutengeneza the hottest couple hapa jukwaani...
Watu kama Lovely Emmy , Ponjoro wa Kinondoni Covax Malaria 2 haszu , Manfried , The Mongolian Savage DIVISHENI FOO na wengine wengi, unaona kabisa ni aina ya watu msongo unawasumbua
TUWASAIDIE
Salaam. Nembo niliyoibuni (nembo A) ilifanikiwa kuingia 3 bora shindano la Rajamu ya Taifa (Nation Brand Mark) - MADE IN TANZANIA. Shindano lilikuwa na jumla ya washiriki 83.
Kama member wa JF, nilikuja hapa kuomba support yenu katika zoezi la upigaji kura ambapo members wengi walinipigia...
Komeo Lachuma - huyu jamaa ni moja ya members watata sana na huwa simwelewi atakuwa mtu wa namna gani. Hakuna siku itapita hajagombana na mtu, hajaonesha ubabe na hajachokoza mtu. Nahitaji kuonana naye nimfanye kama case study katika suala la personality. Je atakuwa ni mtu wa namna gani kwa...
Yan haya maisha usijihaminishe lolote hasa Kwa kiumbe wa jinsia yakike uwe unahela utapigwa matukio, uwe katili utapigwa matukio, uwe sijui handsome boy utapigwa matukio, uwe na viuno kama fally ipupa utapigwa matukio, uwe unanukia kama majini utapigwa matukio.
Kwa afya ya akili na mwili...
Ukija PM yangu imejaa msgs toka kwa wanangwengwe wakiwa na mambo mbalimbali lakini hawanikatishi tamaa. Mimi nlishatangaza vita kwa makundi ya watu hawa bila kujali Dini, Makabila yao, Vyama au Itikadi zao.
Nlishasema hawa nitawapasua tu hata kama nitabaki peke yangu wao watakuwa milion moja...
Kuna members watakuwa wako bize kugombania kuanzisha uzi wa fainal kati ya Berkane vs Simba
Hili nalo ni tatizo la afya ya akili, kwanini msisubirie lisaa limoja kabla ya mechi ndio mfungue uzi?
Maana hata uchambuzi wa mechi mara nyingi huanza lisaa limoja kabla ya mechi.
Fun enough...
Yu wapi Nyani Ngabu ?huyu jamaa miaka yake amekula sana watoto wa humu. Akija TZ toka Marekani anakobeba mabox anarudi na Dollar. Anawakwangua sana mabinti wa JF. Amekuwa kimya siku hizi.
Angalau leo nimemsoma GuDume hatari sana hii namba. BABU CHAFU. huwa nacheka tu napomsoma. Leo nimemsoma...
Laying this infrastructure was a crucial step.
My first encounter with Demi
Kupost picha yangu humu as if nipo Facebook...
Kuwa crushed na kupewa rules and regs..
Mshana Jr na Uzi wake wa meditation...
Alivyosoent his time in a Buddhist Monastery .. south Africa
Uzi wa Naomba kuongea na...
Muktadha wa Uzi wangu unajieleza. Nafafanua;
Kuna watu wasiopenda wajulikane milele na kwanamna yoyote Ile kwamba walikuwa kwenye social media flani na mawazo haya ndio waliyoyatoa kwenye social media wakiwa hai au wamekufa.
Swali langu je wewe ungependa uwe wazi na ujulikane kwenye social...
CHADEMA Central Committee and Esteemed Members of CHADEMA,
As you embark on your sacred mission to stop the 2025 general elections from happening without meaningful reforms, it is imperative that you reflect on the values that define you as a party and the principles that will guide you to...
Ikifika saa sita usiku kutakuwa nyuzi zisizopungua 3 za Simba na Yanga. Huwa inashangaza sana🤣
Hebu mtag anayefaa kuanzisha uzi huo ili wengine wapumzike tuu
Si mara kwa mara huwa napitia Jamii Forums, lakini mara nilipokuja kuvutiwa na mijadala kwenye jukwaa hili, nilikutana na kundi la vijana wanaojiita “Kataa Ndoa.” Vijana hawa wanazua mjadala mkubwa, na maoni juu yao yanatofautiana sana – kuna wale wanaowaona kama wanaokwepa majukumu, wengine...
afya
afya ya akili
afya ya uzazi
akili
gen z
kataa
kataa ndoa
kubwa
kundi
matatizo
members
mfumuko wa bei ya vyakula
ndoa
tatizo
uchumi duni
uzazi
wanaokataa ndoa
wengi
Mungu AWABARIKI SANA SANA wote mlio hai
MUNGU axidi kuwainua na kuwapa furaha maishani mwenu
Wale members waliotangulia MBELE za Mungu
MUNGU akawape pumziko la milele
Mkawe na amani na furaha 2025
Happynewyr n advance
Rgds
Pdidy
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.