Ni members gani huwapendi humu JF?

Ni members gani huwapendi humu JF?

Its insane! Unawezaje kumchukia mtu hakupunguzii wala kukuongezea kitu, mental health is real. Kwa ushauri tu kama member ana michango inayokukwaza au kutopendezwa nayo simply muweke kwenye ignore list, easy.
 
Back
Top Bottom