Kuwahi kumaliza chuo sio kuwahi kuajiriwa achilia mbali kuajiriwa sehem inayolipa mshahara safi na marupu rupu kibao.
Kuna wengine wanamaliza vyuo wana 22, ajira wanaingia taasisi kubwa wakiwa na 23, wengi wao niliowashuhudia pesa nyingi ilitumika zaidi kwenye magari.
Wengine wanamaliza wana...
Wakati nasoma primary mkoa wa Tanga, dada mkuu wa shule aliwahi kunipiga yeye akiwa la Saba Mimi la tano. Kisa chenyewe kidoogo kiganja changu cha mkono wa kushoto kilipigana kikumbo na makalio yake.
Ilikuwa bahati mbaya Ila kwakuwa nilikuwa mtundu alidhani nimefanya makusudi.
Sasa hivi ni...
Naombeni tofauti ya hao niliowataja hapo juu. Zoeni lililopita lilikuwa la "Kuondoa wa Machinga" ukiingia kwandani utapata maswali.
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Mapato, kuna viwango vilivyotajwa ili apewe kitambulisho cha wafanyabiashara ndogondogo.
Mzunguko wa mauzo ghafi kwa mwaka yasizidi...
Wataalamu wa serikali ya awamu ya tano wa Jiji la Arusha wameona wawapange wamachinga kwa mfumo huu
1. Soko la Mbauda litakuwa la nguo za mitumba.
2. Soko la Machame Luxury litakuwa la vyombo na vifaa vya umeme.
3. Soko la Ulezi litakuwa maalumu kwa nguo za dukani.
4. Soko la Kilombero...
Wakuu salaam,
Mie nina swali nauliza
Eti ni kweli kuwa mtu mwenye mwandiko mdogo ni mchoyo?
Na kuna uhusiano gani kati ya mwandiko wa mtu na tabia zake?
Wewe kama mwanafunzi wa chuo, una nafasi nzuri ya kufanya biashara. Kutokana na wingi wa watu waliokuzunguka na kuwa na uwezo wa kujua mahitaji yao. Kwanza inakubidi kutambua mahitaji ya kila siku ya wanafunzi wenzako. Nikimaanisha kuwa mara nyingi mahitaji yako ya kilasiku, ndio mahitaji ya...
Lipo tatizo la tume ya uchaguzi kuacha kuendesha uchaguzi na kubaki na taarifa za copy and paste kwa kiwango Cha data wanachoamua wao.
Huko Ushetu CCM na ACT pekee wamepigiwa kura zaidi ya laki moja na elfu sita. Kwa tuliokuwa tunafuatilia kampeni na baadaye siku ya kupiga kura lazima tujiulize...
Mdogo wangu Rayvanny , najua hujawahi kusoma chuo kikuu na huelewi mazingira ya chuo, hata Kama ndo hivyo jua mchumba hasomeshwi, p funk mwenyewe hawezi kumsomesha Paula nje kwasababu amemdharau, hizo pesa utakazokuwa unamtumia watafaidi younger boys than you atawapa yeye.
Kwanini umtolee ada...
Kuanza biashara kunahitaji maandalizi. Nikimaanisha unahitaji kuwa na maarifa flani tofauti kulinganisha na wale uliowakuta ili ata nao pia wajifunze kutoka kwako. Ikiwezekana na wewe uendelee kujifunza kutoka kwao. Kwenye kipengele hiki tutaenda kuangalia namna ya kufungua biashara ukiwa...
Mganga Mkuu wa Mkoa, Dkt. Boniphace Marwa amesema Mkoa huo haufanyi vizuri katika mapokeo ya Chanjo licha ya Maambukizi kuwepo pamoja na Vifo vya Wagonjwa.
Dkt. Marwa amesema sababu zinazopelekea mwamko mdogo wa Wananchi ni pamoja na sababu za kijamii na Elimu ya Chanjo kutowafikia Watu wengi...
Ebanaaaeeee hi Ameira si ipo la liga jameni? hawa wa west africans hata kama ni magarasa ila wana mawakala very aggresive kwa kweli yaani msuva angekuwa ni mpopo leo angekuwa anacheza hata ubelgiji au uturuki
Watu wengi wamekuwa wakitamani kuanza biashara lakini wanafikiri namna ya kuanza kwani mtaji wao ni mdogo sana.
Usiogope; kuwa na mtaji mdogo au kutokuwa nao kabisa sio mwisho wako wa kutimiza malengo yako.
“Usilie juu ya kile ambacho huna; tumia vizuri kile ulichonacho.”
Zipo mbinu mbalimbali...
Mtoto Mdogo wakiume alimuuliza Mama yake kwa upole: "Unalia nini Mama?"
Mama yake akajibu: "Kwasababu Mimi ni mwanamke!"
Sijakuelewa Mama.
"Sijakuelewa Mama!?"
Mama yake akamtazama kidogo, kisha akasema: "Na kamwe hutoelewa"
Basi Mtoto hakulizika, ivyo akamfuata Baba yake nakumuuliza swali...
Kuna waendesha pikipiki wengi ikifika jioni/usiku huendesha pikipiki wakati wamesha taa kali sana. Wengine hubadilisha taa halisi na kuweka mwanga mkali sana kwa watumiaji wengine wa barabara
Huwa najiuliza:
Hivi hizi pikipiki hazina sehemu ya kupunguza mwanga wa taa?
Kimsingi ni hatari sana...
Na Salma Said, Zanzibar
Ushiriki wa wanawake katika masuala uongozi ni jambo ambalo limekuwa likipigiwa kelele sana na watetezi wa haki za wanawake wakitaka kushirikishwa kikamilifu kama azimio namba tano la umoja wa kimataifa linalotaka asibakishwe mtu nyuma.
Wadau wanatambua kuwa kuna...
Leo Bungeni wakati wa maswali na Majibu, Kuna swali lililohusu mabadiliko ya mitaala ya Elimu ili kuendana na hali ilivyo.
Naibu waziri wa elimu alikiri kuwa mfumo wetu wa Elimu uliopo haumsaidii Mhitimu kuweza kujiajiri hivyo wapo kwenye mchakato wa kubadilisha Mitaala inayotumika kukidhi...
Habari Wadau,
Gari yangu ni Honda fit inatoa mlio wa gu gu guuuu ( non metal clucking) mguu wa mbele kulia hata kwenye speed ndogo kwenye barabara yenye vishimo shimo.
Nimebadisha Shocks zote na Stabilizer links zote na kufanya ukaguzi wa kina stabilizer bushes na ball joints zote zikaonekana...
Dar es Salaam ni kama imebeba picha ya Tanzania nzima wakati fulani ni kama pilot (case study) katika mikoa mingine.
Mkuu wa mkoa wa DSM alitangaza siku ya leo kuwa kutakua na chanjo ya UVIKO-19 katika uwanja wa taifa wa Uhuru, mimi nimekwenda na nimechanjwa hali nilioiona kwa leo hapana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.