mdogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chachu Ombara

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakimu akamatwa akiwa na binti mdogo kwenye nyumba ya kulala wageni

    Hakimu akamatwa akiwa na binti wa chini ya umri wa miaka 18 akiwa kwenye nyumba ya kulala wageni Afisa huyo wa mahakama ambaye jina lake limehifadhiwa alinaswa akiwa na msichana huyo wa umri wa miaka 17 katika nyumba ya kulala wageni katika Kituo cha Kaplong huko Bomet. Kamanda wa Kaunti ya...
  2. Troublemaker

    JamiiForums Tanzania Namsaidiaje mdogo wangu huyu angalau awe msafi?

    Hello members! Ni mdogo wangu wa mwisho wa kiume miaka 17+ Nashindwa kuelewa ni malezi au nini. Ila mbona sie wengine ndugu zake hatuko hivyo. Naanza kuhofia asije kuona namnyanyasa. Yaani unaweza kurudi home unakuta kakaa na mavyombo machafu hana habari. Vitu viko hovyo, kupangilia kila kitu...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Augustino Mrema kufunga ndoa Machi 24, 2022. Amepata kimwana mdogo

    Picha: Mwenyekiti wa TLP Taifa Dk. Augustino Mrema Mwenyekiti wa TLP Taifa Dk. Augustino Mrema ametangaza kufunga ndoa siku ya Alhamisi Machi 24,2022 katika Parokia ya Uwomboni kijijini kwake Kiraracha mkoani Kilimanjaro. === Mwenyekiti wa TLP Taifa Dk. Augustino Mrema ametangaza kufunga ndoa...
  4. Mbeya Girl

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nahisi mdogo wangu ana matatizo

    Habari zenu Nina mdogo wangu wakike umri ni early 20s, amemaliza chuo mwaka jana mpaka sasa yupo tu home Ana tabia yakupenda sana kuandika (vitu mbalimbali kwenye notebook zake) na kusoma vitabu na articles mbalimbali pia anaangalia sana movies, kinacho nifanya niulize ni kwasababu amezidi...
  5. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Mtoto mdogo kuhisi kiu usiku ni tatizo?

    Wakuu Salaam Kwenu nyote Nina mtoto ana Miaka miwili na miezi kama minne siku za karibuni amekuwa na tatizo ambalo sijalielewa, Anakuwa na kiu sana usiku hasa majira ya saa tisa hadi 11 lazima aamke adai Mma(Maji) sijui hii itakuwa ni tatizo ama ni jambo la kawaida? Naomba mwenye ufahamu...
  6. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Huyu mdogo wangu ananitia mashaka

    Nna mdogo wngu wa kiume ana miaka 19. Handsome ana akili. Watoto wa kike hawaishi kujigonga wanamfata hadi nyumbani kisingizio wanakuja kusoma. Watoto wazurii wanamfata lakin hakuna ata goli kutoka kwa mdogo wngu :( Kuna kipndi nilikua nikimkuta na msichana nawaambia wote kwa pamoja "mnapendeza...
  7. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Kazi uliyokuwa ukiipenda pindi ungali mdogo ndo unaifanya Sasa?

    Ulihitaji sekunde kadhaa na macho kuona uwezo na kipaji Cha pekee kilichowekwa kwenye mguu wangu wa kushoto..... Ilitokea Mara kwa mara wapitanjia kusimamisha.... shughuli Zao kustaajabu kipaji na uwezo wa kipekee uwanjani Wapo walio nitabilia makubwa.....wapo walio toa fedha Zao kunituza...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tundu Lissu ni mdogo wangu tu, mimi ni Rais na ni dada yake

    Binafsi na kwa Umri wangu huu sijawahi kuona Rais mnyenyekevu na mpole kama huyu (She is so simple ever). Kwa unyenyekevu mkubwa nawaomba na kuwasihi watanzania wote wanaopenda amani, utulivu na ustawi wa mtu mmoja mmoja tumuungeni mkono Rais wetu kwani ni hakika anatupenda sana kama Taifa...
  9. Kasie

    JamiiForums Tanzania Mdogo Mdogo Hadi kwa Binamu.....🍷

    Basi bwana, Nimetoka zangu bustanini kung'olea majani na kumwagilia mboogambooga. Naingia ndani nakuta missed call 8 kuangalia ni binamu..... Nampigia binamu vipii, anaitika binamu njoo nimezidiwa.... Wangu wangu hadi kwa binamu, nafika ananikaribisha mezani.... Ngumu sana kukwepa mitego...
  10. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Mbalizi Mbeya: Mfanyakazi wa ndani amepotea njia akiwa na mtoto mdogo, msaada wenu

  11. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka Luteni Urio anaenda kuharibu ushahidi dhidi ya Mbowe na wenzake 3. Fact hizi hapa

    1. Wakati akitoa ushahidi wake wote Mara kadhaa wakili aliyemuongoza alisita kuendelea kumuuliza na kuanza kuteta chini kwa chini ikionesha Kuna majibu Alitoa nje ya matarajio yao. 2. Kucheleweshwa ushaidi wake kwa siku moja ama kulikuwa na mashaka juu ya ushaidi wake kutoka kwa mawakili wa...
  12. Myebusi Mweusi

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyojifunza uchawi nikiwa ningali mdogo shuleni

    Sina nia ya kudanganya chochote ila kupitia kisa changu cha ukweli kilichonikuta mimi mwenyewe jaribu kuzijua nyendo na tabia za mwanao asije kuharibika ama kuharibiwa. Nilianza elimu ya msingi miaka ya 80 katikati ila nilianza kwa kuchelewa kwani kijiji chetu na vijiji jirani havikuwa na...
  13. AjeyTz

    JamiiForums Tanzania Shule gani nzuri naweza mpeleka huyu mtoto?

    Jamani, niko na mdogo wangu wa kiume anasoma Olimpio hapa Upanga yuko darasa la 4 kuna kibarua nilikuwa najishikiza sas mkataba umeisha na anatakiwa aende shule na kule imekuwa mbali kwaiyo nikilipa ada lazima nilipe na pesa ya usafiri naishi mbagara sas nahitaj kumuhamisha swali ni shule gani...
  14. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Hivi ukija kujua hili kama wewe utafanyaje?

    Hivi ukijajua mdogo wako tena kipenzi ni mtoto wa mume wako ambaye amezaa na mama yako utafanyaje? Naomba ushauri positive not negative.
  15. Mlolongo

    JamiiForums Tanzania Sasa kaka, mtanipeleka wapi au ndio basi tena?

    Muhusika: Mdogo wangu kamaliza form four Issue: Kwa matokeo yake alopata, what next? Kaniuliza kama kaka yake. Matokeo yake yakoje: Haya hapa: Civics C ... History D... Geography D ... Kiswahili B ... English C ... Lit. Eng C ... Chemia D ... Biology D ... Mathematics F. Nimesikia ili uendelee...
  16. itakiamo

    JamiiForums Tanzania Fanya hivi kwa mdogo wako

    Kama una mdogo wako amemaliza chuo miaka ya hivi karibuni jaribu kumtia moyo kwa kumtumia 30,000 au 40,000 bila sababu, yaani mtumie tu, yaani Fanya surprise, ikiwezekana rudia Mara kwa Mara , atakushukuru sana na kipato chako kitaongezeka maradufu
  17. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Imethibitika Uwezo wa Kiuongozi wa Job Ndugai ni Mdogo Sana; Je Alipatikanaje?

    Tazama haya machache; 1. Kumpiga Chilongani mgonbea mwenzie kwenye kura za maoni CCM Kongwa 2015 2. Kukataa kumlipia Tundu Lissu matibabu kisha kumnyang'anya ubunge wa Ikungi, mwaka 2017-19 3. Kumrudisha Cecil Mwambe wa CHADEMA ambaye alikuwa amejivua uwanachama mwaka 2020 4. Kuwakumbatia...
  18. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa utetezi wakwamisha uamuzi mdogo kesi ya Sabaya

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha leo Jumatano Desemba 29, 2021 imeshindwa kutoa uamuzi mdogo katika kesi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita baada ya mawakili wa utetezi kushindwa kufika mahakamani. Katika kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 27 ya mwaka...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mdogo mdogo utabiri unatimia. UFUNUO 13:11-18

  20. B

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu Gerson Msigwa, iheshimishe ofisi uliyopewa...tumia mitandao Kwa maslahi mapana ya utumishi

    Nadhani Gerson Msigwa anaomba mama afuatilie kuona kama anafaa au amteme. Mambo anayopost Msigwa siyo mambo yakupamba kurasa za watu wa kariba yake. Ukurasa wake wa mtandao wa kijamii unasave purpose yake binafsi na Serikali pia. Account yake inategemewa kuendelea kuitangaza Nchi, kumbuka...
Back
Top Bottom