mdogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pastory Kimaryo

    JamiiForums Tanzania Jeff Bezos akiwa mdogo alikataliwa na baba yake mzazi na akamrithisha kwa baba mwinginekisheria" leo ndiye tajiri namba moja duniani

    Imeandikwa na Ngusa john kutoka Facebook Ted Jorgensen, alipokuwa na umri wa miaka 17, alikutana na binti mrembo aliyekuwa akisoma naye shule moja, Jackyn Gise, aliyekuwa na umri wa miaka 16. Wakapendana. Wakaanza safari ya mapenzi. Jacklyn akanasa ujauzito. Wakati Jacklyn anashika mimba...
  2. Copolla

    JamiiForums Tanzania Ni Psychological Effects gani anapata kijana mdogo akifanya mapenzi na mtu mzima?

    Habari. Naomba mnisaidie kunijuza kuhusu psychological effects (madhara ya kisaikolojia) anayoyapata mtoto wa kiume au wakike akiwa na tabia ya kupenda kufanya mapenzi na watu wazima. Yaani waliomzidi umri sana mfano kama utofauti wa miaka 10 na kuendelea.
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake

    Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake. Huu ni mwaka wa kumi hajajenga wala kununua kiwanja. Anaishi nyumba ya kupanga. Havai vizuri, anavaa mishati na mitisheti mikubwa. Wakati mwingine anavaa suruali zilizopauka mpaka unaweza...
  4. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani inafaa kufanywa na mtoto mdogo?

    Likizo inayokuja nataka kufanya kitu tofauti kwa watoto wangu. Pamoja na kujisomea nyumbani ila nitaweka nguvu kuwafundisha biashara kwa vitendo. Nataka niwafungulie biashara ya kufanya kila mtu na yake na wapo wawili. Nitawakopesha mtaji na nitawadai wakimaliza likizo faida yao itanunulia...
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Utofauti upi umewahi kuushuhudia kati ya anaepata ajira inayolipa vizuri akiwa bado kijana na yule ambae umri umeenda kidogo?

    Kuwahi kumaliza chuo sio kuwahi kuajiriwa achilia mbali kuajiriwa sehem inayolipa mshahara safi na marupu rupu kibao. Kuna wengine wanamaliza vyuo wana 22, ajira wanaingia taasisi kubwa wakiwa na 23, wengi wao niliowashuhudia pesa nyingi ilitumika zaidi kwenye magari. Wengine wanamaliza wana...
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu ana kipaji cha kumwigiza Rais Samia

    Habarini za leo wakuu, Leo nimekuja na hii video ikimwonyesha mdogo wangu anayeweza kumwigiza Rais Samia mwanzo mwisho.
  7. Superbug

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kupigwa na head girl assemble, sasa hivi anaolewa na mdogo wangu

    Wakati nasoma primary mkoa wa Tanga, dada mkuu wa shule aliwahi kunipiga yeye akiwa la Saba Mimi la tano. Kisa chenyewe kidoogo kiganja changu cha mkono wa kushoto kilipigana kikumbo na makalio yake. Ilikuwa bahati mbaya Ila kwakuwa nilikuwa mtundu alidhani nimefanya makusudi. Sasa hivi ni...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya mchuuzi, machinga, mjasiriamali na mfanyabiashara mdogo

    Naombeni tofauti ya hao niliowataja hapo juu. Zoeni lililopita lilikuwa la "Kuondoa wa Machinga" ukiingia kwandani utapata maswali. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Mapato, kuna viwango vilivyotajwa ili apewe kitambulisho cha wafanyabiashara ndogondogo. Mzunguko wa mauzo ghafi kwa mwaka yasizidi...
  9. K

    JamiiForums Tanzania RC Arusha na timu yake waonesha uwezo mdogo wa kuwaza kuhusu upangaji Machinga

    Wataalamu wa serikali ya awamu ya tano wa Jiji la Arusha wameona wawapange wamachinga kwa mfumo huu 1. Soko la Mbauda litakuwa la nguo za mitumba. 2. Soko la Machame Luxury litakuwa la vyombo na vifaa vya umeme. 3. Soko la Ulezi litakuwa maalumu kwa nguo za dukani. 4. Soko la Kilombero...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mama mdogo wa kutesti mitambo yuko wapi wadau?

    Imepita muda sijamsikia mama wa kutesti mitambo, mkumbusheni arudi kwenye game, tusije tukamsahau aisee Wasalaam!
  11. Mama pretty

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu kuwa na mwandiko mdogo na uchoyo

    Wakuu salaam, Mie nina swali nauliza Eti ni kweli kuwa mtu mwenye mwandiko mdogo ni mchoyo? Na kuna uhusiano gani kati ya mwandiko wa mtu na tabia zake?
  12. AA TANCH TRADING COMPANY

    JamiiForums Tanzania Biashara za mtaji mdogo ukiwa chuo. Anza kujifunza kuhusu biashara mapema

    Wewe kama mwanafunzi wa chuo, una nafasi nzuri ya kufanya biashara. Kutokana na wingi wa watu waliokuzunguka na kuwa na uwezo wa kujua mahitaji yao. Kwanza inakubidi kutambua mahitaji ya kila siku ya wanafunzi wenzako. Nikimaanisha kuwa mara nyingi mahitaji yako ya kilasiku, ndio mahitaji ya...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mdogo Ushetu. Waliopiga kura 106,000+. Ambao hawakupiga kura ni wangapi?

    Lipo tatizo la tume ya uchaguzi kuacha kuendesha uchaguzi na kubaki na taarifa za copy and paste kwa kiwango Cha data wanachoamua wao. Huko Ushetu CCM na ACT pekee wamepigiwa kura zaidi ya laki moja na elfu sita. Kwa tuliokuwa tunafuatilia kampeni na baadaye siku ya kupiga kura lazima tujiulize...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rayvanny bwana mdogo, Mchumba hasomeshwi, umeshindwaje asome bongo

    Mdogo wangu Rayvanny , najua hujawahi kusoma chuo kikuu na huelewi mazingira ya chuo, hata Kama ndo hivyo jua mchumba hasomeshwi, p funk mwenyewe hawezi kumsomesha Paula nje kwasababu amemdharau, hizo pesa utakazokuwa unamtumia watafaidi younger boys than you atawapa yeye. Kwanini umtolee ada...
  15. AA TANCH TRADING COMPANY

    JamiiForums Tanzania Biashara 5 bora za mtaji mdogo za kufanya ata ukiwa nyumbani

    Kuanza biashara kunahitaji maandalizi. Nikimaanisha unahitaji kuwa na maarifa flani tofauti kulinganisha na wale uliowakuta ili ata nao pia wajifunze kutoka kwako. Ikiwezekana na wewe uendelee kujifunza kutoka kwao. Kwenye kipengele hiki tutaenda kuangalia namna ya kufungua biashara ukiwa...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Mwamko wa Chanjo ya Covid-19 ni mdogo sana

    Mganga Mkuu wa Mkoa, Dkt. Boniphace Marwa amesema Mkoa huo haufanyi vizuri katika mapokeo ya Chanjo licha ya Maambukizi kuwepo pamoja na Vifo vya Wagonjwa. Dkt. Marwa amesema sababu zinazopelekea mwamko mdogo wa Wananchi ni pamoja na sababu za kijamii na Elimu ya Chanjo kutowafikia Watu wengi...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Huyu aliyejiunga Hispania ni Lokosa yule au mdogo wake? heeeeee

    Ebanaaaeeee hi Ameira si ipo la liga jameni? hawa wa west africans hata kama ni magarasa ila wana mawakala very aggresive kwa kweli yaani msuva angekuwa ni mpopo leo angekuwa anacheza hata ubelgiji au uturuki
  18. Allen loy

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuanza biashara na mtaji mdogo

    Watu wengi wamekuwa wakitamani kuanza biashara lakini wanafikiri namna ya kuanza kwani mtaji wao ni mdogo sana. Usiogope; kuwa na mtaji mdogo au kutokuwa nao kabisa sio mwisho wako wa kutimiza malengo yako. “Usilie juu ya kile ambacho huna; tumia vizuri kile ulichonacho.” Zipo mbinu mbalimbali...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Mtoto Mdogo wa kiume alimuuliza Mama yake

    Mtoto Mdogo wakiume alimuuliza Mama yake kwa upole: "Unalia nini Mama?" Mama yake akajibu: "Kwasababu Mimi ni mwanamke!" Sijakuelewa Mama. "Sijakuelewa Mama!?" Mama yake akamtazama kidogo, kisha akasema: "Na kamwe hutoelewa" Basi Mtoto hakulizika, ivyo akamfuata Baba yake nakumuuliza swali...
  20. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Hivi taa la Pikipiki hazina mwanga mdogo (low)?

    Kuna waendesha pikipiki wengi ikifika jioni/usiku huendesha pikipiki wakati wamesha taa kali sana. Wengine hubadilisha taa halisi na kuweka mwanga mkali sana kwa watumiaji wengine wa barabara Huwa najiuliza: Hivi hizi pikipiki hazina sehemu ya kupunguza mwanga wa taa? Kimsingi ni hatari sana...
Back
Top Bottom