Tsh. Milioni 700 kwa atakayempata Mchina aliyemuua mwenzake Dar

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,458
MCHIINA.jpg
Familia ya Fu Nannan ambaye ni raia wa China aliyeuawa Juni 11, 2022, kwa kupigwa risasi nyumbani kwake Ilala Jijini Dar es Salaam na Mchina mwenzie aitwaye Zheng Lingyao, imeahidi dau la Shilingi Milioni 700 kwa atakayefanikisha kupatikana kwa mtuhiwa huyo.

Fu Nannan, aliuawa kwa risasi wakati akiamua ugomvi kati ya mwanamke aitwaye Nie Mnqin, ambaye inadaiwa aliwahi kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mtuhumiwa, na mwili wake umezikwa leo Juni 26, 2022, Mikocheni Dar es Salaam.

Wafanyakazi na wakazi wa Kitongoji cha Madodo, Mkuranga kilipo kiwanda cha marehemu wamesema mbali na fursa za ajira walizozipata marehemu amekuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ya jamii hiyo.

Source: EATV
 
Mshana Jr nadhan anaweza wasaidia. Alileta uzi juu ya wachina wanakuja bongo kuwekeza kwenye umalaya.
 
Familia ya Fu Nannan ambaye ni raia wa China aliyeuawa Juni 11, 2022, kwa kupigwa risasi nyumbani kwake Ilala Jijini Dar es Salaam na Mchina mwenzie aitwaye Zheng Lingyao, imeahidi dau la Shilingi Milioni 700 kwa atakayefanikisha kupatikana kwa mtuhiwa huyo.

Fu Nannan, aliuawa kwa risasi wakati akiamua ugomvi kati ya mwanamke aitwaye Nie Mnqin, ambaye inadaiwa aliwahi kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mtuhumiwa, na mwili wake umezikwa leo Juni 26, 2022, Mikocheni Dar es Salaam.

Wafanyakazi na wakazi wa Kitongoji cha Madodo, Mkuranga kilipo kiwanda cha marehemu wamesema mbali na fursa za ajira walizozipata marehemu amekuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ya jamii hiyo.

Source: EATV
Yupo kwa Ashura, pale Tabata relini.
 
Back
Top Bottom