Kelele zilizidi sana mjini tulikuwa hatunywi maji wala kumeza mate, mara sisi ndio chawa wa mama, sisi wafupi wa mama, bodaboda wa mama, wabeba vyuma wa mama, barabara ya mama, hospital ya mama, was too much.
Leo kimya hakuna cha nywi nywi wala nywinywinywi, CCM kimya, Uvccm kimya, chawa wa...