Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 4,507
- 4,697
Sasa mtu kama huyu Watanzania waanzie wapi kumsamehe? Mtu anayeijua kweli, lakini kachagua kukaa on the wrong side hasameheki.Wasalaam.
Siasa ni sayansi na si mchezo mchafu, kama huamini sikiliza haya maneno ya mwanasayansi wa siasa utanielewa.
Yes,Wasalaam.
Siasa ni sayansi na si mchezo mchafu, kama huamini sikiliza haya maneno ya mwanasayansi wa siasa utanielewa.
Sijui mzee alikengeuka wapi mpaka leo anaimba pambio za kusifu na kuabuduKuna mda watu walikua wanafanya kweli
Tuwaombee tuuh!?Asali asali
Sijui mzee alikengeuka wapi mpaka leo anaimba pambio za kusifu na kuabudu