Hivi mchawi anaweza kukuroga kama hujalala?

Tundusami

Senior Member
Joined
Feb 7, 2026
Posts
116
Reaction score
270
Wachawi wanawanga usiku. Sasa kaka wewe sio mtu wa kulala usiku tufanye kazini unaingia usiku au unakesha usiku kucha unaperuzi bila kulala au upo sehemu unakunywa pombe mchawi atakupata kweli?
 
Labda umechanganya mchawi na mwanga..
Mchawi no 24/7 popote anapiga kazi .. Mwanga ni usiku watu wakiwa wamelala
 
Back
Top Bottom