Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 10,000
- 16,207
Nilikua usukumani, nikiwa kama mganga wa Zahanati ya kijiji,
Kulikua na msimbe mmoja ambae tulikua tunafanana makabila, kazi yake alikuwa akifanya kazi Grocery, muuza vinywaji.
Siku nazungumza nae alikuja ofisini kwangu, akaniomba nimtolee Njiti.
Basi bhana nilikua na upwiru mwingi kijiji kile nilikua nakaa single.
Basi kwenye kutongoza Mwanamke akaniambia kwamba kuna jamaa ndio mpinzani wangu, na huyo jamaa tayari anakikwazo alimdanganya Manzi kuwa hajaowa kumbe ana mke na watoto.
Basi mimi nikajisemea nina haki zaidi yake, kwanini amuache mkewe aje kwako,
Basi nikasema kwa dharau haniwezi kitu huyo, kuna kipindi alikua anatuma sms kwenye namba ya Manzi usiku tukiwa kitandani..
Jamaa analalamika kuachwa, Na kuapa kutukomoa.
Basi bhana, jamaa ikabidi atume na vitisho kupitia jamaa mwingine ambae nilikua na urafiki nae,
mimi nikamwambia rudisha ujumbe kwake mwambie hivi, mimi ni maiti inayotembea, sina cha kupoteza hii dunia.
Nyie mbususu hizi 😂😅 ni noma, Basi siku moja Tukiwa tumelala mimi na Mwanamke wangu usiku, Tukatembelewa....
**inaendelea.