mchango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. eliakeem

    JamiiForums Tanzania Kuadhimisha Siku Kiswahili Duniani: Nini Mchango wa JamiiForum Katika Kukuza Kiswahili Duniani

    Ni Jukwaa pendwa na watu wengi sana. Watumiaji wa kiswahili, lakini pia kiingereza. Nimeanzisha uzi huu ili kupata maoni ya wanaJF kuhusu ambavyo jukwaa hili pendwa lilivyochangia kukuza kiswahili nchini, nje ya mipaka ya nchi na duniani kwa ujumla. Karibuni kuchangia.
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Huu Mchango wa Uendeshaji wa Shule ya Longido Sekondari si ndio ada yenyewe au Serikali imefuta ada ipi?

    Jamani wazazi tunalia na michango ya Shule ngazi ya kidato cha tano, Serikali imetangaza kufuta ada kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha sita kwa shule za Serikali lakini tunachokutana nacho huku kwenye uhalisia ni tofauti. Tunaambiwa ada imefutwa lakini katika masharti au form za Watoto...
  3. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mtakaochangia mchango wa kufungua kesi hela zenu hazina kazi na kichwani kidogo kuna shida

    Hivi hao mawakili wameshindwa kweli kujichanga ndio wafungue kesi? Walifungua kesi wakitegemea pesa za watz? Na serikali mliwapaje kibari cha kutuchangisha uhuu ninupumbavu wafutiwe kibari cha kuchangisha Watz siku zote wanawaza kuwapiga watu uhuu ninupumbavu uhu upepo utaenda na pesa za watu...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Sekta ya kuchakata, kusindika na kufunga bidhaa itatoa mchango mkubwa katika kuongeza thamani ya bidhaa za Tanzania

    Kwenye maonyesho ya tatu ya uchumi na biashara kati ya China na Afrika yaliyofanyika hivi karibuni katika mji wa Changsha mkoani Hunan, bidhaa nyingi kutoka Afrika zilioneshwa na kuvutia wateja wengi wa China. Licha ya kuwa waonyesha bidhaa hizo walipata wateja wengi na kuuza bidhaa zao, moja ya...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kupoteza marafiki sababu ulishindwa kutoa mchango wa harusi?

    Imekuwa kawaida mtu anapokuwa anatarajia kuoa/kuolewa kutoa kadi za michango kwa ndugu, jamaa na marafiki ili wakamilishe jambo lao. Kimbebe kinakuja pale umepewa kadi halafu kutokana na changamoto mbalimbali ukashindwa kutoa mchango huo. Jamaa huwa hawaelewi na ndio inaweza kuwa chanzo cha...
  6. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kesho Irene Uwoya akihitaji mchango wa matibabu utatoa sh ngapi?

  7. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mchango wa Taasisi za Dini katika Kuimarisha Utawala Bora: Jinsi ya Kushirikiana na Taasisi za Dini

    MCHANGO WA TAASISI ZA DINI KATIKA KUIMARISHA UTAWALA BORA: JINSI YA KUSHIRIKIANA NA TAASISI ZA DINI Imeandikwa Na: Mwl.RCT UTANGULIZI Je, unajua kuwa taasisi za dini zina mchango mkubwa katika kuimarisha utawala bora nchini Tanzania? Taasisi za dini ni mojawapo ya nguzo muhimu za jamii...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Siuoni mchango wa wabunge toka visiwani kwenye bunge la Muungano

    Huwa naangalia Sana bunge letu likiwa live. Huwa sioni mchango wa wale ndugu 54 kutoka Zanzibar ilhali kila siku wanachukua posho. Nashauri Kama inajadiliwa wizara isiyo yamuungano, hawa 54 wasiingie bungeni na wasipewe posho kwa siku husika. Mbunge kutoka Zanzibar atachangia nini kwa mfano...
  9. African Geek

    JamiiForums Tanzania Naombeni mchango wa mawazo juu ya hii Project.

    Habari wana JF, Mimi ni Developer ( Web & Mobile ). Nina uzoefu na web development upande wa Backend na Frontend. Pia nimejifunza mobile app development kwa Flutter na nimefanikiwa kufanya project kadhaa ndogo ndogo kwa ajili ya kujiimarisha na kupata uzoefu wa kile nilichojifunza. Kwa sasa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mchango wa kujenga teknolojia shindani nchini Tanzania

    1.Historia ya ukuaji wa teknolojia Teknolojia ni utumiaji wa maarifa ya sayansi kwa ajili ya kubuni, kuunda, kuboresha na kutumia zana, vifaa, mifumo, na michakato ya kufanyia kazi ili kuchangia maendeleo katika maisha ya binadamu au katika utendaji wa shughuli zozote za kibinadamu kwa uharaka...
  11. wababayangu

    JamiiForums Tanzania Nape bwana! Muda wake mwingi kautumia kumsifia Rais

    Mjadala wa leo Bungeni ni mjadala muhimu sana kwa watanzania. Lengo mahsusi la mjadala wa leo ni wabumge kutoa elimu au kuwapa mwamga watanzania kuhusu malalamiko mengi ya wananchi kuhusu ubinafisishwaji wa bandari ya DSM Mh Nape mda wake wote, mwanzo mwisho kautumia kumsifia Rais badala ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mchango mkubwa unaofanywa na mafundi ujenzi anayejenga majengo ya serikali kwa mfumo wa force account

    Mimi ni fundi ujenzi nimesomea chuo cha ufund Arusha, Mwaka 2018 nilipata kazi ya kitui cha afya umaliziaji wa jengo la mama na mtoto. Nilifanya kazi hiyo nikiwa kama fundi msaidiz kwani alishika tenda ni fundi mwingine tulikubaliana kuwa atanilipa tsh 15000 kwa siku hata hivyo kwa huku kijijin...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mambo 6 aliyoyaona Luhaga Mpina Wizara ya Nishati

    MCHANGO WA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) AKICHANGIA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA NISHATI KWA MWAKA 2023/2024 BUNGENI DODOMA TAREHE 1 JUNI 2023 1: UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, nichukue nafasi hii kukushukuru sana kwa nafasi hii uliyonipa nami...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuchangisha walimu mchango wa mwenge

    Hili suala la kuchangisha walimu mchango wa mwenge limekuwa endelevu Kwa sababu Kila mwaka walimu wanakuwa wakichangia Kwa kulazimisha. Mbaya zaidi Kila mwaka fedha inakuwa ikiongezeka mfanonkutoka sh. 2000 kwenda sh. 5000. Hapa walimu wanatakiwa kujua nini Kilichosababisha ongezeko hilo. Hii...
  15. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Feisal Salum ajaweka post ya mchango kaweka tangazo la biashara

    Naona watu mapovu yanawatoka kuhusu post ya Feisal ila kama unauelewa game vizuri utagundua Feisal anataka mambo mawili. 1. Ameweka tangazo la biashara la kampuni ya simu. Kafanikiwa. 2. Kuendelea kupata sympathy ili apate justification kwenye muendelezo wa kesi yake. Msipanic sana wana Yanga...
  16. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Marehemu Benard Membe hana mchango mkubwa kwenye taifa hili kama alivyokuwa Lyatonga Mrema

    Naona tribute zimekuwa nyingi sana . Lakini mbona mnasahau ule upigaji kupitia ubalozi wa Libya? Mrema alizuia dhahabu za taifa letu zisiibiwe. Alisema siku saba majambazi wakabizi bunduki polizi na walikabidhi. Tuwe wakweli juu ya mashujaa wa taifa letu
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hit song ya Pcee- Kilimanjaro, Je wizara ya Utalii imeona mchango wake?

    Nimeshangazwa sana na Hit song ya PCee-Kilimanjaro inavyo pendwa na kuchezwa kwenye social media. Kiukweli jamaa anastahili pongezi kwa kuitangaza Kilimanjaro ambapo wasanii wetu wa ndani wameshindwa kuwa wabunifu kama jamaa. Kiukweli Pcee apewe credits zake, Kilimanjaro imepewa promo kubwa na...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Mpina yuko sahihi, Wizara walitaja Idadi ya mikataba bila kutaja jina la mkataba na thamani ya kila mkataba

    Mhe. Mpina nianze kukupongeza kwa michango yako kila Bunge linapokaa. Leo ulipokuwa unachangia kwenye bajeti ya Wizara ya Sheria na Katiba ulitoa hoja ambayo kila Mtanzania atakuunga mkono. Wizara katika taarifa yake walitaja Idadi ya mikataba bila kutaja jina la mkataba na thamani ya kila...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC Rungwe apongeza mchango wa Wananchi katika ujenzi wa Shule ya Msingi na Bweni la Sekondari

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amefanya ziara katika Kata ya Ikuti na kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wakazi wa kata hiyo. Akikagua ujenzi wa shule mpya ya msingi katika Kijiji cha Ikuti pamoja hosteli ya wavulana katika Shule ya Sekondari Ikuti kwa nyakati tofauti...
  20. MoseKing

    JamiiForums Tanzania Msimu wa Mateso kwa Watumishi: Halmashauri zimeanza kuwatishia Walimu na watumishi wengine kutoa mchango wa Mwenge, 2023

    Yaani kuwa mtumishi Halmashauri ni kama laana, kimshahara chenyewe cha mtumishi ni kidogo, alipe Kodi ya nyumba. Bado Serikali inashirikiana na vyama vya Wafanyakazi kukata pesa za mishahara ya Watumishi bila msaada, then kwenye kimshahara hicho hicho bado unatishiwa na kulazimisha kuchangia...
Back
Top Bottom