mchango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Mchango Mmojawapo wa Chadema kwa Taifa

    ............ style ya mavazi yao yanayoitwa magwanda; ya kwangu yako kwenyhe closet, niliyavaa mara chache sana. Vyama vingine vimeanza kuiga style hiyo!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Afisa mtendaji kata Lulembela awafikisha mahakamani baadhi ya watumishi kwa kutolipa mchango aliouanzisha

    Afisa mtendaji kata ya Lulembela wilaya ya Mbogwe mkoani Geita leo tarehe 6 September 2021 amewafikisha mahakamani baadhi ya watumishi (Walimu na wataalamu wa afya) kujibu shauri alilolifungua (KUPINGA MAENDELEO) katika mahakama ya mwanzo Lulembela. Katika shauri hilo walilosomewa watumishi hao...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Afisa Mtendaji Kata ya Lulembela anatisha na kulazimisha wananchi na watumishi kutoa mchango

    Afisa Mtendaji kata ya Lulembela, wilaya ya Mbogwe, mkoa wa Geita amekuwa Mungu mtu kwa kutisha na kulazimisha wananchi na watumishi kutoa mchango wa maendeleo bila staha na kuzingatia utu wa mtu. Anamtumia balozi wa nyumba kumi anayeitwa Benard Gwanguru ambaye amekuwa akiambatana na mgambo...
  4. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Tiba asili ina mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa

    Kaimu Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) upande wa taaluma Prof. Samweli Kabote akifunga maadhimisho na maonesho ya wiki ya tiba asili ya mwafrika Kanda ya Mashariki yaliyofanyika kwenye viwanja vya Soko Kuu la Chifu Kingalu Manispaa ya Morogoro. Mkurugenzi wa...
  5. World Logistics Company

    JamiiForums Tanzania Mchango wetu kwa Watanzania katikati ya wimbi la Corona

    Wakati dunia bado inahangaika na janga la corona au UVIKO19, nasi tumeona tutoe mchango wetu kwa wanaotafuta riziki kupitia biashara zao hususan wale wanaofuata bidhaa zao huko China, Uingereza, Uarabuni na mataifa mengine. Siku hizi kusafiri imekuwa shida sana, shida zaidi ni kuagiza na...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mchango wa Chama cha Kikomunisti cha China kwa maendeleo, amani na utulivu wa dunia

    Na Ronald Mutie Chama cha Kikomunisti Cha China sio tu kimesaidia nchini hiyo kufikia muujiza wa maendeleo ya kiuchumi lakini pia China imekuwa mchangiaji mkubwa kwa maendeleo ya ulimwengu, amani na utulivu. Mkuu wa Tume ya Uhusiano wa nje wa Chama cha Kikomunisti cha Kamati Kuu ya Vietnam...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Sengerema: Viongozi wapigwa chini kwa kukusanya mchango wa ujenzi wa zahanati kwa lazima

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Ummy Mwalimu amewasimamisha kazi Mtendaji wa kijiji cha Nyamililo Wilayani Sengerema Mariamu Mgunda, pamoja na mwenyekiti wa Kijiji hicho Mateso Shibayi na kuwaweka ndani kwa kosa la kuchangisha kwa nguvu fedha za...
  8. Semu Msongole

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mchango wa Jamii katika kuboresha Elimu Tanzania

    Katika taifa letu la Tanzania, watanzania tumejijengea utaratibu wa kushirikiana katika maswala mbalimbali ndani ya jamii zetu kama kuchangiana harusi, kutoa rambi rambi kwenye misiba na kujenga makanisa pamoja na misikiti. Haya yote yanafanyika na yanafanikiwa kutokana na nguvu ya umoja na...
  9. Kilenzi Jr

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini ELIMU ya juu haitoi mchango kikamilifu kukuza uchumi wa nchi?

    Pamoja na kuongezeka kukubwa kwa wanafunzi wanaojiunga na elimu ya juu, vyuo vyingi vikuu vya Kiafrika havitoi wahitimu wengi, na wengi wao hawana stadi zinazohitajiwa kuinua maendeleo ya kiuchumi ya taifa katika karne ya 21. Kwa hiyo kizuizi kimoja kikubwa katika kukuza uchumi ni maamuzi...
  10. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Mchango wangu kwa serikali kufikia lengo la trilioni mbili kila mwezi

    Inafahamika kwamba kila siku duniani kote wafanyabiashara wanapanga mbinu za kila aina kuweza kukwepa kodi,ndio maana watu kama Ronaldo na Messi wamewahi kukamatwa na kushtakiwa kwa kukwepa kodi, Kama tumeamua kuwabembeleza wafanyabiashara, basi kuna mambo mawili ya kufanya mdaiwa asipolipa...
Back
Top Bottom