Habari wataalamu wa Magari humu ndani.
Hivi karibuni nimetaka kufanya utafiti wa kutumia gari ya Toyota aqua Hybrid kwa ajili ya Bolt, Nafanya part time tu.
kwa siku kama 10 nimepata mapato kama hayo hapa sijaweka gharama za service. Mwenye uzoefu wa kutumia gari ya Gesi na mafuta, kama...
“Ogopa Mungu na teknolojia,” na tena: “Siku ya kufa nyani, miti yote huteleza.”
Katika mazingira ambayo upatikanaji wa intaneti si wa uhakika—hata simu za kawaida hupata shida ya mtandao.lengo liliikiwa kunyima haki ya mawazo mbadala na kuendeleza hofu ya watawala. Matokeo yake yamekuwa aibu...
•Taasisi ya Saratani Ocean ni hospital ya taifa kwa utoaji huduma za saratani hapa Tanzania.
•Huduma zinazotelewa zinajumuisha elimu ya afya, saratani,chanjo za saratani,uchunguzi wa awali ,vipimo,tiba, mafunzo na tafiti za saratani.
•Taasisi inahudumia wagonjwa kutoka ndani ya nchi wa nje ya...
Mapato yanayokusanywa sasa yanafika kama shiling trillion 32 haya ni makadirio siyo actual figure
TRA wanakusanya kama Trillion 24 na mapato mengine tofauti na kodi ni kama Trillion 8 hii ni kama sample tu ya mtizamo wangu
Team Dennis 255713520180
👇👇👇👇
Mchanganuo
A) Trillion 10 kuservice madeni...
Habari zenu wadau, naomba niwarudishe nyuma kidogo juu ya swala hili la nyongeza ya mishahara
Niwatake ndugu, jamaa na marafiki wawe tu watulivu kwa hawa walengwa walioongezewa 35.1% ambayo ni sawa na TZS 130 000 hadi kufikia TZS 500 000 kutoka TZS 370 000 ya kwamba bado itakuwa sio rahisi...
HABARI WANA JAMII FORUM
Naomba maelekezo juu ya biashara ya mbao
1,upatikanaji
2,usafirishaji
3,jinsi ya UENDESHAJI wa biashara
4, mtaji wa chini kiasi gani
5,namna ya kutafuta soko
Salamu Wakuu Leo Napenda Kuwashirikisha Katika Mchanganuo Huu Wa Biashara Ya SALOON Hasa Ya Kiume.
Biashara ya SALOON Ya Kiume ni Wazo Zuri. Hapa chini Nimekuandalia Mchanganuo Wa Biashara Hii Pamoja Na Gharama Halisi (Makadirio) Za Kuanzisha Saluni ya Kiume.
KUMBUKA BEI/GHARAMA ZA VITU HAPA...
biashara
biashara ya saloon
biashara ya saluni
mchanganuomchanganuo wa biashara
mchanganuo wa biashara ya saluni
mtaji
mtaji wa biashara
salon
saloon
saloon saluni
Wakuu Kwema?
Nimekutana na habari X huko inasema kutokana na Sera za PBS (Public Broadcasting Service) wanaofanya kipindi cha Royal Tour, Peter hakutakiwa kulipwa pesa yoyote kutoka serikali ya Tanzania, sababu uhusika wake unakuwa umelipiwa kutoka kwa ufadhili wa kampuni kwenye kipindi...
Habari za wakati huu;
Ni matumaini yangu kwamba unendelea salama na shughuli zako za ujenzi wa Taifa.
Leo nimeleta Mjada kuhusu aina ya Biashara inayohusisha zaidi na Ununuaji na Uuzaji wa bidhaa na huduma.Biashara hii ambayo ni biashara maarufu zaidi ulimwenguni huwa inahusisha mnunuzi...
Mchanganuo wa biashara ni hatua muhimu katika mchakato wa kuanzisha au kuendeleza biashara. Inahusisha uchambuzi wa kina wa mambo mbalimbali yanayohusiana na biashara yako, na inaweza kusaidia kutoa mwongozo wa kufanikiwa kwa biashara yako. Unaweza kuwa na mchanganuo wa biashara ambayo tayari ni...
Habari ya uzima wana jamii forum
Naomba msaada juu ya mchanganuo wa kufungua library classic ya movie na series HD/4K ipoje na imekaaje soko lake kwa sasa.
1. Mahitaji kiujumla
2. Faida na hasara(changamoto)
3. Ushauri na maoni yanapokelewa
Naomba msaada wenu
Kwanza, kuna gharama za mafuta ambayo ni bei ya mafuta katika soko la dunia na gharama ya uagizaji wa mafuta hayo inayojumuisha gharama za usafirishaji, bima na faida ya mletaji wa mafuta (supplier). Katika bei za Mei 2022 gharama hizi zilikuwa ni kama ifuatavyo:
(i) Petroli – bei ya soko la...
Habari zenu, Nimechoka kusubiri mshahara wa kila mwezi nimeona nijiongeze, nimeona nichote milioni 7 kwenye akiba nifungue biashara ya Ps nipo Mbeya.
naombeni mnisahishe, kunishauri na mnipe mawazo mengine
MCHANGANUO WANGU
MTAJI WA KUANZIA
PS4 nne zenye games 2,500,000
tv nne 1,500,000
pad...
Naomba kufahamishwa Mchanganuo wa Mambo kadhaa Kwa uzoefu wa biashara ya kisasa Kwa duka la vyakula Yaan vitu vya nyumban na mitandao Ya Pesa Frames Location mkoani ,Mtaji 3.5M
Nipate Picha wa mchanganuo wa bidhaa Kwa Mtaji huo wa 3.5M ukiondoa shelfu Zipo,mizani ,meza,kiti na Frizer ziko...
HILI suala la mikopo tusipoliangalia litugawa kama Taifa, alianza Ndugai tukaona ni utani akapoteza nafasi ya Uspika, akaja kulizungumzia bungeni Luhaga Mpina naye akapoteza nafasi ya kuteuliwa kugombea nafasi ya NEC aliyoomba kupitia CCM.
Akazungumza tena bungeni Oran Njeza Mbunge wa Mbeya...
Poleni na mapambano wakuu.
Twende kwenye mada, nahitaji kujenga chumba kimoja chenye size tajwa hapo juu. Halafu baadae nitajenga chumba/rest room juu yake. Kinaunganishwa toka kwenye nyumba kubwa. Kwa maana ukuta mmoja itakuwa wa nyumba kubwa ambayo tayari ipo.
Naomba kufahamu uchanganuzi wa...
Habari wakuu.
Hapa nimeleta mchanganuo wa KuJenga Apartment yenye nyumba Tano (mbili za vyumba viwili, sebule, jiko na Choo na Tatu za chumba kimoja, sebule, jiko na choo)
Tofali za msingi = 2856 (kwa kozi sita)
Tofali za Boma = 5015
Bati (za 0.9m X 3m) = 175 pc
Nime’attach picha yenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.