mbwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Damaso

    JamiiForums Tanzania Utafiti wa The Kennel Club unaonyesha asilimia kubwa ya wanawake walio-single wanapendelea urafiki wao mkubwa na Mbwa kuliko kuwa na mahusiano ya kima

    Utafiti wa The Kennel Club unaonyesha asilimia kubwa ya wanawake walio-single wanapendelea urafiki wao mkubwa na Mbwa kuliko kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume. Kwa mujibu huo wa The Kennel Club inayotambulika duniani kwa jukumu la kusimamia shughuli mbalimbali za mbwa zinasema...
  2. Setfree

    JamiiForums Tanzania Duuh! Amepigwa kipigo cha mbwa koko!

    Majigambo yake yameisha. Amepigwa kipigo cha mbwa koko! Amepigwa na Bwana Mkubwa! Loo, aibu yake! Alivyoona amefaulu kuwaingiza mtegoni ndugu zetu, kwa hila zake, alifikiri atadumu kuwa mwerevu. Sasa ameshushwa chini kabisa. Kila mtu anamzomea, hata watoto wadogo wanambeza! Alijiinua juu kwa...
  3. ngara23

    JamiiForums Tanzania Azam FC yaiokoa Simba na mashindano ya Shirikisho

    Leo Azam fc- imekubali kipigo kutoka Kwa Pamba Jiji Hiki kipigo kinamaanisha kuwa ametoa nafasi ya Simba kushika nafasi ya pili Kwa maana hiyo Simba hatacheza tena shirikisho msimu ujao Karibu tena Simba CAFCL tokeni huko shirikisho kwenye mashindano ya akina mama
  4. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tumepoteza Wanajeshi Wawili Nchini Congo Katika Mapambano na M23

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa masikitiko makubwa na uchungu mkubwa taarifa zinadai kuwa tumepoteza mashujaa wetu wawili wa JWTZ waliokuwa wakilinda amani Nchini Congo. Vifo hivyo vimetokea kutokana na mashambulizi yaliyofanywa na M23. Tutawajibu kikomandoo na watajuta . askari wetu wamekufa...
  5. Knock life

    JamiiForums Tanzania Hawa Mbwa wakizungu wana akili sana kumzidi hata binadamu

    Just watch this video
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Utamsikia anasema "Wanaume wote ni mbwa. Kama hawezi kunidekeza kama mtoto, kwendraaaaa!!"

  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ni Mkutano kisiasa wa CCM , ila Waandishi wa habari wanamuhoji WEMA SEPETU masuala ya yeye Kutokuzaa, na masuala ya Mbwa wake "Manunu"

    Wakuu hivi hii Generation ya Waandishi wa habari imetokea wapi 🤣🤣 https://youtu.be/aS5a0j4pvTk?si=S4cjS7qxzOIZSn8N
  8. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Rose Mayemba: Nimefukuzwa Makao Makuu kama mbwa na walinzi wa Mbowe. Aeleza Rushwa ya Freeman Mbowe ilivyokwamisha Uchaguzi Mkoa wa Njombe usifanyike

    https://youtu.be/pfMrZF7ISCc?si=WHSR_MisNg9yIa0e Sikuwahi kufikiri wala kumuona huyu dada kuwa kumbe ni jembe kiasi hiki... Cha ajabu eti Freeman Mbowe anamfanyia figisu figisu asiwe mwenyekiti wa chama mkoa wa Njombe - CHADEMA.. Honestly, simulizi yake hii kumhusu Freeman Mbowe inachukiza na...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Vipigo vikubwa vya Mbwa Mwizi katika hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika tangu 1998-2025

    Katika historia ya Hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika, kumekuwa na matokeo ya kushangaza yaliyoweka rekodi za ushindi wa mabao mengi. Hapa ni baadhi ya ushindi wa tofauti kubwa zaidi katika historia ya mashindano haya: Mwaka 2019: • TP Mazembe 8-0 Club Africain Mwaka 2023: •...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Busara za kondoo kwa mbwa mwitu!

    Busara ya Mbowe kwa Samia ni sawa na busara ya kondoo kwa mbwa mwitu. Ambayo kondoo ameishia kuliwa na Mbwa mwitu. Mbowe na siada za ukondoo kwa watu na mafisadi wa nchi hii haziwezekani. Nchi inahitaji Mbwa mwitu wengine kupigania kondoo sio vinginevyo. Hili ni fundisho kuna wakati hutakiwi...
  11. Magical power

    JamiiForums Tanzania Taja jina moja la mbwa hapo 😂

    Taja jina ya mbwa Moja hapo 😂
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wamiliki mbwa mijini huwa wanawapeleka wapi wanapozeeka?

    Wamiliki mbwa hasa wa mjini wanaofuga mbwa kama pets au kwa ajili ya ulinzi ndani ya mageti katika nyumba zao huwa wanawapeleka wapi hao mbwa wanapozeeka? Huwa sioni mbwa wazee katika nyumba za watu!
  13. Mbangaizaji wa Taifa

    JamiiForums Tanzania Mbona Wenje anatoa siri za Kamati upande wa pili wanamwona shujaa akisema Lissu mnasema mropokaji kweli Mbwa akipoteza uwezo wa kunusa anaelekea kufa

    Mhe Tundu Lissu akisema mambo ya Kamati kuu kwenye media anaitwa mropokaji, Mjumbe wa Kamati Mhe Ezekiah Wenje akitoa siri hizo hizo anaoneka shujaa Siku zote Mbwa akipoteza uwezo wa kunusa jueni kabisa anaelekea kufa.
  14. CARIFONIA

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Mbwa Mwitu

    🐺 Mbwa mwitu hali mizoga, iwe ya wanyama au ya binadamu huishi maisha yake yote na mwenzi mmoja, na hafanyi mapenzi na mama yake au dada yake. Ni mnyama anayejitoa kwa mwenzi mmoja (monogamous) na hacheat. Ikiwa mwenzi wake anakufa, mbwa mwitu hubaki peke yake. Anawajua vizuri watoto wake...
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tetesi ya kibabe: Katavi kimewaka inasemekana Mkuu wa kituo kachezea kichapo Cha mbwa koko

    Kasongo mbona wewoo, mobali Nangaa, habari za tetesi huko Katavi inasemekana hivyo Mkuu wa kituo cha POLICE kapigwa kama zote na wananchi wenye hasira Kali na machungu kama yote. Baada ya uthibisho neno tetesi litaondoka. Habari ndio hivyo Pang Fung Mi
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na skin walker usiku wa kuamkia leo. Alikuwa binadamu, akageuka kuwa mbwa

    Usiku wa kuamkia Leo, muda ya saa Saba usiku, nikiwa na mwanangu wa chuo kikuu cha UDSM, mke wangu, Binti wangu wa sekondari na mtoto wa kaka yangu tulikiwa tunatoka hotelini, tunalisogelea gari letu lililokuwepo maeneo ya maegesho ya Golden Tulip, Oyster Bay. Mwanga wa eneo la maegesho...
  17. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Juzi nimemtimua Mwanamke wangu

    Alinifata akiniomba msaada nimpe sehemu ya kujihifadhi, ndani ya siku 5 jasusi nilikuwa nimeishausoma mchezo, Manka anasoma game jinsi atakavyonipiga tukio, ilinibidi nipindue meza haraka sana ..... Step alizokuwa anazipitia Manka ili anipige tukio...
  18. Equation x

    JamiiForums Tanzania Njooni mtufundishe kula panya, mbwa, punda na viumbe wengine wa ajabu ajabu

    Wananzengo hamjambo? Humu kuna watu huwa wanakula panya, mbwa, punda, mende, mijusi, kenge na viumbe wengine wa ajabu ajabu. Ebu tuambieni, mnavyokuwa mnawala huwa mnahisi ladha gani? Inawezekana sisi tunawaogopa bure, huku nyie mkifaidi peke yenu kula vitu vyenye ladha nzuri. Tushawishini...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania KWELI Mbwa Laika ni kiumbe hai wa kwanza kusafiri nje ya dunia

    Nimekutana na stori inadaiwa kuna Mbwa wa Urusi anayeitwa Laika ndiye kiumbe hai wa kwanza kusafiri nje ya dunia? Kuna ukweli kuhusu historia hii?
  20. USSR

    JamiiForums Tanzania Zitto: Mbwa wakitaka kufa huanza kukosa uwezo wa kunusa

    Ni baada ya lema kusema kuwa CCM inafanya mpango na ACT WAZALENDO ili kukifanya kiwa chama kikuu cha upinzani USSR
Back
Top Bottom