mbwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Taifa stars ya mama ipigwe kipigo cha mbwa koko

    Sina mengi sana tuko bar hapa mitaa ya Uyole tunaowashangilia Naigeria wakome na makonda wao ni kipigo cha Mbwa mwizi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msiba Usio wa Kawaida: Mbwa Kuruhusiwa Kuunusa Mwili wa Marehemu kabla hajazikwa, ni sawa ?

    Nimeshuhudia mambo mengi katika misiba tofauti, lakini tukio hili nililoliona limevunja kabisa rekodi. Mbwa aliruhusiwa kuisogelea maiti na akaanza kuinusa, kulikuwa na watu wachache na ni kabla maiti haijatolewa nje kwa watu wengi kwa ajili ya kuagwa na kisha kuanza safari ya mazishi...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Padre Kessy: Mtu mjinga akikaa kimya katikati ya watu wenye hekima na yeye huoenekana ana hekima, lakini akifungua mdomo tu amejitambulisha mwenyewe

    Padre Prosper Kessy (OFM Cap) kupitia ukurasa wake wa Instagram amechapisha video akieleza ni kwa namna gani mtu mjinga anapenda kumshauri mtu mwenye hekima. "Mtu mjinga akikaa kimya katikati ya watu wenye hekima na yeye huoenekana ana hekima, lakini akifungua mdomo tu amejitambulisha mwenyewe".
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Hili "somo la kwanza” la Wakatoliki kwenye msiba wa Kardinali Pengo mbona kama lilikuwa limelenga kufikisha ujumbe flani?

    Wakuu, Jana wakati wa misa ya kumuaga Kardinali Pengo kulikuwa na hili somo maalum lililoandaliwa na likasomwa kwenye misa mbele ya Samia Kwanza picha linaanza tukio ni la msiba lakini somo limesomwa kutoka kwenye kitabu cha WAFALME. Kilichosomwa: "Neno la Bwana likamjia Elia Mtishbi kusema...
  5. Stability

    JamiiForums Tanzania Bora nikusanye mbwa na paka wa mtaani niwalee kuliko kusomesha mdada eti kisa mapenzi na ahadi ya kuoana

  6. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Sababu ya mbwa kujipeleka kwa Chatu

    Hii nimetoa Facebook. DAR ES SALAAM;MIONGONI mwa nyoka wanaoogopwa sana na watu, ingawa hana sumu ni yule aitwaye chatu. - Huyu ni mmoja wa nyoka wakubwa zaidi duniani mwenye uwezo mkubwa wa kubana na hatimaye kumeza mawindo yake makubwa yaani wanyama. - Inaelezwa na baadhi ya watu kuwa, nyoka...
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Wanadamu wana mengi ya kujifunza kutoka kwa Mbwa Mwitu!

    Wakati wa vita, Mbwa Mwitu wa kike hukaa karibu chini ya wa kiume, kwa utulivu mkuu na usio na hofu. Anamwamini kabisa na anajua nguvu zake zitawalinda wote wawili. LAKINI...! Mbwa mwitu wa kiume wana sheria moja wanayoiheshimu sana ...! Hawadhuru wanawake kamwe; hivyo mbweha jike yuko salama...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kweli mbwa sio msaada kwa ulinzi yani mwizi kaingia ndani jumapili hii kabeba flat TV na mbwa

    Leo nimetoka na familia kwenda kanisani tunarudi mda huu tunakuta flat imetolewa ukutani na mbwa mfano wa Wema Sepetu naye kaondoka. Ila ili likijana na miviatu nilishawai kusema hapa nalo kumbe lilitoka
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Myahudi au mwanamke au mbwa akipita karibu na muislamu wakati wa maombi, hayo maombi yatakatizwa

    Hapa naona imekatazwa mbwa au mwanamke au Myahudi asipitie karibu na muislamu wakati wa maombi, kwa hivyo wanawake au jamii ya Wayahudi wanachukuliwa kama nini kwenye uislamu, kuna sehemu nimesoma Mohamad aliagiza mbwa weusi wauawe. Book 2, Number 0704: Narrated Abdullah ibn Abbas: Ikrimah...
  10. Mfalme_wa_Nyika

    JamiiForums Tanzania Walichomfanya Catherine Magige (CCM VITI MAALUM ARUSHA) Ndivyo Watachomfanya Paul Makonda. WAJUMBE SIO WATU NI MBWA🤣

    Catherine Magige jana alienda kwenye uchaguzi wao pale ukumbi wa AICC Arusha akiwa anajiamini kuwa atapata kuchaguliwa na wanawake wenzake wa ccm tena viti maalum kwa kipindi cha miaka mitano tena na kukamilisha ngwe ya miaka 20... Mbunge mzigo huyu ambaye kwa miaka 15 alikuwa bungeni tu kama...
  11. Daraja2

    JamiiForums Tanzania Kenge kwenye msafara wa mamba usijinyong'onyeshe

    Habarini za jioni hii, Wakati majina yakitangazwa "mubashara" kulikuwa Kama na maelekezo ya Moja kwa Moja kwa wajumbe kumpitisha "mlengwa" katika kiti husika. Rejea "waliopitishwa Jimbo fulani wako 7 akiwemo fulani (jina la muhusika). USHAURI; Wewe ambaye bado ni mdogo kiumri jipange kisawa...
  12. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa aina za Mbwa, naomba sifa zaidi za hii breed ya mbwa!

    Kuna hizi baadhi nimepewa; Hana bima ya afya wala hamjui vet. Anajitafutia msosi wakati wa shida na kula mabaki Anaudhuria misiba na harusi ata mitaa ya mbali Anaweza kugongwa na gari, lakini akaendelea kutembea kwa miguu mitatu hadi apone Anajua siri za kila mtu hadi nani anarudishwa usiku na...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu waislamu mnaposema peponi wanaume watakuta mabikra 72 na je wanawake watakuta wanaume mapafu ya mbwa 72

    Napenda sana kusikiliza mawiza yenu ili kujifunza.Ila kuna mda naona kama mada zenu ni kama mimi naweza waza nilichoweka kwenye kichwa cha habari. Ni kwamba kule mnapofahamu ukifa ni sehemu porn mbinguni. Ijumaa njema tukutane kwenye biriani
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli fulani ila watu wa Iringa tunawasingizia kwa kupenda kitoweo cha mbwa ila watakaokuwa wanasingizia ni mikoa hii

    Tuhuma kuhusu nyama ya mbwa zinaonekana zipo mikoa fulani tukifika huku tunajua tunapata mbuzi kumbe mbwa tena kisiri. Mkoa kama tabora na kigoma baadhi ya wanyamwezi na wasukuma huamini nyama ya mbwa inatoa nguvu au huweza kutibu magonjwa fulani ya kienyeji. Mkoa wa Shinyanga na simiyu baadhi...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Naturally, mbwa hutikisa mkia na siyo mkia kumtikisa mbwa. Kulikoni kwenye kaya yetu?

    Mkia wenyewe wala siyo wa asilia, lkn unaonekana kuyatikisa majibwa. Kila mwanafamilia asilia wa kaya hii anajiuliza, kwann mkia huu bandia unatikisa majibwa kiasi hiki? Majibwa haya yatavumilia mtikisiko huu? Mkia huu bandia umekuwa ukitikisa hata majibwa makubwa ambayo yaliaminiwa hapa...
  16. Setfree

    JamiiForums Tanzania Nimewapiga wachawi—kipigo cha mbwa koko!

    Hii ni habari ya kweli kabisa. Uongo mimi nauchukia kama ukoma. Kama huamini kuna wachawi, sikiliza vizuri: Hivi majuzi, walikuja usiku, muda mfupi baada ya mimi kujilaza kitandani. Wakaanza kunikandamiza kwa nguvu sana. Mgandamizo ulikuwa mzito, utafikiri mtu ameweka juu yangu mifuko mitano...
  17. Kitwango Mikazo Miguno

    JamiiForums Tanzania Ishi na mwanamke kiakili

    TRUE STORY. Maisha hua yanatupa fundisho sana lakini hilo fundisho huwezi jua utalipata lini na wakati gani kwa muda gani. Back then wakati niko chuo mkoa X kuna baridi kinyama sana huko sasa wakati ule nilikua playboy sana hivyo sikuwahi kuumia na mapenzi kabisa na niliwahi sema aah mapenzi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa kuvimba ndani ya masikio(otitis)kwa mbwa

    🦴📌 Elimu kwa Wamiliki wa Mbwa – Fahamu Ugonjwa wa Otitis (Maambukizi ya Masikio) Habari za leo wapendwa wafugaji wa mbwa! Leo tunakuletea somo muhimu kuhusu ugonjwa wa Otitis – ugonjwa wa sikio unaowapata mbwa wengi bila kutambuliwa mapema. --- 🔍 Otitis kwa Mbwa ni nini? Ni hali ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania CCM inajiandaa kukabiliana na mbwa waliyemfuga kwa kumnyima uhuru kwa kumweka bandani kiasi cha hata kwenda haja, wamemkadiria masaa

    Mbwa aliye huru ni rafiki wa kila mtu, labda umchokoze Mbwa aliyefungwa na kutiwa minyororo bandani, hana rafiki, hata anayempa chakula, siku atakapojua haki zake, atamtia majeraha, atamchapa meno mpaka boss wake Ndicho sisiem walichowafanya Watanzania, waliwafungia bandani miaka mingi huku...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Mbwa wangu ameweuka

    Mbwa wangu jana usiku aliona kitu cha kutisha. Kuna mnyama aliingia na mbwa wangu alimfukuza akiwa ndani ya fensi ambayo siyo rahisi kuiruka kwa sehemu kubwa. Baada ya hilo tukio anakuwa kama bado anamwona huyo mnyama au mdudu tuseme. Basi analia sana na anakuwa kama anamkimbiza huyo kiumbe au...
Back
Top Bottom