mbwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa kuvimba ndani ya masikio(otitis)kwa mbwa

    🦴📌 Elimu kwa Wamiliki wa Mbwa – Fahamu Ugonjwa wa Otitis (Maambukizi ya Masikio) Habari za leo wapendwa wafugaji wa mbwa! Leo tunakuletea somo muhimu kuhusu ugonjwa wa Otitis – ugonjwa wa sikio unaowapata mbwa wengi bila kutambuliwa mapema. --- 🔍 Otitis kwa Mbwa ni nini? Ni hali ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania CCM inajiandaa kukabiliana na mbwa waliyemfuga kwa kumnyima uhuru kwa kumweka bandani kiasi cha hata kwenda haja, wamemkadiria masaa

    Mbwa aliye huru ni rafiki wa kila mtu, labda umchokoze Mbwa aliyefungwa na kutiwa minyororo bandani, hana rafiki, hata anayempa chakula, siku atakapojua haki zake, atamtia majeraha, atamchapa meno mpaka boss wake Ndicho sisiem walichowafanya Watanzania, waliwafungia bandani miaka mingi huku...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mbwa wangu ameweuka

    Mbwa wangu jana usiku aliona kitu cha kutisha. Kuna mnyama aliingia na mbwa wangu alimfukuza akiwa ndani ya fensi ambayo siyo rahisi kuiruka kwa sehemu kubwa. Baada ya hilo tukio anakuwa kama bado anamwona huyo mnyama au mdudu tuseme. Basi analia sana na anakuwa kama anamkimbiza huyo kiumbe au...
  4. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Shabikibwa simba lala nyumbani ukiwa uwanjani Leo utapokea kichapo Cha mbwa Koko Kuna mbavu zimekaa Kwa ajili hiyo

    Ujumbe umefika mechi ni tarehe 25 sababu mungu wa nchi amesema Sasa wewe kolo jichanganye ukanyage taifa Leo utapigika vibaya sana sababu ushatangaziwa mechi na tff ni tarehe 25 sababu mungu wa nchi ameshasema na hakuna wa kupinga Hilo heshimj mamlaka kabla hujashugulikiwa ipasavyo na nadhani...
  5. Damaso

    JamiiForums Tanzania Je biashara ya Kondo la uzazi la Mbwa ina ukweli?

    Leo asubuhi nikiwa zangu mtaani nanyoosha miguu nikakutana na swahiba yangu mmoja ambaye aliomba kuzungumza na mimi. Tulitafuta sehemu tukakaa na kuanza kuzungumza. Tulijuliana hali na kuelezeana machache kuhusu maisha, na nilipomuuliza kuhusu harakati zake za maisha alidai kuwa anafanya kazi...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mbona Peter Kibatala anahangaika kujua jina la mbwa badala ya mbwa mwenyewe aliyewàuma watu?

    Hoja ya Wakili msomi Peter Kibatala kuwa jina la kanisa kwenye barua liyotumika kulifunga kanisa la Gwajima ni tofauti na jina la kanisa la Gwajima lililopo kwenye usajili, hivyo kulifunga kanisa la Gwajima ni makosa, Hoja kama hii ni nyepesi sana kwa mtu ambae anafahamika (raia, mbunge na...
  7. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Wayahudi wamekimbilia wapi miji yote mieupe hamna hata mbwa barabarani

    Baada Netanyahu kukimbia kwa mwendo wa ngiri raia nao wamekimbilia kwenye mapango kujificha kuogopa kamikaze za uajemi Sasa hata paka hawaonekani barabarani
  8. Logikos

    JamiiForums Tanzania Friendly Match: England Apigwa kipigo cha Mbwa Mwizi na WaSenegali (1-3)

    Ni Historia mara ya kwanza kwa Timu ya Afrika kumfunga huyu anayejiita 3 Lions (katika 22 attempts): Ofcourse sio kipigo cha Mbwa mwizi ila hawa wadau wametukatili sana kwenye World Cup kadhaa ngoja tu na hiki nikiite ni cha mbwa mwizi.... https://youtu.be/Rflrb2KUL7M?si=VCilMKc4xqUJ0QTG
  9. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kwanini Herod Antipas aliitwa Mbweha na kwanini watu wa Mataifa wanaitwa Mbwa?

    Majina ya wanyama katika Biblia ni lugha ya picha iliyotumiwa kama kielelezo cha tabia, nafasi, au hali ya kiroho. Ni muhimu kuyasoma kwa muktadha sahihi wa kitamaduni na wa kimaandiko. Hii inasaidia kuelewa vizuri mafundisho ya Biblia na jinsi Mungu anavyowasiliana na watu kwa lugha...
  10. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Hii mke akiona atachukulia sisi wote ni mbwa.

    Katika maisha nilikutana na bek3 wengi niliokula na sasa na umri huu yananitokea haya
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Gwajima Mbwa Mjanja kamwe habwekei Uani kwa Adui bali hutafuta Kichaka chake cha mbali ili akibweka anajua akimbilie wapi

    Kinachonishangaza una Marafiki zako Mfumoni ila wameshindwa hata Kukushauri namna ya kufanya na umeingia 18 zao.
  12. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Yezebeli na kifo cha aibu

    GTs, Naona mambo yanaenda kuwa mabaya. Yezebeli alitumia vyombo vyake vyote kuhakikisha anaangamiza waliotumwa na Mungu kumletea ujumbe, ila mwisho wa siku yeye alivyofariki mwili wake ulikuwa chakula cha mbwa na jamaa zake wote waliliwa kama mizoga. 1 Wafalme 21:23-24. Ukiwa na madaraka ni...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Dini ya Uislam inaruhusu kufuga mbwa nyumbani?

    Uislamu una muongozo gani wa kidini katika kufuga mbwa wa ulinzi au kama mnyama kipenzi(pet) na kuishi ndani ya nyumba? Hali ya ufugaji mbwa Uarabuni ikoje?
  14. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Rais wa Mamlaka ya Palestina Mahmoud Abbas. Awaita Hamas ni watoto wa Mbwa

    Kama Hamas ni watoto wa Mbwa, Basi maana yake Hamas ni Mbwa? Kwa nini Mahmoud Abbas anasema hivyo? Je kama hawa Hamas ni Mbwa na ndugu zao je? Maana wana watu ambao huwa wanawatetea na wao wanaishi huku Tandale kwa Tumbo na Mburahat wanasemaje...
  15. John Sin

    JamiiForums Tanzania Waafrika tunaweza kuwa kama Waarabu—lakini tunahitaji kujifunza kutoka kwao

    Hebu nichambue kwa kina kila hoja kwa kulinganisha na Waarabu na kutoa mifano ya hivi sasa: 1. Mgawanyiko wa Kikoloni na Umoja wa Kiarabu Waafrika: Ukoloni ulitengeneza mapaka ya kigeni, kuvunja makabila, na kuacha migogoro ya kikabila (mfano: Rwanda, Congo). Hata leo, Watanzania wanaugomvi...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushahidi Video: MwanaCHADEMA aliyepigwa rungu la kichwa na kung'atishwa mbwa. Je, polisi bado mnakana kwamba hamhusiki?

    Katibu mkuu John Mnyika anaonesha video ya mtu mmoja aliyemtaja kwa jina la Noeli Mhema akiwa amelala chini baada ya kupigwa rungu la kichwa na kung'atishwa mbwa ambapo pembeni wanaonekana polisi pembeni na baadaye wakimpakia kwenye gari kumpeleka hospitali. Kwenye taarifa ya jeshi la polisi...
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Tunduma punguzeni vifo vya mbwa kungata watoto

    Kuanzia January ukiangalia unaweza sema Tunduma ni Rukwa ama Sumbawanga maana ndio mambo yao Kwa mwezi kila mara lazima watoto wanakufa kwa kung'atwa na mbwa huko Tunduma Juzi nimesikitika sana wanalalamika wananchi mtoto wa 8 kufa toka Februari mwaka huu Na viongozi wameombwa kusaidia...
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marubani hodari na wapiga gitaa warembo waliowakimbia Taliban wafukuzwa kama mbwa huku wakiwa na hofu kurudi kwao.

    Kama kuna wapalestina hawajasoma yanayowapata wenzao wanaojipendekeza kwa adui basi wasome mikasa inayowapata marubani hodari walioshirikiana na jeshi la Marekani kuwapiga wenzao wa Taliban. Marubani hao kama vile Tauheed Khan wamekuwa wakipata vitisho na kufokewa kama mbwa koko ili...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mbwa angekuwa mbuzi kitowewo chambuzi kisingekuwa cha bei kubwa.

    Sijui kwa nini mungu alimpa mbwa uzao mzuri wakati sio kitowewo na kuwa mlinzi wa nyumba.
  20. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mussa: Mwakinyo alifungulia Mbwa wakanishambulia kwa zaidi ya Saa 1, nilikataa tamaa nikisubiri kufa

    Kijana Mussa Ally (21), Mvuvi na Mkazi wa Sahare Jijini Tanga anaendelea na matibabu Hospitali ya Mkoa wa Tanga Bombo na kwa sasa amepata nafuu baada ya kushambuliwa nyumbani kwa Bondia Hassan Mwakinyo alfajiri March 04,2025 na kufikishwa Hospitali akiwa mahututi na majeraha mwilini. Akiongea...
Back
Top Bottom