Kwanini walevi hawang’atwi na mbwa?

Kwanini walevi hawang’atwi na mbwa?

Yaani, wachawi Huwa hawanaga time na wavuta bange na waleviii


Mimi ni mlevii hivyo sisi walevii Huwa tuna confidence mbwa Huwa anaweza sense mapigo ya moyo ya mtu mwoga ☺️😊

Sasa wachawi wachukue mlevi akalime kwa sababu gan. Maana mlevi tayar ameshachoka. Unaweza kumfikisha shamban akalala na asiwe productive 😊😊😊😊
 
I'm jack Daniel ni mlevi mkuu,
Jamaa ana hoja asikilizwe,nipo nafurahia Ronaldo akifunga goal mbili first half nikiwa kwenye gambe.

Ashukuriwe aliyeanzisha unywaji wa pombe

NB😛ombe siyo kwaajili ya anayejitafuta , stay away na kitu inaitwa pombe ohooooo
 
Back
Top Bottom