Taifa stars ya mama ipigwe kipigo cha mbwa koko

Taifa stars ya mama ipigwe kipigo cha mbwa koko

Yaani sikutegemea siku moja ningeichukia inchi yangu hivi,lakini sina budi,niliipenda wakati wa Magufuri na nilitembea kifua mbele lakini kwa sasa hivi hapana
pole sana,
hizo ni athari za digital sadism, hakuna zaidi cha kusingizia gentleman :NoGodNo:
 
My people, today na today! Nigeria go show Tanzania. No vex o—na love, but Super Eagles dey hungry! 🇳🇬⚽😂

As referee blow whistle today, Nigeria go activate “no mercy but with respect” mode. Tanzania, hold body!

My name is Chinedu

Kwa kigiriki tunasema "YAPIGWE"
 
Hakuna namna yapigwe tu na kama kuna uwezekano kwmb timu inayokandwa may be kuanzia 6 bs ni hiyo hiyo mechi 1 bs inakuwa imeaga mashindano paspo kucheza mechi zngn na iwe ivyo wapgwe 6 warud huku nchi ya UFISADISTAN....
 
Itakuletea maisha mazuri ikifungwa.? .ndio kwanza watzidi kupokea posho zao wakiwa huko...umeona hotel wanazokaa.. wewe unaishi kwenye kibanda unaiombea mabaya timu ya mpira 😂😂😂
 
Itakuletea maisha mazuri ikifungwa.? .ndio kwanza watzidi kupokea posho zao wakiwa huko...umeona hotel wanazokaa.. wewe unaishi kwenye kibanda unaiombea mabaya timu ya mpira 😂😂😂
Kwani waliouwawa ndugu zangu wanamakaburi au niliziona maiti zao au hii serikali halamu iliwahi kutubu au kuwapa heshima,siitaji maisha mazuri nitapambana mpaka tone la mwisho
 
Kwani waliouwawa ndugu zangu wanamakaburi au niliziona maiti zao au hii serikali halamu iliwahi kutubu au kuwapa heshima,siitaji maisha mazuri nitapambana mpaka tone la mwisho
Nimekuuliza swali, wakifungwa ndio familia yako itaondokana kwenye lindi la ufukara?
 
Back
Top Bottom