mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Mbunge wa Dodoma Mjini, Mavunde akabidhi sare kwa kituo cha madereva taksi wa Uwanja wa Ndege Dodoma

    Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe Mavunde Leo amekabidhi sare kwa kituo cha madereva taksi wa Uwanja wa Ndege Dodoma ikiwa ni sehemu ya kuboresha huduma ya usafirishaji Jijini Dodoma. "Nimekabidhi sare hizo leo kwa madereva taksi 30 zenye thamani ya Tsh 1,500,000 katika eneo la Uwanja wa Ndege kwa...
  2. Mbunge wa Kahama Mjini ashauri Vyuo Vikuu kuwajibika kutafuta ajira kabla ya kusajili Wanafunzi

    Ili kukabiliana na changamoto ya ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu hapa nchini,Mbunge wa Kahama Mjini, Jumanne Kishimba ameshauri vyuo vikuu kuwajibika kutafuta ajira kabla ya kusajili wanafunzi. Amesema wazazi wengi hasa vijijini wanatumia wamechoshwa na mfumo wa elimu jinsi unavyofilisi...
  3. J

    Suala la Halima Mdee na wenzake linafanana sana na lile la mbunge Kihiyo wa Temeke 1995, hatimaye Kihiyo alipoteza ubunge

    Sisi wahenga tukiliangalia tukio la wabunge wa viti maalumu wa Chadema akina Halima Mdee tunaweza kulifananisha na lile la mbunge wa Temeke 1995 mh Kihiyo. Kihiyo siyo kwamba hakusoma shule, No alisoma isipokuwa alicheza na makaratasi ili aonekane almaarufu wakati sifa ya mbunge ni kujua...
  4. Mbunge adai watoto 15 kati ya 45 darasani hawafundishiki

    Mbunge Neema Lugangira amesema suala la Lishe Shuleni linapaswa kupewa uzito na kwamba hali ya Udumavu inachangia watoto kutofaulu na kufundishika kwa kiasi kikubwa watoto. Akiwa Bungeni amesema, "Wataalamu wa Lishe kutoka TAMISEMI wanatuambia kwamba katika kila Darasa la Watoto 45, Kumi na...
  5. Mbunge Bernadeta Mushashu aitaka Wizara ya Elimu ikubali mfumo una tatizo

    Mbunge Bernadeta Mushashu ameitaka Wizara ya Elimu pamoja na wadau wengine wa sekta hiyo kukubali kuna tatizo katika mfumo wa Elimu wa hapa Nchini. Amesema hayo leo Bungeni Dodoma. Ameeleza, "Wafungue mjadala mpana tukae tujadili tuangalie Mfumo wetu ni wapi kuna tatizo, kitu gani kinakosekana...
  6. J

    Kuna siku mbunge mmoja kati ya hao 19 wenye utata ataeleza ukweli wa kilichotokea, Wanawake hawana koromeo

    Tunakumbushana tu kama kuna kitu kinafanywa siri kati ya wabunge 19 wasiojulikana chama chao, basi siri hiyo iko karibu kutoka. Ikumbukwe kati ya wabunge hao 19 siyo wote wamekata rufaa Baraza kuu la CHADEMA. Unajua ni kwanini? Viongozi wa CCM wengi siyo wajanja, siasa za CHADEMA ni za kimjini...
  7. Mahakama ya Bukoba imemwachia huru aliyekuwa mgombea Ubunge Bukoba Mjini (CHADEMA), Chief Kalumuna na wenzake 6

    Tulionya Mapema sana kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu katika lolote , na nadhani hata nyinyi wenyewe ni mashahidi, wote waliojipa uungu Mtu na kujimwambafai wanazidi kupukutika huku wengine wakiwa njiani. Video hii inaonyesha umati wa watu wa Bukoba wakishangilia baada ya aliyekuwa...
  8. Mbunge wa Igunga Nicholaus Ngassa: Wizara ya Mambo ya Ndani iweke mkakati madhubuti wa kuboresha makazi ya askari

    "... Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi iweke mkakati madhubutu wa kupatikana fedha za kuboresha Makazi na Nyumba za Askari Wetu. Kama Fedha za ujenzi wa Barabara tunakata kwenye mafuta vivyo hivyo tunaweza kuamua Fedha za ujenzi wa Makazi ya Askari tukakata Asilimia tano Mpaka kumi kwenye tozo...
  9. Happy Birthday Joseph Mbilinyi Mbunge uliyeiletea heshima kubwa Mbeya , Mungu akupe Maisha Marefu

    Miaka ya zamani kidogo wanamuziki wa Hip Hop walionekana wahuni ambao zaidi ya kuimba na kuvuta bangi , hawakuonekana kama wanaweza kuongoza hata familia . Lakini wewe Sugu , Jongwe ambaye pia unaitwa RAIS WA MBEYA , ulifutilia mbali mawazo hayo ya kizamani na kuonyesha mfano uliotukuka kwa...
  10. N

    Tofauti ya Mbunge wa Jimbo, Viti Maalumu na wa Uteuzi wa Rais kimaslahi ni vipi?

    Hivi wabunge wa viti maalum nao maslahi yao ni sawa na wale wa Jimbo? So Bashiru na Polepole nao wanakamata shilingi milioni 11?
  11. S

    Hongera Asia Mayaga kwa kulisemea hili la ukaguzi wa udhalilishaji kwenye migodi ya madini

    Imeibuliwa hoja bungeni kwamba watu wanakaguliwa huko Mirerani kwa kuvuliwa nguo. Wanalundikwa kwenye chumba kimoja watu wa rika tofauti wakiwa wamevuliwa nguo eti kisa ni ukaguzi wa madini ya tanzanite. Akiongea kwa ukali na masikitiko mbunge wa viti Maalum Asia Mayaga amesema haivumiliki na...
  12. Mbunge ataka wazabuni wanaoidai STAMICO kulipwa, ataka Serikali iache kigugumizi

    Mbunge wa Jimbo la Mkinga, Dunstan Kitandula amesema bado kuna madeni makubwa ya Wazabuni waliofanya kazi STAMICO na Kampuni zake tanzu. Asema zoezi la Serikali kutathmini madeni hayo limefanywa kwa muda mrefu Amesema, "Vyombo vyetu vimefanya kazi hii, Tuache kigugumizi cha kuwalipa wazabuni...
  13. Mbunge Kikoyo: Sheria ya Bima ina matatizo makubwa, hatuwatendei haki wananchi

    Dkt. Oscar Kikoyo Ishengoma amesema Sheria ya Bima hususan kwenye makosa yanayotokana na ajali za barabarani ina matatizo makubwa. Amesema, "Ukisoma hii Sheria, ajali inapotokea barabarani Jeshi la Polisi watapima, Kesi itapelekwa Mahakamani Hukumu itoke kisha Mhanga aiambitishe ili kwenda...
  14. Mbunge Agnesta Kaiza: Kesi za kubambikiwa zinasababisha mrundikano katika magereza

    Mbunge Agnesta Kaiza ametaja ubambikizaji wa kesi nyingi za jinai kuwa sababu mojawapo ya mrundikano katika magereza. Amesema hayo leo Bungeni Dodoma. Amefafanua, "Kila leo unasikia fulani ana kesi ya Uhujumu Uchumi. Mke na Mume wakipigana nyumbani wakifikishwa Mahakamani unaambiwa umehujumu...
  15. Nini majukumu ya Mbunge wa kuteuliwa na Rais?

    Wakuu. Pamoja na kwamba nafahamu katiba imeruhusu Rais kumteua wabunge wasiozidi kumi bungeni. Naomba kueleweshwa. Naomba kufahamu majukumu ya Mbunge wa kuteuliwa na Rais ambaye ni Mbunge tu hajapewa uwaziri wala unaibu waziri. Kwa mfano Dkt. Bashiru Ally
  16. J

    Zanzibar ni nchi ndogo lakini ina nguvu, angalia walivyozimeza CUF na ACT pia Chadema haijawahi kupata mbunge!

    Unapoizungumzia Zanzibar usiangalie udogo wake kijiografia au idadi ya watu bali tazama maarifa waliyo nayo vichwani mwao. Tanganyika ni kubwa na ina raia wengi lakini ndiko walikojazana walugaluga, washamba wa madaraka na vinara wa ufisadi wa rasilimali za nchi. Hata hivyo Mungu ni mwema kila...
  17. J

    Mbunge wa Hai, Mafuwe ameiomba serikali kuu kusaidia waathirika wa mafuriko kwani vyoo vinatapika ovyo!

    Mbunge wa jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro mh Mafuwe ameiomba serikali kuu kuingilia kati kuwasaidia wananchi wa jimbo hilo waliokumbwa na mafuriko. Mafuwe anasema hali ni mbaya sana kwani vyoo vinabomoka na vinyesi kuzagaa mitaani hali inatishia uwezekano wa kuzuka magonjwa ya mlipuko wakati...
  18. F

    Rais Samia Suluhu Hassan, mteue Zitto Zuberi Kabwe awe Mbunge akaongeze chachu ya hoja Bungeni

    Bunge letu linahitaji kuongezewa chachu ya aina fulani ili liweze kuichambua kikamilifu Miswada ya Serikali. Vile vile Bunge letu linahitaji Sauti ya Upinzani yenye kukubalika mbele ya jamii yetu ya Kitanzania. Kwa kuwa Kada wawili wa CCM wamekuwa Wabunge wa Kuteuliwa, Humphrey Polepole na...
  19. Ridhiwani Kikwete anajua kuwa Jesca Kishoa sio Mbunge

    Kama ulifuatilia taarifa ya Mh Ridhiwani wakati mbunge wa Ndugai anatoa hoja yake utagundua jambo. Alianza kwa kusema, mh Naibu Spika, napenda kumpa taarifa ndugu Jesca Kishoa... Hiyo inamaanisha kuwa ndani ya bunge na kati ya wabunge wale wako ambao hawaitambui ile timu ya wabunge 19...
  20. J

    Mkuu wa Wilaya ya Sengerema ataka kupigana na Katibu wa Mbunge mkutanoni

    DC Emanuel Kipole ametishia kumsweka ndani Katibu wa mbunge baada ya Katibu huyo kuzungumzia migogoro ya ardhi kwenye mkutano wa hadhara. Baada ya tishio hilo la DC ndipo Katibu wa mbunge alisimama na kuchachamaa na kumwambia DC kama yeye ni kidume basi amkamate muda ule. Ndipo mwenyekiti wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…