mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina (mb), akichangia kuhusu taarifa za kamati za kudumu za bunge za PAC, LAAC na PIC

    1. UTANGULIZI Taarifa za Kamati ya PAC na LAAC zinawasilishwa bungeni baada ya kufanya uchambuzi wa hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 na Sheria ya Ukaguzi wa Umma Na. 11 ya Mwaka 2008 inayofafanua...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ufaransa: Mbunge aliyetoa kauli ya ubaguzi bungeni aadhibiwa

    Wabunge wengi wa Ufaransa wametaka hatua kali zichukuliwe dhidi ya mbunge wa National Rally, Gregoire de Fournas aliyepiga kelele akisema “rudi zako Afrika” wakati mbunge Mweusi akiuliza swali kuhusu uhamiaji. Bunge la Taifa la Ufaransa lilipiga kura kumuadhibu de Fournas kwa kumzuia kuhudhuria...
  3. Sijali

    JamiiForums Tanzania Mbunge huyu Msukuma!

    Ni dhahiri kabisa, kutokana na michango yake bungeni, mbunge Msukuma anawashinda wengi kwa maono na ubunifu. Amekuwa consistent kutoa maoni yenye mashiko, yaliyofanyiwa utafiti na hata kuthubutu kuonesha tija ya maoni yake endapo yatatumika. Hizi kwa kawaida ni sifa za mtu aliyebobea katika...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Taarifa rasmi ya Fedha za Mfuko wa Jimbo la Hai baada ya kudaiwa Mbunge anazitumia ndivyo sivyo

    Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wilaya ya Hai, Riziki G Lesuya ametolea ufafanuzi shutuma hizo zinazomhusu Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe Pia soma: Mbunge wa Jimbo la Hai kwa tiketi ya CCM agoma kuanzisha Kamati ya kusimamia fedha za mfuko wa Jimbo
  5. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Mbunge Sillo ataka waliolipa Kampuni ya Symbion Bilioni 350 wawajibishwe haraka

    MBUNGE wa Babati Vijijini, Daniel Sillo Baran ameliomba Bunge liazimie watu wote waliohusika na kashfa ya kuruhusu kufanyika malipo ya shilingi Bilioni 350 kwa Kampuni ya Symbion Power LLC wachukuliwe hatua za kisheria kwa kufanya ubadhirifu huo ili iwe fundisho kwa wengine. "Malipo...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbunge anusa uozo bandari ya Tanga

    Wakati Bunge likijadili ripoti za kamati za Bunge kuhusu ubadhirifu uliofanywa na baadhi ya watendaji katika miradi mikubwa. Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Judith Kapinga ameishukia Mamlaka ya Bandari (TPA) kwa kile alichokiita uozo katika ujenzi wa bandari ya Tanga. Hoja za wabunge ziliibuliwa...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbunge acharuka Tsh. Bilioni. 64 kutafunwa ndani ya siku 1

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Judith Kapinga, ameliibua bungeni sakata la kutafunwa Sh. bilioni 64.3 kwenye Bandari ya Tanga baada ya kutolewa kwa zabuni iliyogubikwa na utata, akitaka hatua zichukuliwe dhidi ya wahusika ili kuongeza uwajibikaji. Judith aliibua hoja hiyo jana alipochangia...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala na Mbunge Hawa Mwaifunga wazua mvutano mzito Mahakamani

    Mvutano mkali umeibuka baina ya Kiongozi wa jopo la mawakili wa Chadema, Peter Kibatala akimhoji mlalamikaji wa 11, Hawa Mwaifunga katika kesi ya wabunge 19 wa Viti Maalumu waliofukuzwa uanachama na chama hicho. Mvutano huo umetokea wakati Kibatala akimhoji Mwaifunga kuhusiana na muhtasari wa...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Aliyeteuliwa Ubunge akiwa mahabusu kuhojiwa Mahakamani leo

    Jopo la mawakili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) linatarajiwa kuendelea kuwahoji wabunge wa viti maalumu waliovuliwa uanachama wa chama hicho, huku kesho wakitarajiwa kumhoji Nusurati Hanje. Mawakili hao wa Chadema wanaendelea kuwahoji baadhi ya wabunge hao kuhusiana na ushahidi...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania RC wa Dar Makala na Mbunge wa Kawe kinachoendelea Kituo Tanganyika Packers Kawe kitafanya nikose Uvumilivu nanyi

    Haiingii Akilini yaani Wafanyabiashara Ndogo Ndogo Kituoni Tanganyika Packers Kawe wanahamishwa kutoka eneo wasilotakiwa na kwenda kupelekwa tena eneo wasilotakiwa. Hivi nyie NHC pamoja na RC wa Dar (mwana Wenge BCBG na Simba SC Mwenzangu Amos Makala ) na Poti wangu wa Kanda ya Ziwa Mbunge...
  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Hai kwa tiketi ya CCM agoma kuanzisha Kamati ya kusimamia fedha za mfuko wa Jimbo

    Jimbo la Hai, Kilimanjaro mbunge wake ameamua matumizi ya fedha za mfuko wa jimbo ni zake na fedha hizo zimekuwa siri, kwa mbunge na ameamua kutokuweka wazi matumizi yake kwa kuunda kamati ya kusimamia mfuko huo. “ kamati ya mfuko wa jimbo, ingehusisha madiwani wote na watendaji wa taasisi...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Uturuki: Mbunge avunja simu yake kwa nyundo akipinga sheria kandamizi

    Mbunge huyo, Burak Erbay, mwanachama wa chama cha upinzani cha Republican People's Party amefanya tukio hilo alipokuwa akizungumza bungeni akipinga mswada unaoungwa mkono na Serikali. Chini ya sheria hii, mitandao ya kijamii na tovuti zitalazimika kutoa maelezo ya watumiaji wanaoshukiwa...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mbunge Mussa Hassan Mussa Silima, afariki dunia

    Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Mussa Hassan Mussa Silima, Mbunge wa Jimbo la Amani Zanzibar amefariki dunia leo 13/10/2022 nyumbani kwake Zanzibar na taratibu za maziko zinafanyika. Kwa mujibu wa taarifa mwili wa marehemu unapelekwa kijijini kwao Bwejuu kwa ajili ya...
  14. BigTall

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Waziri wa Fedha aelezea sakata la Mbunge Toufky Turky, asema amekamilisha kulipa ushuru wa Marcedes Benz G Wagon, ampongeza

    Baada ya awali kuelezwa kuwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ipo mbioni kuuza mali za Mbunge Toufky Turky ambaye ni Mfanyabiashara aliyedaiwa kushindwa kulipa ushuru wa Gari aina ya Marcedes Benz G Wagon aliloliingiza Nchini Januari 2022, fafanuzi umetolewa. Waziri wa Fedha na Mipango wa...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TRA yaendelea kumkaba koo Toufiq Salum Turky kodi ya gari milioni 308.5

    MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema mfanyabishara maarufu wa Zanzibar, Toufiq Salum Turky, bado hajalipa Sh. milioni 308.5 za kodi kutokana na kuingiza gari la kifahari aina ya Benzi, Januari, mwaka huu. Naibu Kamishina wa TRA Zanzibar, Juma Bakary Hassan, aliwaambia waandishi wa habari...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbunge aliyefukuzwa CHADEMA aomba ulinzi wa Mahakama, adai ana siri nzito

    Grace Tendega ambaye ni kati ya Wabunge 19 waliovuliwa Uanachama na chama hicho alitoa ombi hilo mbele ya Jaji Cyprian Mkeha ambaye alimjibu kuwa anatakiwa kujibu maswali kama anavyoulizwa na sio nje ya hapo. Wabunge hao walifika Mahakamani kuhojiwa kuhusu ushahidi wa Malalamiko ya Viapo baada...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Kesi ya wabunge 19 wa viti maalum waliofukuzwa CHADEMA, Wakili Kibatala aanza kuwahoji mahakamani

    Dar es Salaam. Kesi ya wabunge wa viti maalumu waliofukuzwa uanachama katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na wenzake 18 dhidi ya chama chao hicho cha zamani imeanza kuunguruma mahakamani, baada ya kukwama mara tatu. Mdee ambaye alikuwa mwenyekiti wa Baraza la...
  18. Kisambusa

    JamiiForums Tanzania Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Hai, msikilize Chongolo

    Kuna kila dalili mbungewa Hai kuingilia uchaguzi wa chama wilaya ya Hai na amepuuza kauli ya bosi wake comred Chongolo.
  19. Mystery

    JamiiForums Tanzania Je, mbunge Luhaga Mpina ndiye aliyechukua nafasi ya kiongozi wa upinzani Bungeni?

    Kama mjuavyo, kutokana na namna ya uchaguzi mkuu ulivyofanyika hapa nchini mwaka 2020, hakuna Mbunge yeyote wa upinzani aliyechaguliwa, isipokuwa wawili tu ambao ni yule mama wa Chadema, aliyechaguliwa kutoka mkoani Rukwa na Mbunge mwingine wa upinzani kwa tiketi ya CUF toka mkoani Mtwara. Kwa...
  20. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mbunge wa Igalula Venant Protas, tumia fedha za mfuko wa jimbo kusambaza umeme vijijini. Acha kununua pikipiki na kukopesha kupata faida binafsi!

    Wewe! Wewe Makinika! Wanyamwezi wa jimbo la Igalula sio wajinga!wanaziona sarakasi zako! Tumia akili Serikali imejitahidi kufikisha umeme vijijini Sasa ni jukumu lako kuhakikisha unasambazwa kwa wapiga kura wako!KUTUMIA mfuko wa jimbo anza kwenye vijiji ambavyo TAYARI umeme ushafika lakini...
Back
Top Bottom