Je unamfahamu Jeremiah Mtobesya wakili msomi aliyewahenyesha mawakili wa serikali kwenye kesi ya Mbowe ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,347
217,385
Huyu hapa

Kwa_msiomfahamu_huyu_ndo_Wakili_Jeremiah_Mtobesya_leo_kaupiga_mwingi_sana_kwenye_kesi_ya_@free...jpg

Moto wake usipime !
 
Sasa kama aliwahenyesha kama unavyomsifia inakuwaje Mteja wake Freeman Mbowe bado anaozea na kuchakaa tu huko Gerezani aliko? Miswahili bhana....!!!!

hivi kwa akili yako unazani mahakama ni kitu cha kukurupuka haraka haraka.umefanya au ujafanya jambo likiwa mahakamani linakuwa na mda kupata haki.

nakushauri katika vitu yani bora jambo kumalizia polisi kuliko kwenda mahakamani.linaweza kukusumbua mpaka ukachoka
 
nimeshangazwa na majibu yake huyo bwana Gentamicin anakua Kama hajui process za kesi aiseee nimemdharau Sana kumbe mweupe Sana kichwani!
 
hivi kwa akili yako unazani mahakama ni kitu cha kukurupuka haraka haraka.umefanya au ujafanya jambo likiwa mahakamani linakuwa na mda kupata haki.

nakushauri katika vitu yani bora jambo kumalizia polisi kuliko kwenda mahakamani.linaweza kukusumbua mpaka ukachoka
Kweli kabisa Mkuu
 
Back
Top Bottom