mbowe

  1. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania No Honey No Fear: Mbowe ajifunze kwa Raila, Wanachadema wajifunze kwa Wakenya

    Kinachotokea 254 kwa sasa ni ishara na lama tosha ya kuonesha uimara wa upinzani nchini Kenya. Lakini uimara huu haukuja hivihivi , ulikuja kwa gharama, jasho na maumivu. Raila licha ya ndoto zake za kuukwaa uraisi pamoja na kuwa anaongoza ngome yabupinzani yenye nguvu kabisa huko KE kuliko...
  2. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mbowe aondolewe kwa nguvu kama mwenyekiti wa CHADEMA. Amezoea kufanya biashara za kisiasa, hafai

    Angalia mwaka 2015 alipovuta mpunga na kutuuza usiku wa manane na kumkaribisha Lowasa. Alivuta mpunga Dkt. Slaa akabaki kuduwaa na kuropoka. Prof Safari umeona hiyoooo. Alishatupiga sana. Sasa hivi creame yote ya asali analamba yeye. Kwa hiii kaliba ya Mbowe hafai hata kidogo. Tuitishe...
  3. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Zitto kabwe na genge lako kama mnatuonea wivu na nyie ombeni asali mulambe. Mbona mnamsakama Mbowe?

  4. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Nimeongea na Rais Samia, vyama vya siasa visiwe chanzo kutugawa

    MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amewataka wananchi kutanguliza uzalendo kwa taifa lao na kuweka mbele zaidi mshikamano kitaifa Badala ya kukumbatia vyarna vya siasa vinavyowagawa na kuwafanya waendelee kuwa maskini huku viongozi wachache wakinufaika na...
  5. Desierto

    JamiiForums Tanzania Mnamkumbuka yule kamanda aliyesema anao ushaidi wote wa kumfunga Mbowe?

    Hivi huko aliko anajisikiaje kuona mama anashikana mkono na mbowe?
  6. benzemah

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mbowe ya kutoshirikiana na vyama vingine yaibua mazito

    Kauli ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuhusu nia ya chama hicho kutoshirikiana na vyama vingine imezua mjadala kwa baadhi ya vyama vya siasa huku baadhi vikidai inatokana na ushirika wa chama hicho na CCM katika maridhiano na vingine vikiiunga mkono. Mjadala huo umetokana na kauli...
  7. comte

    JamiiForums Tanzania Jedwali hili linaeleza kinachoitwa maridhiano yanayoimbwa na Mbowe na CHADEMA yake

  8. mtetezi wa MAGU

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe mwana CCM aliyejivika UCHADEMA

    Kwa nyakati tofauti Kiongozi wa Upinzani Tanzania alikuwa akiongoza mapambano yakimkakati katika kulikomboa Taifa, kiongozi alionesha nia ya dhati kupiga vita Ufisadi, Matumizi Mabaya ya Serikali, Uwajibikaji maofisini na mengine mengi. Baada ya tuhuma za Ugaidi sio kwakushinda kesi bali kwa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Hayati Magufuli alihusika katika kuandaa kesi ya ugaidi ya Mbowe? Ilikuwa kwa lengo lipi?

    Habari JF, binafsi huwa nakuwa na shaka sana na upinzani wa Mwenyekiti wangu Mbowe. Kuna muda huwa napata mawazo ni mtu aliyewekwa kimkakati kuhakikisha CCM haitoki madarakani. Nimekaa nimejiuliza sana, je, Kesi ya Mbowe ilianza kusikilizwa kwa benefits au faida kwa Awamu ya Tano au Sita au...
  10. Keynez

    JamiiForums Tanzania Historia itakukumbuka Mbowe kwa kuyasaliti Mageuzi

    Kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015, CCM ilikuwa imevurugika kwa mgogoro wa ndani kwa ndani na kulikuwa na tishio la kugawanyika pande mbili na moja ya mambo yaliyowashangaza wengi ni uamuzi wa CHADEMA chini ya Mwenyekiti Mbowe kumpokea Edward Lowassa na kumfanya mgombea uraisi. Hapo hapo...
  11. comte

    JamiiForums Tanzania Mbowe amedhihirisha kuwa ukipewa nafasi ya kusema na ukasema sana utakosea

    Katika mchakato wa maridhiano baina ya CCM na CHADEMA Mbowe ameonekana kujipa nafasi ya usemaji, ameitumia, ameitumia sana, ameitumia sana kiasi cha kuanza kukokesea. Mfano mzuri ni pale alipofikia kuumuelekeza RJMT aondoe kesi ya Mdee na wenzake vs CHADEMA mahakamani. RJMT anawezaje kuondoa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe, maridhiano yako bila kuwasamehe wale wabunge 19 yatakuwa hayana maana

    Freeman Mbowe huwa anahubiri mambo ya kusema kweli na maridhiano wakati yeye si mkweli na hatabiriki misimamo yake kwani anauwezo wa kubadili gia angani haraka sana ili mradi kuwe na pesa mbele yake. Alifanya hivyo wakati anauza chama kwa Lowasa na amefanya hivyo tena wakati anaanza kupokea...
  13. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Dalíli zote zinaonyesha Mbowe anaipeleka CHADEMA ahera

    Yes, watu mmejificha nyuma ya maridhiano. Ila ukweli ni kwamba kuna maslahi binafsi ya Mbowe na CCM.... Chadema wanamchukia Magufuli kisa kuwanyima ulaji na ubunge. Lakini será Za ufisadi Za Chadema kipindi hicho alizisimamia kwelikweli. Chadema na Mbowe ni wabinafsi sasa hawamtetei tena...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nilivyoelewa kauli ya Mbowe ni kuwa lengo la CHADEMA ni kumsaidia Mama kuongoza vizuri na sio kushika Dola

    Asalam, Jana katika kumsikiliza Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe nikaona ametoa tafsiri ambayo sikuwa naijua ya malengo ya vyama vya upinzania Tanzania. Kwa ufupi anasema LENGO KUU NI KUMSAIDIA MAMA KUONGOZA VIZURI (kwa Tafsiri yangu na nyongeza kidogo ni sawa na kusema lengo sio kushika...
  15. britanicca

    JamiiForums Tanzania Mbowe jitafakari ni muda wa kuachia Madaraka kwenye Chama chako, onesha Mfano

    Mbowe Mbowe Mbowe mheshimiwa Mbowe unapozungumzia Demokrasia na Katiba Mpya una maanisha nini? Chama chako Democracy yake haiweki ukomo wa mwenyekiti kuongoza na sisi CCM tuna mpango kufuta ukomo wa urais ili atawale kwa amani bila bugdha, Mbowe muachie Lissu aongoze Chama nitawapa mbinu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mbowe kugeuka na kuwa kama kina Shibuda, John Cheyo na Mrema ni upi mustakbali wa siasa za upinzani Tanzania?

    Kwa hali inavyoendelea nchini ni dhahiri hakuna tena upinzani. Bali kuna uungwaji mkono juhudi unaofanywa na wapinzani kwa CCM ila kila mmoja kwa staili yake. ACT Wazalendo wanakula pamoja na CCM kule Zanzibar na CHADEMA nao wanatafuta robo mkate wao huku Tanganyika. Kabla CHadema hawajaanza...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Je, mwenyekiti Mbowe ni mtu huru?

    Habari JF, Namekaa nimefikiria sana kinachoendelea Pale CHADEMA . Kwa hali ilivyo ya maisha ya Watanzania ilivyo ngumu wengine wakitegemea ajira za laana kama zilivyopewa jina na Lema na Tundu Lissu. Hivi Mbowe anatoa wapi nguvu za kuwasahau watanzania na kukaa pamoja na CCM ambao nenda rudi...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: CCM ijenge mifumo ya kudhibiti viongozi wake ndani ya Chama ili wasiumize Watanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kongamano la Siku ya Wanawake Duniani lilioandaliwa na Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) katika Ukumbi wa Kuringe - Mkoa wa Kilimanjaro leo tarehe 08 Machi, 2023. Rais Samia akipokelewa na Viongozi wa Chadema...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe ni Profesa wa Siasa

    Habari wanajukwaa, sitaki kuandika sana. Nimeangalia kongamano la BAWACHA ambalo Mgeni Rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan. Mbowe ameeleza mazito magumu waliyopitia, lakini amesamehe. Ila karata aliyoicheza inatosha kumuita Profesa wa Siasa.
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Kilichofanyika kwa kina Mdee ni Uhuni. Rais wasitishie mishahara

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema kilichofanyika kwa wabunge 19 waliopelekwa bungeni bila idhini ya chama ilikuwa ni uhuni, na ni kuvunja Katiba. Amesema wabunge hao walikuwa ni viongozi wao, hata hivyo mchakato wa kuwapeleka bungeni haukuwa mchakato wenye baraka za chama. Wale...
Back
Top Bottom