mbowe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sio kweli kuwa CCM imesimika mizizi kiasi cha kutoachia dola. Bali hakuna upinzani madhubuti Zitto na Mbowe ni waganga njaa

    Hali ni mbaya sana kwa wananchi wa kawaida. Watu hawana hata uhakika wa kula. Leo hii nafaka zimepaa. Wananchi wanakosa hata pesa ya kupeleka shule na kununua sare. Maji mijini na vijijini yanapatikana kwa shida. CcM imefeli. Imefanikiwa kupandikiza mamluki ACT Wazalendo na CHADEMA.
  2. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Siasa ndio msingi wa maisha yetu, tukiipuuza tutaendelea kuongozwa na wajinga tu

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe jana akiwa mkoani Singida amenukuliwa akionya kuwa; "Siasa haipaswi kupuuzwa hata kidogo, ndio msingi wa maisha yetu ya kila siku. Siasa ndio iliyopelekea uwepo wa tozo, kupanda kwa bei za bidhaa na ugumu wa maisha ambao watanzania wengi wanaupitia sasa. Na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Asali tamu iliyomtosha Freeman Mbowe sasa anaanza kupewa Tundu Lissu

    "Rais Samia Suluhu Hassan ananiita mdogo wangu mpaka leo. Hata alipokuja Ubelgiji mwaka jana aliwaambia wale wapambe wake 'mmemuona mdogo wangu?" - Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu. ..................................................................................  CCM Kila la Kheri...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Lissu na Mbowe, Mzee Edwin Mtei aingilia kati

    Wengi tuliamini kuwa kuondolewa kwa zuio la mikutano ya kisiasa ya hadhara ingekuja na neema na utulivu wa kisiasa lakini hali imekuwa tofauti baada ya viongozi waandamizi Chadema kutofautiana kimtazamo huku kundi moja linaloongozwa na John Heche kutaka Tundu Lissu ndiye awe M/Kiti wa chama na...
  5. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Picha ya Freeman Mbowe akiwa na Tundu Lissu ina chupa ya Konyagi

    Kumekuwepo na picha inayozunguka mitandaoni ikimuonesha mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akizungumza na Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa chama hicho huku mandhari ya nyuma ya picha hiyo yakiwa na picha yenye chupa ya konyagi. Picha inayodaiwa kuwa na chupa ya Konyagi Ukweli wa picha hii...
  6. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu una uchungu na Taifa lako. Unaumia linavyoibiwa ila Mbowe ameungana na wanaoliibia

    Chama chetu hakina mwenyekiti bali kina mpigaji tu. Lissu unaongea kwa uchungu sana. Nimesikia ukizungumzia wizi wa wanyama pori huko Loliondo. Wizi wa pesa za umma ambazo ni kodi ya wananchi. Tatizo Chadema ni mganga njaa Mbowe
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hongera Mbowe kwa kutambua thamani ya Tanzania

    Nachukua nafasi hii kumpongeza mwenyekiti wa CHADEMA kwa kutambua thamani ya Tanzania Tofauti na huko nyuma sasa hotuba zake zimejaa uzalendo anaitanguliza Tanzania. Anaonesha heshima kubwa kwa Rais hii ndio huruka na Tabia ya waTanzania. Nimefatilia hotuba zake Mwanza, Musoma na Tarime kweli...
  8. comte

    JamiiForums Tanzania Kama CHADEMA imejengwa na mabilioni ya Mbowe nyie wengine mmechangia nini?

    Kwa maelezo ya Mbowe ametumia mabilioni ya fedha kuijenga CHADEMA. Kwa bahati nzuri hakuna anayekanusha haya kutoka kwa wana CHADEMA wenzake. Swali langu wengine mchango wao ni upi au ni kama KUPE tu kwenye ng'ombe aliyenona?
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbowe asikitishwa na wanaobeza maridhiano ya CCM, CHADEMA

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ameeleza kusikitishwa na baadhi ya wanachama wa chama hicho kumfikiria kuwa anasaliti Watanzania kwa kufanya maridhiano ya kisiasa na CCM. Akizungumza na wananchi leo Jumamosi Januari 21, 2023 wakati wa ufunguzi wa mikutano ya hadhara ya chama hicho, Mbowe...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe akiongea katika kipindi maalum cha Kinaga Ubaga

    January 2023 Mwanza, Tanzania Mahojiano exclusive/maalum na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, Ajenda ya CHADEMA kuanzia sasa 2023 na kuendelea kuelekea mbele Freeman Mbowe akiongea katika kipindi cha Kinaga Ubaga juu ya safari waliyoanza ya mikutano ya hadhara na pia CHADEMA kutimiza...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Mtanzania niliyemuamini nimemsikia na kuamini kumbe naye 'ameshalambishwa' Asali ya Zanzibar

    Kuanzia sasa GENTAMYCINE sitowaamini Watu ( Waswahili ) wengine wowote zaidi ya Wazazi wangu. Kwa Unafiki ulioko na Watu ( Waswahili ) Kutojiamini na Kukubali Kuumia kwa Watanzania wa baadae ndiyo mje muwatoe Mambuzi walioizoea Asali Tamu ya Tanzania ambayo kwa sasa Inafyonzwa sana kutokea...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mbowe asirudie kupanda jukwaani akiwa amelewa, atatuaibisha zaidi

    Hotuba ya Mbowe M/kiti wa Chama chetu, niliifuatilia mwanzo mwisho Mbowe, hana tabia ya kuongea vile isipokuwa juzi katika kuwahutubia wananchi wa Mwanza na wanachama wa Chadema, sauti iliyotumika kuhutubia si ile tumeizoea, Kwanza hotuba yake haikuwa na mpangilio, na mwenyewe pindi...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania tutafute namna bora ya kumtunza Freeman Mbowe

    Watanzania wenzangu Mh. Freeman Mbowe ni hazina kwa taifa letu. Kiongozi huyu wa upinzani Tanzania na mwenyekiti wa CHADEMA ameonesha ujasiri na umahiri mkubwa sana katika kujenga Tanzania yenye uhuru, demokrasia na amani. Freeman Mbowe amekuwa kiongozi mwenye weledi mkubwa na tunashukuru Mungu...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Mikutano ya hadhara haikufutwa na Magufuli peke yake

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema uamuzi wa kuzuia mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa haukuwa wa Hayati John Magufuli pekee, bali na uongozi wa chama chake- Chama cha Mapinduzi (CCM). Mbowe ameyasema hayo leo Jumapili, Januari 22, 2023 katika mkutano wa hadhara uliofanyika...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kumwelewa Mbowe au CHADEMA si kwa kila mtu

    Wamesikika chawa wa Mama wakijinasibu na tafsiri zao kuhusiana na alichosema Mbowe Mwanza. Kwamba Mbowe kalazimika kusema kushughulika na CCM ni kama hivi: Na bado chawa wa Mama wanakenua? Wanaelewa uzito wa kauli kama hii ukizingatia Mbowe ni mtu mzima mwenye familia yake? Si kuwa kauli...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Matatizo inayopata CHADEMA hata wanaCCM wanayapata

  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mbowe ajiuzulu nafasi ya Uenyekiti. Wana CHADEMA wengi hawana imani naye

    Mi najua wakati wa Magufuli alipitia wakati mgumu sana. Na Mama akaamua kwanza kumuonesha action kidogo. Jamaa akatepeta. Ni binadamu. Umri umeenda na ameshachoka. So akatepeta. Wananchi wameona, wanaona. Mbowe wa jana siyo Mbowe wa leo ....ona, ona, ni kweli alipata maumivu. Wananchi, wana...
  18. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mbowe yupo kibiashara zaidi na siyo kuwapigania maskini na wanyoge. Kauli yake imewaudhi wapigania haki

    Huwezi kutoa kauli kama hii kisa tu ulitia pesa zako kujenga chama. Unatamka hadharani kuwa ulishaumia sana. Ina maana sasa unafanya michongo ya kurudisha pesa zako? N.b Ndio maana makamanda wapo kimya hata kama bil 10z ilipigwa maana wanajua mkuu wetu anapiga na faida.
  19. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mbowe naye atunukiwe Shahada ya Udaktari wa Heshima?

    Mbowe ana takribani miaka 60, Ni age mate wa Hayati Magufuli, japo mmoja anaonekana kijana kuliko mwenzake, Kwa umri wake na harakati zake za kisiasa hawezi kurudi darasani tena. Na ikumbukwe yeye ni form six leaver ila ana akili na maarifa mengi kuliko maprofesa wengi tu waliojiingiza kwenye...
  20. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Hongera Mbowe umeshinda mchezo wa kisiasa

    Hongera Mbowe umeshinda mchezo wa kisiasa. Kwa masaa 24 nimekuwa nikierejea Hotuba ya Mh Mbowe ya jana pale Mwanza na nimekuwa nikisikiliza mapokeo ya watu nje na ndani ya Chama katika mitazamo tofautitofauti, Wengi tumeelewa na tulitarajia hotuba kama hii, lakini wapo ambao hawajang'amua hasa...
Back
Top Bottom