mbowe

  1. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mbowe Zanzibar, ndiyo Hotuba bora ya muda wote

    Upo Msemo wa kiswahili unasema hivi, Nanukuu " kizuri kula na nduguzo" mwisho wa kunukuu. Ukisikiliza Hotuba ya Freeman Mbowe , aliyoitoa kwenye ile siku ya Wazee ya kidunia iliyofanyika Zanzibar juzi , ile iliyoandaliwa na Bazecha, basi haraka sana utagundua kwamba uongozi ni Karama halisi...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mbowe na Dkt. Slaa wafanya kikao cha siri jijini Dar es salaam

    Taarifa zilizotufikia hapa Mwanza ni kwamba Dkt. Slaa na Mbowe wamefanya kikao cha siri kuelea opresheni 255 kanda ya Kusini na kikao cha Dkt. Slaa kanda ya ziwa. Majadiliano yao yamefuatia mkakati wa CHADEMA kuelekea uchaguzi wa viongozi 2024 pamoja na maandalizi ya mikutano ya siasa...
  3. JamiiForums Tanzania Mbowe kakata tamaa kabisa. CHADEMA haina malengo wala muelekeo

    Nilikuwa namsikiliza mwenyekiti wa maisha wa chadema anaongea na wazee wa chadema huko Unguja. Nimecheka na kusikitika sana, yaani anawapiga porojo tu, hakuna sera kabisa. Amesema wao ni vitu viwili wanavyotaka ni "katiba mpya na tume huru ya uchaguzi", hapohapo akasema "hatuwezi kuzipata kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Mbowe acha kug'aka ovyo. Wewe unajulikana fika ni msaliti

    Naona leo umeg'aka sana eti kuna watu wanasema wewe ni msaliti. Hii ni kweli kabisa wewe ni msaliti na unapenda sana ndululu. Mwaka 2015 tulikubalika kiasa cha almanusura tuchukue dola . Maana CCM ilikuwa imechafuka kwa ufisadi. Lakini ukauza chama chetu kwa Lowasa aliyekuwa amaechafuka. Leo...
  5. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe akutana na Martin Maranja Masese

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, akiwa Mjini Zanzibar, amekutana na kijana wa kazi, muadilifu sana na kada mtiifu wa Chama hicho Maranja Masese. Masese na Mbowe wamepata wasaa wa kubadilishana mawazo na mikakati , hasa ikizingatiwa kwamba Oparesheni 255 inatarajiwa kuendelea Kanda ya...
  6. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Freeman Mbowe kuhutubia Taifa kwenye Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani

    Ikiwa leo ni siku ya Wazee ya Kidunia ,, Kitaifa jambo hilo linawakilishwa na Wazee wa Chadema (BAZECHA) , hii ni baada ya Wazee wa vyama vingine kugeuka Chawa wa Watawala , na linafanyika Zanzibar , Tayari Mwamba wa Siasa za Tanzania , Ustaadh Aboubakar Mbowe amewasili Zanzibar kwa ajili ya...
  7. JamiiForums Tanzania Ni hasara kubwa kuwa na wanasiasa kama Mbowe wenye kujali matumbo yao

    Kwa nini mtu usig'atuke na kupisha watu wenye nia thabiti ya kuwakomboa Watanzania? Tozo, ufisadi, umeme kukatika hovyo na wizi wa mali za umma iiuweze kudhibitiwa unahitaji viongozi wenye nia thabiti na madhubuti. Sio matapeli wa kisiasa kwenye karne kama hii. Wanaodhani siasa ni ulaghai ili...
  8. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe awatakia Maulid njema Waislam Wote .

    Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe , ambaye anajulikana pia kama Ustaadh Aboubakar Mbowe , amejitokeza hadharani kushiriki pamoja na Watukufu Waislam Mawlid al Nabi , ambayo ni maadhimisho ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad S.A .W Ujumbe wake huu hapa
  9. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Freeman Mbowe ashiriki Kikao cha Faragha cha Wakuu wa Vyama vya siasa

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba; Mwamba wa Siasa za Tanzania, ambaye anatajwa kuushikilia Mustakabhali wa Tanzania kwenye kiganja cha mkono wake wa kushoto, Freeman Mbowe, amehudhuria mkutano wa Faragha wa Wakuu wa Vyama vya Siasa unaofanyika Nchini Zanzibar. Taarifa zinaonyesha kwamba...
  10. JamiiForums Tanzania Kama Mbowe tu alivyosema Yanga Shukhurani mmetufurahisha,Nyie Simba mtaombewa na wanaowapenda.

    Mpira unachezwa hauongelewi..hicho ndio unachoweza sema. Ila kingine ni kua nyie Simba endeleeni kuishi kwa Matumaini tu. Si maswala ya kuombea eti watakuja Nyumbani tushatoka huko. Popote kambi.
  11. JamiiForums Tanzania Happy birthday Freeman Aikael Mbowe

    Mwamba tuvushe...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Mbowe, Wananchi na Wanachadema wanasubiri uwasomee maazimio ya kamati kuu juu ya Maridhiano na suala la ngorongoro

    Kwako mheshimiwa Mbowe, Miezi miwili iliyopita, ulitutangazia kuwa Kamati kuu iliyokaa mwezi huo iliazimia mambo mengi, miongoni mwayo ni suala la bandari, Maridhiano na suala la ngorongoro. Lakini katika kusoma maazimio hayo, ulijikita zaidi kwenye suala la bandari, ukasema kuwa masuala...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia katumia muda mwingi kuishambulia CHADEMA

    Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
  14. 4

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Makamu Mwenyekiti Chadema, Tundu Lissu wazuiliwa kuingia Ngorongoro

    Hii ndo habari iliyotufikia hivi punde, kwamba msafara wa Makamu Mwenyeki (Chadema),Mh lissu ,umezuiliwa kuingia Ngorongoro ili kufanya Mkutano wake na wananchi wa Ngorongoro, Hata ivyo taarifa za awali zinasema msafara wa M/mwenyekiti mh Lissu, wamefunga barabara na wamehaidi kutohondoka...
  15. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atoa shukrani za dhati kwa Wananchi wote wanaoendelea kuchangia Oparesheni 255, aahidi Ukombozi

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, akitoa tathmini kutokana na Oparesheni Kabambe ya 255 KATIBA MPYA, iliyotiwa kachumbari ya OKOA BANDARI ZETU, ametumia wasaa huo pia kuwashukuru Wananchi wote waliochangia michango yao ya hali na mali ili kuwezesha Oparesheni hiyo. Ujumbe wake huu hapa...
  16. JamiiForums Tanzania Butiama: Oparesheni 255 yapokelewa kwa kishindo, Mbowe akumbana na Mabango, ayasoma na kutoa majibu

    Tulishasema humu na kwingineko kwamba kuiteketeza CCM kunahitaji muda mfupi sana, wala hatuhitaji miezi mingi. Muda huu ninaoandika hapa tayari Mwamba wa siasa za Eneo la Maziwa Makuu, Freeman Mbowe , Laingwanan , Mtemi Isike ama Ustaadh Aboubakar Mbowe, kama anavyofahamika Nchini Zanzibar...
  17. JamiiForums Tanzania CRDB wakanusha bank statement iliyodaiwa kuwa ya Mbowe

    Taarifa kwa Umma Kumekuwa na taarifa ya akaunti ya kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inayosambaa mitandaoni ikionyesha miamala iliyofanywa kwenye akaunti yake ya benki. Tunapenda kujulisha umma kuwa taarifa hiyo ya akaunti ambayo imeihusisha Benki yetu ya CRDB si ya kweli...
  18. JamiiForums Tanzania Oparesheni 255 yaingia Busega. Mbowe abadilisha lugha ya Katiba Mpya, aanza kuongea kikakamavu

    Hii ndio Taarifa mpya ya leo kutoka kanda ya ziwa ambako oparesheni 255 inatimua vumbi. Muda wa lugha laini kwenye kudai Katiba mpya umekwisha, sasa lugha kali za kikakamavu zimeanza kutumika, huku Mbowe akitahadharisha watawala kwamba Katiba mpya ndio kipaumbele cha kwanza. Hii ni kata ya...
  19. JamiiForums Tanzania Maridhiano njia panda: Mbowe na Lissu wampa tahadhari Rais Samia

    *Wadai kuna 'njama za kuchelewesha Katiba Mpya' MAZUNGUMZO baina ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama cha Mapinduzi (CCM) na Serikali yake, yaliyochukua takribani mwaka mmoja, yakijaribu kutafuta muafaka wa kitaifa hususan kwenye suala la katiba mpya, sasa yanaelekea kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Ally Bananga Katibu Mwenezi CCM Dar adai atamshawishi Freeman Mbowe na wenzake kuhamia CCM

    Wengi tulimfahamu alipokua diwani wa Chadema kata ya Sombetini Arusha mke wake ni mmoja kati ya wale COVID-19 wa Chadema. Ally Bananga(MARIOO WA CCM)
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…