mbowe

  1. 4

    Msafara wa Makamu Mwenyekiti Chadema, Tundu Lissu wazuiliwa kuingia Ngorongoro

    Hii ndo habari iliyotufikia hivi punde, kwamba msafara wa Makamu Mwenyeki (Chadema),Mh lissu ,umezuiliwa kuingia Ngorongoro ili kufanya Mkutano wake na wananchi wa Ngorongoro, Hata ivyo taarifa za awali zinasema msafara wa M/mwenyekiti mh Lissu, wamefunga barabara na wamehaidi kutohondoka...
  2. Freeman Mbowe atoa shukrani za dhati kwa Wananchi wote wanaoendelea kuchangia Oparesheni 255, aahidi Ukombozi

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, akitoa tathmini kutokana na Oparesheni Kabambe ya 255 KATIBA MPYA, iliyotiwa kachumbari ya OKOA BANDARI ZETU, ametumia wasaa huo pia kuwashukuru Wananchi wote waliochangia michango yao ya hali na mali ili kuwezesha Oparesheni hiyo. Ujumbe wake huu hapa...
  3. Butiama: Oparesheni 255 yapokelewa kwa kishindo, Mbowe akumbana na Mabango, ayasoma na kutoa majibu

    Tulishasema humu na kwingineko kwamba kuiteketeza CCM kunahitaji muda mfupi sana, wala hatuhitaji miezi mingi. Muda huu ninaoandika hapa tayari Mwamba wa siasa za Eneo la Maziwa Makuu, Freeman Mbowe , Laingwanan , Mtemi Isike ama Ustaadh Aboubakar Mbowe, kama anavyofahamika Nchini Zanzibar...
  4. CRDB wakanusha bank statement iliyodaiwa kuwa ya Mbowe

    Taarifa kwa Umma Kumekuwa na taarifa ya akaunti ya kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inayosambaa mitandaoni ikionyesha miamala iliyofanywa kwenye akaunti yake ya benki. Tunapenda kujulisha umma kuwa taarifa hiyo ya akaunti ambayo imeihusisha Benki yetu ya CRDB si ya kweli...
  5. Oparesheni 255 yaingia Busega. Mbowe abadilisha lugha ya Katiba Mpya, aanza kuongea kikakamavu

    Hii ndio Taarifa mpya ya leo kutoka kanda ya ziwa ambako oparesheni 255 inatimua vumbi. Muda wa lugha laini kwenye kudai Katiba mpya umekwisha, sasa lugha kali za kikakamavu zimeanza kutumika, huku Mbowe akitahadharisha watawala kwamba Katiba mpya ndio kipaumbele cha kwanza. Hii ni kata ya...
  6. Maridhiano njia panda: Mbowe na Lissu wampa tahadhari Rais Samia

    *Wadai kuna 'njama za kuchelewesha Katiba Mpya' MAZUNGUMZO baina ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama cha Mapinduzi (CCM) na Serikali yake, yaliyochukua takribani mwaka mmoja, yakijaribu kutafuta muafaka wa kitaifa hususan kwenye suala la katiba mpya, sasa yanaelekea kuwa...
  7. Ally Bananga Katibu Mwenezi CCM Dar adai atamshawishi Freeman Mbowe na wenzake kuhamia CCM

    Wengi tulimfahamu alipokua diwani wa Chadema kata ya Sombetini Arusha mke wake ni mmoja kati ya wale COVID-19 wa Chadema. Ally Bananga(MARIOO WA CCM)
  8. Mwaka 1991 katika harusi ya Freeman Mbowe

    Katika pitapita zangu nimekutana na hii picha ya harusi ya Freeman Mbowe mwaka 1991. Utaona ni kwa namna gani Mbowe alikuwa katika hadhi gani kwa miaka hiyo. Hii picha inafikirisha sana. Freeman Mbowe nakupa maua yako ungali uhai ili uyanuse.
  9. Hatma ya Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude bado Giza Totoro

    Wakati Jeshi la Polisi likiendelea kuwashilia wanasiasa Dk Willibrod Slaa na Mpaluka Nyangali maarufu ‘Mdude’ na mwanasheria Boniface Mwabukusi, mawakili wao wamedai kuwa wateja wao wamehojiwa kwa tuhuma za uhaini. Kufuatia madai hayo, baadhi ya wanasheria nchini wamezungumzia hatua hiyo...
  10. Kipi cha ajabu kwa mtoto wa Rais Samia kuwa na biashara binafsi?

    Baba yake Mbowe (Aikaeli Mbowe) ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA. Fataher-in-law Mbowe (Edwin Mtei, Baba wa Lilian Mtei) ndiye kiongozi mkubwa wa kwanza ndani ya CHADEMA thats why wengine wanasema CHADEMA ni 'chama chake'. Back in days hapa Moshi palikuwa na Mzee Philemon Ndesamburo, he was...
  11. Mbowe: CCM hawana ugomvi na vyama vingine vya siasa, wana ugomvi na CHADEMA

    Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kuwa CCM haina ugomvi na vyama vingine vya siasa zaidi ya CHADEMA kwasababu wanajua CHADEMA ni chama cha watu, na mimi nilimwambia Hayati Magufuli kuwa ukimuua Mbowe unaweza lakini huwezi kuiua CHADEMA, kwasababu CHADEMA ni imani ya watu. Pia amewataka wanaMagu...
  12. Mbowe amejitahidi kuifufua CHADEMA ila Lissu ndio kapigia jeneza msumari wa mwisho!

    Bila shaka huko aliko Mwenyekiti Mbowe anauma mdomo na kugonga meza kwa maboko anayotoa lissu kwenye majukwaa hivi sasa. Mwenendo,kauli na maneno ya lissu kwenye majukwaa mbalimbali yanaashiria ameathirika kisaikolojia na inawezekana ana magonjwa mawili kati ya haya.... 1-PTSD 2-BDD magonjwa...
  13. R

    Mbowe haondoki kwenye Uenyekiti mpaka tupate Katiba Mpya na Tume huru

    Nakazia tu alichokisema mtu humu JF, kama Kitila na Zitto Kabwe wangelifanikwa kumng'oa Mbowe kwenye uenyekiti, CHADEMA lingekuwa Tawi la CCM. Rabbon Kwa muktadha huo, Mbowe haondoki kwenye uenyekiti mpaka tupate katiba Mpya na Tume huru! Take Note: Wenye uwezo CHADEMA ni wengi. Lissu, Heche...
  14. Sikilizeni CHADEMA hakuna aliewakataza kushiriki katika michezo

    Friends and our Weak Enemies, Husikeni na kichwa Cha habari hapo juu. Siasa za Afrika ni Kwa waafrika, demokrasia ya waafrika ni Kwa waafrika, hawezi kuja muarabu,au muhindi,au mzungu eti aje aseme siasa zetu sisi au demokrasia yetu sisi ifanane na wao la hasha,na ndiyo Kwa maana unaona nchi...
  15. U

    Mkutano wa Freeman Mbowe M/Kiti - CHADEMA Taifa (Nyehunge - Buchosa Sengerema) na Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti kule Chato inatoa ujumbe muhimu sana!

    Nimefuatilia kwenye Online TVs za YouTube mikutano ya CHADEMA leo J'tano ya kuimarisha chama chao waliyoipa jina la Operesheni +255 - Katiba mpya na Okoa bandari zetu.. Leo Freeman Mbowe, Mwenyekiti Taifa (CHADEMA) amehitimishia mikutano yake mji mdogo wa Nyehunge Jimbo la Buchosa Wilaya ya...
  16. R

    Mbowe aendesha zoezi la kupiga kura ya wazi juu ya hoja ya Bandari akiwa Nyehunge Geita

    Baada ya zoezi Hilo la kupiga kura ya WAZI, Matokeo ni kuwa, Wananchi wote wameazimia Kwa pamoja kuwa Bandari zetu haziuzwi, hazikodishwi Wala kugawiwa Bure. Pia wananchi wameweka mikono kichwani na kupiga ukunga/nduru na kulia uwi! Hii ni Ishara kuwa, wananchi wanachukizwa na jaribio lenye...
  17. Mbowe, kama ubia ni kuuza waondoe Protea Hotel kwenye uendelezaji, uboreshaji, na uendeshaji wa hotel yenu ya Aishi Machame

    Protea Hotel Aishi Machame ni hotel inayo milikiwa kwa urithi na Freem A. Mbowe. Kwa ushauri wa mtu ambaye si busara kumtaja hapa, Mbowe aliwapa Protea Hotel waiiendeshe ikiwemo na maana watumie brand yao kumtafutia wateja kwa ujira wa mrahaba wa mapato. Kwa vile Mbowe anajua faida ya kuwa...
  18. M

    Mheshimiwa Mbowe, mbona ajenda ya bandari na katiba mpya umeiacha kwenye mkutano wako huko Mutukula?

    Mheshimiwa Mbowe nimefualtilia kwa makini mkutano wako siku ya leo huko Mutukula mkoani Kagera ambapo chama kina operesheni ya +255 Katiba mpya + Okoa bandari zetu. Lakini nimeshangazwa na hotuba yako nzima hukugusia kabisa suala la bandari wala katiba mpya nikashangazwa sana. Iweje Mwenyekiti...
  19. P

    SI KWELI Nyerere ni baba mzazi wa Freeman Mbowe

    Wakuu kwema? Kuna sehemu nilisikia wana wanasema hili kuhusu Mbowe kuwa na uhusiano wa damu na Hayati Mwl. Julius Nyerere, wakawa wanasema hata jinsi Mbowe alivyofanana na Nyerere kwamba kuna uhusiano zaidi ya familia zao kuwa marafiki lakini kweli ni kwamba Mbowe ni mtoto wa Nyerere. Eti...
  20. J

    Je, Freeman Mbowe ni Presidential material?

    Nimepitia hotuba zake za kampeni mwaka 2005 wakati anagombea urais na kushuhudia madini na mipango mbadala ya maendeleo aliyoinadi. Nabaki najiuliza ilikuwaje akarudi tena kugombea ubunge wakati hiyo level alishaipita? Au yeye binafsi alivipima viatu vya Rais akaona havimtoshi? Mungu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…