Kwanini CHADEMA tu inakomaliwa kuandaa uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa?

Wangari Maathai

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
34,962
70,472
Mwenyekiti wa vijana wa Chadema (BAVICHA) ndugu Ole Sosopi amesema anashangaa Serikali imemkomalia Mbowe tu kuandaa uchaguzi wa mwenyekiti mpya wa Chadema..amehoji yafuatayo;

Je, mbona chama cha Cuf mwenyekiti wake ni Lipumba ana miaka dahari yuko pale??
Je, mbona NCCR mwenyekiti wake (Mbatia) ana miaka kibao hapo hammsumbui??
Je, Mbona Cheyo na lichama lake mpaka leo anajulikana ni mwenyekiti? kwanini CHADEMA?

Kwanini Chadema tu?
inakera sana!

Why Mbowe?

----
Pia soma

Hivyo vyama vinafanya uchaguzi wa ndani mara kwa mara kwa kuzingatia katiba zao tofauti na CHADEMA!
 
Katibu mkuu wa vijana wa Chadema (BAVICHA) ndugu Ole Sosopi amesema anashangaa Serikali imemkomalia Mbowe tu kuandaa uchaguzi wa mwenyekiti mpya wa Chadema..amehoji yafuatayo;

Je, mbona chama cha Cuf mwenyekiti wake ni Lipumba ana miaka dahari yuko pale??
Je, mbona NCCR mwenyekiti wake (Mbatia) ana miaka kibao hapo hammsumbui??
Je, Mbona Cheyo na lichama lake mpaka leo anajulikana ni mwenyekiti? kwanini CHADEMA?

Kwanini Chadema tu?
inakera sana!

Why Mbowe?

----
Pia soma

Mbowe ndo mwanaume waliomshindwa..

Wanatamani siku atakapoachia kiti waiweke chadema mfukoni.
 
Katibu mkuu wa vijana wa Chadema (BAVICHA) ndugu Ole Sosopi amesema anashangaa Serikali imemkomalia Mbowe tu kuandaa uchaguzi wa mwenyekiti mpya wa Chadema..amehoji yafuatayo;

Je, mbona chama cha Cuf mwenyekiti wake ni Lipumba ana miaka dahari yuko pale??
Je, mbona NCCR mwenyekiti wake (Mbatia) ana miaka kibao hapo hammsumbui??
Je, Mbona Cheyo na lichama lake mpaka leo anajulikana ni mwenyekiti? kwanini CHADEMA?

Kwanini Chadema tu?
inakera sana!

Why Mbowe?

----
Pia soma

Hata yule wa chapa ya jogoo Magomeni Usalama ni wa muyaya
 
Back
Top Bottom