Kutohudhuria bungeni kumemkosesha Mbowe safari muhimu ya kuongozana na Waziri Mkuu na Spika kuongea na wasanii Dar

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,744
141,608
Msafara ulioondoka bungeni jijini Dodoma ambapo Kiongozi wa Upinzani bungeni hakuonekana uliwajumuisha Waziri mkuu mh Majaliwa, Spika wa bunge mh Ndugai, Waziri Mwakyembe na mbunge Musukuma.

Kadhalika safari hiyo ilimuhusisha pia Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru ambaye aliomba kujumuika nao kama mdau wa sanaa.

Viongozi hao walikuja kwa dharura jijini Dsm kujumuika na wasanii katika Kongamano la mwalimu Nyerere.

KUB Mbowe asiache kutumia fursa kama hizi kwani yeye ni miongoni mwa viongozi wakuu watatu pale bungeni.
Kadhalika Chadema ina wabunge maarufu kama Sugu na Prof Jay ambao ni wasanii, pia imewahi kuwa na wanachama wasanii maarufu kama Wema Sepetu na aunty Ezekiel.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kuwa Waziri Mkuu, Rais, Spika and the like siyo kuwa na akili. Kwa Afrika, even na Marekani ( Trump, a bad example USA has find itself engulfed in) ni "NGEKEWA" by Halima Mdee- kuna watu IQ yao is so low epuka kuongozana nao!
 
B739E039-38F9-4414-A9D6-9F95F7E6CC6A.jpeg
 
Safari ya ccm comreds ulitaka Mbowe aende kuongea nao nini? Mh. Mbowe yuko busy na kezi za kubambikiwa na mambo mengine ya muhimu kwa watanzania.
 
Mbowe aliyelamab zero shule na hao nani anaakili slow

State agent
Kuwa Waziri Mkuu, Rais, Spika and the like siyo kuwa na akili. Kwa Afrika, even na Marekani ( Trump, a bad example USA has find itself engulfed in) ni "NGEKEWA" by Halima Mdee- kuna watu IQ yao is so low epuka kuongozana nao!
 
Msafara ulioondoka bungeni jijini Dodoma ambapo Kiongozi wa Upinzani bungeni hakuonekana uliwajumuisha Waziri mkuu mh Majaliwa, Spika wa bunge mh Ndugai, Waziri Mwakyembe na mbunge Musukuma.

Kadhalika safari hiyo ilimuhusisha pia Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru ambaye aliomba kujumuika nao kama mdau wa sanaa.

Viongozi hao walikuja kwa dharura jijini Dsm kujumuika na wasanii katika Kongamano la mwalimu Nyerere.

KUB Mbowe asiache kutumia fursa kama hizi kwani yeye ni miongoni mwa viongozi wakuu watatu pale bungeni.
Kadhalika Chadema ina wabunge maarufu kama Sugu na Prof Jay ambao ni wasanii, pia imewahi kuwa na wanachama wasanii maarufu kama Wema Sepetu na aunty Ezekiel.

Maendeleo hayana vyama!
Angeteuliwa Mrema awakilishe upinzani Mbowe alikuwa Mahakama ya Kisutu
 
Back
Top Bottom