Frediluu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 1,075
- 266
Uchaguzi wa CDM upo karibuni na kuna wanodai eti Mbowe apishe damu mpya, labda sawa na labda si sawa maana ni miaka 10 tu tangu awe mwenyekiti.
Uchaguzi nkuu nao upo karibuni kwa mujibu wa muhula na kuna wanodai eti CCM ipishe damu mpya maana imezeeka, miaka 54 au zaidi hivi,
Sasa katu yao yupi anastahili kikombe hiki akinywee????
Naomba kutoa hoja