mbowe

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ngome ya upinzani itaendelea kubaki Kaskazini watakaobadilika ni viongozi na vyama tu, alianza Mrema, Mbowe na sasa Mbatia

    Katika hili ni lazima niwapongeze wanakaskazini kwa sababu wanajitambua tofauti na wanakusini. Wengi waliamini baada ya Chadema kuishiwa " mipango " basi ACT wazalendo watakuwa chama kikuu cha upinzani, hata mimi awali niliamini hivyo kumbe siyo. Ngome ya upinzani ni Kaskazini ndio maana...
  2. JamiiForums Tanzania Dodoma: Pamoja na katazo la Kiongozi wao, Wabunge kadhaa wa CHADEMA wakiwemo Silinde na Lijualikali wahudhuria bungeni

    Wabunge wawili wa Chadema, David Silende (Momba) na Peter Lijualikali (Kilombero) wamehudhuria bungeni leo licha ya chama chao kuwataka wabunge wake kutohudhuria vikao vya Bunge ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona Mbunge wa Kilombero (Chadema), Peter Lijualikali, Hivi karibuni...
  3. JamiiForums Tanzania Pole mwenyekiti wetu Mbowe, sikufundishi kazi ila ujue kazi hii ni yetu wote

    Salaam Mwenyekiti wangu.. Leo Tarehe 5April Najaribu Kuvaa kiatu chako Kwa mtazamo wa Kila kitu Najua Uko kwenye wakati Mgumu Unajipa Mtima wa kusonga Mbele Labda maisha Yatapata Direction. Nimepitia mitandaoni, majukwaa mengi ya Kijamii NIMESOMA Comments kwenye posts mbalimbali hasa zinazo...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe ameathirika na " Hofu" baada ya kijana wake kupambana na Corona lakini CHADEMA ni kubwa kuliko familia

    Binafsi nakubaliana kabisa na wabunge wa CHADEMA kujiweka katika karantini kwa sababu hiyo ni haki yao ya kikatiba ya kulinda uhai. Kilichonishangaza kidogo ni namna Chadema inavyofanya maamuzi bila vikao rasmi vya kikatiba kuketi. Kwa mfano wabunge wa chama kutoingia bungeni ni muhimu wakapata...
  5. JamiiForums Tanzania Mbowe: Nimewasikiliza Rais Magufuli na Spika Job Ndugai. Nimesikitika, tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote

    “[Nimewasikiliza Wah Rais JPM na Spika Job Ndugai. Nimesikitika! Tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote! Ni maisha yetu. Viongozi wetu waelewe: Hatuhitaji kibali chao kufa. Kuishi ni haki yetu. Tukumbuke: Tujilinde. Tuliowategemea wako likizo na Corona sio siasa.” Amesema...
  6. JamiiForums Tanzania Mhe. Mbowe, hongera sana. You are the best; ila acha uongo, uzushi na uchochezi. Kati yako na serikali nani mkweli? Vifo ni 16 tu

    Wanabodi, Miongoni mwa udhaifu mkubwa kabisa wa mainstream media zetu zote za Tanzania, si TV, Redio, wala Magazeti, hatuna kitu kinachoitwa "News Analysis", yaani uchambuzi wa habari, viongozi wetu wakihutubia, media inaripoti wamesema nini, the story ends there! Hakuna any news analysis ya...
  7. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atoa salamu za Mei Mosi kwa wafanyakazi wa Tanzania

  8. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM mbona mnafeli sana kwa Mbowe?

    Kwa hali ilivyo ni dhahiri bunge hili la mwisho la Ndugai, bila kupenda litakuwa linajadili hotuba ya jana ya Mbowe kuhusu Corona hadi litakapovunjwa rasmi 30/6/2020 Wabunge wa CCM mara nyingi wamekuwa na udhaifu wa kutegeka kirahisi na mitego ya Mbowe na hili halina afya kwa bunge, chama wala...
  9. JamiiForums Tanzania RPC Muroto: Tulizuia Mkutano wa Mbowe ili kumlinda na maambukizi ya COVID-19

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto, amesema kuwa jana walizuia mkutano wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kwa lengo la kumlinda yeye pamoja na waandishi, kutopata maambukizi ya COVID-19 na kwamba kama alikuwa na jambo basi angeenda kulisemea Bungeni. Pia soma > Polisi Dodoma...
  10. JamiiForums Tanzania Polisi Dodoma wawakamata na kuzuia mkutano wa Waandishi wa Habari na Mwenyekiti wa CHADEMA - Mbowe

    Muda huu hapa ofisi ya Chadema kamda ya kati Dodoma... polisi wamezuia viongozi wote wa Chadema na kufunga ofisi yetu... Hii yote ni kuhofia press conference ya Mwenyekiti tu. Jana nilikua naangalia documentary ya Mobutu Seseseko. Tuko kwenye kipindi kibaya sana. John Heche on Twitter
  11. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kuunguruma Dodoma. Mazito kuibuliwa, msihofu kuhusu corona Tahadhari zote zimechukuliwa

    Kila mmoja atege sikio lake , hamtajuta .
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe tafadhali tembelea kituo cha Karantini Horohoro Tanga na ikikupendeza wachangie chakula

    Kupitia kituo cha luninga cha ITV wameonyeshwa wananchi walio katika kituo cha Karantini katika mpaka wa Horohoro wakilia njaa. Wananchi hao wamedai wanatakiwa kulipa sh 140,000 kila mmoja ili waweze kutunzwa mahali hapo kwa siku 14. Wananchi hao wamedai kuwa wao ni maskini hawana uwezo wa...
  13. JamiiForums Tanzania Mbowe na wenzake wakata rufaa Mahakama Kuu kupinga hukumu iliyowalipisha milioni 350

    Hii ndio taarifa iliyozagaa kwenye viunga vya mahakama leo , kwamba Mh Mbowe na wafungwa wengine wamewasilisha rufaa yao Mahakama Kuu kupinga hukumu ya kinyama waliyopewa na Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu , iliyowakamua shilingi za Kitanzania mil 350 . Kazi imeanza upya . My take : Kuna...
  14. JamiiForums Tanzania Kishindo cha Mbowe chatikisa bunge, Amtaka Waziri mkuu kutoa ufafanuzi juu ya Corona na Tume huru ya uchaguzi

    Mara nyingi sana tumewaasa watu humu jf na kwingineko kwamba usithubutu kushindana na aliyejaaliwa , utaumia ! Watu wengi wamezungumza kuhusu Corona , lakini namna Mh Mbowe alivyouchambua ugonjwa huu ni namna ya kupigiwa mfano , huyu mtu ameshindikana , huyu Mfungwa si wa kawaida . Hakuna...
  15. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aheshimiwe

    Nimekaa na kutafakari sana. Nimemtafakari bwana Freeman Mbowe. Binadamu huyu anatakiwa apewe heshima kubwa sana. Yeye siyo adui wa nchi hii, la hasha! Mbowe ametoka kwenye jamii iliyostaaribika sana. Alichofanya tangu enzi zile mpaka Leo ni kuwafanya watanzania wawaze nje ya box. Kwamba lazima...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ni zaidi ya Dikteta

    Yaani ukitofautiana kidogo tu na Mbowe uje nje. Haya yametokea baada ya kuwaengua wabunge wote wa CUF na James Mbatia katika baraza la mawaziri vivuli bungeni yeye kama mnadhimu mkuu wa kambi rasimi ya upinzani bungeni. Hili limekuja kutokana na kutofautiana kisiasa katika vyama hivi, wakati...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali iifuatilie sana familia ya Mbowe na CHADEMA kuna uhaini kupitia Corona

    Mh. Mbowe (mb) nakiongozi wa upinzani bungeni (kub) wakati mh Rais anatangaza tahadhari ya ugonjwa wa corona, mh mbowe alitangaza kuwa ifikapo tar.4 apr 2020 chama chake kianze mikutano nchi nzima bila kujari zuio hilo. Baada ya mda mfupi kiongozi mwandamizi wa chadema Dar es salaam akatoa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Si tatizo kwa Makonda kumwita Mbowe mwanasiasa uchwara na Zitto mshirikina ikiwa Chadema na Act wanaweza pia kumwita Magufuli hivyohivyo, ndio siasa

    Inaonekana wengi wamekasirishwa au kufedheheshwa sana na kitendo cha Makonda kuwaita Mbowe mwanasiasa uchwara na Zitto mshirikina. Sioni kama hili ni tatizo. Alichofanya Makonda ni kuweka utangulizi au precedent ya aina ya mipasho ya kisiasa unayoweza kufanya kwa kiongozi wa chama cha siasa...
  19. JamiiForums Tanzania Daudi Bashite akipokea taarifa za ugonjwa wa mtoto wa Mbowe

  20. S

    JamiiForums Tanzania Kama Makonda yuko sahihi, basi alichofanya Mbowe hakina tofauti na alichofanya Mandela mwaka 2005 alipomtangaza mwanae muathirika kuokoa wengine

    Nimesema mara kwa mara humu kuwa baadhi ya viongozi tulionao wamenyimwa maarifa ili kwa kauli na matendo yao, wajiumbue na hatimae waanguke wao na chama chao. Kutokana na wao kukosa maarifa,matokeo yake wanafanya mambo ambayo mwisho wa siku yanawagharimu wao kama wao na wakati huo huo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…