johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kwa hali ilivyo ni dhahiri bunge hili la mwisho la Ndugai, bila kupenda litakuwa linajadili hotuba ya jana ya Mbowe kuhusu Corona hadi litakapovunjwa rasmi 30/6/2020
Wabunge wa CCM mara nyingi wamekuwa na udhaifu wa kutegeka kirahisi na mitego ya Mbowe na hili halina afya kwa bunge, chama wala mbunge mwenyewe binafsi bali ni kumpa KIKI huyo Mbowe.
Kwanini umjadili Mbowe wakati kuna mambo mengi ya msingi ya kujadili na muda wenyewe ni mchache?
Mwacheni Mbowe na pumba zake nyie fanyeni kazi tuliyowatuma, kumpayukia huyo Mbowe hakuna msaada wowote wa wewe kurudi bungeni October.
Maendeleo hayana vyama!