Mbowe hawezi ongoza watu wenye Akili. Tuambiane ukweli

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
1,694
3,982
Jamaa si smart kichwanj na hana kabisa kariba ha Uongozi.ndo maana kuna watu wenye akili CDM wameamua kujinyamazia tu maana wanaona kabisa jamaa hamna kitu.

Wengine wameamua kutojihusisha na siasa. Akina Prof Safari. Sababu Mbowe ana uwezo wa kuongoza vijana wahuni wahuni tu kama akina Mdude Nyagali n.k

Nambie watu wazima walioko Chadema ambao wanaheshimika katika jamii ni akina nani? Huwezi pata. Utakuta wavuta bangi tu akina xxxxx hao ndo wamejaa.

Watu wenye akili ambao walitakiwa kupata nafasi za maana hawapo badala yake wamepewa nafasi hizo akina ndio mzee.

Unapoona Chadema inazalisha watu kama akina Lijua Kali maaana yake ndo waliomo huo. Siyo leo mnamwona Lijuakali mnamshangaa wakati mmekaa naye miaka mitano huko kwenu.
 
Alikuwa DC na kabla ya hapo alitolekea UVCCM hapo hapo Arusha.
Ni mhuni aliebahatika tu lakini kachezea bahati.
 
Jamaa si smart kichwanj na hana kabisa kariba ha Uongozi.ndo maana kuna watu wenye akili CDM wameamua kujinyamazia tu maana wanaona kabisa jamaa hamna kitu.

Wengine wameamua kutojihusisha na siasa. Akina Prof Safari. Sababu Mbowe ana uwezo wa kuongoza vijana wahuni wahuni tu kama akina Mdude Nyagali n.k

Nambie watu wazima walioko Chadema ambao wanaheshimika katika jamii ni akina nani? Huwezi pata. Utakuta wavuta bangi tu akina xxxxx hao ndo wamejaa.

Watu wenye akili ambao walitakiwa kupata nafasi za maana hawapo badala yake wamepewa nafasi hizo akina ndio mzee.

Unapoona Chadema inazalisha watu kama akina Lijua Kali maaana yake ndo waliomo huo. Siyo leo mnamwona Lijuakali mnamshangaa wakati mmekaa naye miaka mitano huko kwenu.
Msalie mtume
 
Wengi wa waliotoka Chadema magu kawapa nafasi kubwa kaacha alionao ccm means mbowe aliwajenga vizuri kisiasa lakini pia chadema kaiongoza muda mrefu na haitetereki ndo maana inawatoa jasho ccm kila uchao mnaiundia zengwe na mbowe vituko mlivomfanyia bado yupo imara we ndo mhuni tu
 
Wengi huko ni "Nusu Kaputi" ni ngumu mno kwa mwenye kutumia akili sawasawa kuendana nao.

Isitoshe Mbowe yupo hostile mno kwa wanaomzidi uwezo wa kufikiri.
 
Member wa kale ka-kikundi; Mbowe huchaguliwa kwa kura na wajumbe sasa itabidi uwatafute wajinga wenzako uwaambie Mbowe ni muhuni kwani wale wanaomchagua wote ni wahuni pia?
 
Jamaa si smart kichwanj na hana kabisa kariba ha Uongozi.ndo maana kuna watu wenye akili CDM wameamua kujinyamazia tu maana wanaona kabisa jamaa hamna kitu.

Wengine wameamua kutojihusisha na siasa. Akina Prof Safari. Sababu Mbowe ana uwezo wa kuongoza vijana wahuni wahuni tu kama akina Mdude Nyagali n.k

Nambie watu wazima walioko Chadema ambao wanaheshimika katika jamii ni akina nani? Huwezi pata. Utakuta wavuta bangi tu akina xxxxx hao ndo wamejaa.

Watu wenye akili ambao walitakiwa kupata nafasi za maana hawapo badala yake wamepewa nafasi hizo akina ndio mzee.

Unapoona Chadema inazalisha watu kama akina Lijua Kali maaana yake ndo waliomo huo. Siyo leo mnamwona Lijuakali mnamshangaa wakati mmekaa naye miaka mitano huko kwenu.
Ahaaa! dogo una hasira!!, kunywa Maji hivi gambo,sabaya, makonda, milinga, msukuma, lusinde, mwigulu,kigwNgala, Hawa wapuuzi wako chama gani?
 
Wengi huko ni "Nusu Kaputi" ni ngumu mno kwa mwenye kutumia akili sawasawa kuendana nao.

Isitoshe Mbowe yupo hostile mno kwa wanaomzidi uwezo wa kufikiri.
Ilikuwaje jiwe kamfukuza uanachama mh. membe si anaogopa wenye akili kumzidi wasichukue fomu
 
Hizo akili Membe kazipata wapi?

Angekuwa nazo angepeperusha bendera ya CCM 2015 kipindi Jiwe hana hata mamlaka ya kufukuza mtu CCM.
 
Jamaa si smart kichwanj na hana kabisa kariba ha Uongozi.ndo maana kuna watu wenye akili CDM wameamua kujinyamazia tu maana wanaona kabisa jamaa hamna kitu.

Wengine wameamua kutojihusisha na siasa. Akina Prof Safari. Sababu Mbowe ana uwezo wa kuongoza vijana wahuni wahuni tu kama akina Mdude Nyagali n.k

Nambie watu wazima walioko Chadema ambao wanaheshimika katika jamii ni akina nani? Huwezi pata. Utakuta wavuta bangi tu akina xxxxx hao ndo wamejaa.

Watu wenye akili ambao walitakiwa kupata nafasi za maana hawapo badala yake wamepewa nafasi hizo akina ndio mzee.

Unapoona Chadema inazalisha watu kama akina Lijua Kali maaana yake ndo waliomo huo. Siyo leo mnamwona Lijuakali mnamshangaa wakati mmekaa naye miaka mitano huko kwenu.
Kwani yesu wa CCM anaongoza watu wenye akili kichwani!! Haiwezeni mtu start aongozwe kutokana na mood ya mwenyekiti.

Siku akiamka na mood nzuri mambo fresh ila siku akiamka moodless ni kupigwa vibao na kupewa sumu kwa lazima mfano alichofanywa Philip Mangula.

Chama kimejaa mazezeta tu na walamba miguu watawala, et mwenyekiti akiamka vibaya anaweza akawakata wanachama wanaogombea nafasi anuai za uongozi bila kufata kanuni na taratibu halafu anaona ni fahari mpaka anajisifu kwenye vyombo vya habari!.

Je hiyo ndio demokrasia ya kweli mnayojisia CCM? very stupid!!.

Hii inamaanisha hakuna demokrasia, misingi na kanuni za kiuongozi ndani ya CCM na chama kinaongozwa na mood na fikra za mwenyekiti, zidumu fikra za mwenyekiti!.
 
Ilikuwaje jiwe kamfukuza uanachama mh. membe si anaogopa wenye akili kumzidi wasichukue fomu
Unazungumzia mhujumu uchumi Membe. kashfa ya kukamatwa sanduku la pesa Dodoma mchakato wa Urais 2015 ndani ya ÇCM unalikumbuka? Magufuli halei uozo.
 
Jamaa si smart kichwanj na hana kabisa kariba ha Uongozi.ndo maana kuna watu wenye akili CDM wameamua kujinyamazia tu maana wanaona kabisa jamaa hamna kitu.

Wengine wameamua kutojihusisha na siasa. Akina Prof Safari. Sababu Mbowe ana uwezo wa kuongoza vijana wahuni wahuni tu kama akina Mdude Nyagali n.k

Nambie watu wazima walioko Chadema ambao wanaheshimika katika jamii ni akina nani? Huwezi pata. Utakuta wavuta bangi tu akina xxxxx hao ndo wamejaa.

Watu wenye akili ambao walitakiwa kupata nafasi za maana hawapo badala yake wamepewa nafasi hizo akina ndio mzee.

Unapoona Chadema inazalisha watu kama akina Lijua Kali maaana yake ndo waliomo huo. Siyo leo mnamwona Lijuakali mnamshangaa wakati mmekaa naye miaka mitano huko kwenu.
Mnamuonaje yule dikteta wenu anayewalazimisha kumwabudu ambaye anafanya mambo kishamba kutegemea ameamkaje siku hiyo.
 
Jamaa si smart kichwanj na hana kabisa kariba ha Uongozi.ndo maana kuna watu wenye akili CDM wameamua kujinyamazia tu maana wanaona kabisa jamaa hamna kitu.

Wengine wameamua kutojihusisha na siasa. Akina Prof Safari. Sababu Mbowe ana uwezo wa kuongoza vijana wahuni wahuni tu kama akina Mdude Nyagali n.k

Nambie watu wazima walioko Chadema ambao wanaheshimika katika jamii ni akina nani? Huwezi pata. Utakuta wavuta bangi tu akina xxxxx hao ndo wamejaa.

Watu wenye akili ambao walitakiwa kupata nafasi za maana hawapo badala yake wamepewa nafasi hizo akina ndio mzee.

Unapoona Chadema inazalisha watu kama akina Lijua Kali maaana yake ndo waliomo huo. Siyo leo mnamwona Lijuakali mnamshangaa wakati mmekaa naye miaka mitano huko kwenu.
Baba yako yupo CHADEMA sijui na yeye unamweka kwenye kundi gani
 
Kwani yesu wa CCM anaongoza watu wenye akili kichwani!! Haiwezeni mtu start aongozwe kutokana na mood ya mwenyekiti.

Siku akiamka na mood nzuri mambo fresh ila siku akiamka moodless ni kupigwa vibao na kupewa sumu kwa lazima mfano alichofanywa Philip Mangula.

Chama kimejaa mazezeta tu na walamba miguu watawala, et mwenyekiti akiamka vibaya anaweza akawakata wanachama wanaogombea nafasi anuai za uongozi bila kufata kanuni na taratibu halafu anaona ni fahari mpaka anajisifu kwenye vyombo vya habari!.

Je hiyo ndio demokrasia ya kweli mnayojisia CCM? very stupid!!.

Hii inamaanisha hakuna demokrasia, misingi na kanuni za kiuongozi ndani ya CCM na chama kinaongozwa na mood na fikra za mwenyekiti, zidumu fikra za mwenyekiti!.
Kauli aliyoitoa imesikitisha wengi
 
Mkiti wetu atabaki Mbowe nyie semeni tu lakini Uenyekiti wa chama tunamutaka tu yeye akae mpaka azeeke. Lakini uchaguzi tutakuwa tunafanya haina shida hiyo na tunamurudisha yeye .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom