IGP Sirro: Faili la Lissu halitafungwa. Akirudi tu, tunamkaba kwa ajili ya upelelezi

Kawe Alumni

JF-Expert Member
Mar 20, 2019
8,685
11,988
Amesema hata akae miaka mingapi huko akirudi watamdaka tu ili wapate chochote kitakachowasaidia kwenye malalamiko yake

Amesisisitiza na mtu akisema uwongo anasukumwa ndani

Maoni yangu: Kwanini lissu amemficha dereva wake wanaficha nini?
 
Huo ndio utaratibu kwa sababu kuna watu walitaka kumuua. TL kama mwanasheria analifahamu hilo hata waliomuwekea dhamana kawakimbia. Just imagine inamuwekea dhamana then unapata matatizo, uzuri wameondoa zile dhamana. Hivi vyama vya mfukoni ooops vyama vya Ukoo oops ni SACOS ina shida inamtajirisha Mbowe na familia yake pekee..
 
Akili za mataga
 
Kwa hiyo alieshambuliwa anageuka kua mhalifu? 🙆🏿🤷🏿
Eti mtu aliyepigwa risasi 16 anaambiwa na polisi kuwa wanamtafuta wamkabe !
Ni dhahiri Sirro anamtisha Lissu ili asije nchini hawamtaki Lissu kwenye hii ardhi kwa sababu amewazidi nguvu.
tapatalk_1583005154747.jpeg
 
Tindu lissu aliingia kichwa kichwa kwenye siasa anajuta sasa
Huo ndio utaratibu kwa sababu kuna watu walitaka kumuua. TL kama mwanasheria analifahamu hilo hata waliomuwekea dhamana kawakimbia. Just imagine inamuwekea dhamana then unapata matatizo, uzuri wameondoa zile dhamana. Hivi vyama vya mfukoni ooops vyama vya Ukoo oops ni SACOS ina shida inamtajirisha Mbowe na familia yake pekee..
 
Amesema hata akae miaka mingapi huko akirudi watamdaka tu ili wapate chochote kitakachowasaidia kwenye malalamiko yake
Amesisisitiza na mtu akisema uwongo anasukumwa ndani

Maoni yangu: Kwanini lissu amemficha dereva wake wanaficha nini?
Kama hata upelelezi wa kushambuliwa kwa Mbowe hakna taarifa itakuwa ya Lissu miaka mtatu nyuma?
 
Back
Top Bottom