John Heche anastahili kuwa Mwenyekiti ajaye baada ya Kamanda Mbowe

Huyu Hecehe alitakiwa kwanza ndo awe either Katibu Mkuu wa CHADEMA au hata Mwenyekiti Taifa. Nashindwa kuelewa kwanini watu sahihi kama hawa hapatiwi nafasi.

Safu ya uongozi wa Chadema ingekuwa John Heche, Godbless Lema na Tundu lissu katika topest positions za chama, hakika ikulu ingekuwa saa mbili asubuhi.
 
Huyu Mkurya anajielewa sana, na ana msimamo thabiti kabisa

Msikilize


As if ulikuwa akilini mwangu.Naomba hata vikao vya mchujo aongoze yeye.Mbowe amevusha Chama kwenye uchaguzi wa ndani naamini ni wakati muafaka gia ibadilike tupate tone ya Kikurya kidogo.
 
Back
Top Bottom