Tundu Lissu: Kituo kinachofuata ni Jimbo la Hai, Mbowe awahi kumpokea

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,692
218,210
Instagram media - CD1UytppVae ( 638 X 640 ).jpg

Endeleeni kutufuatilia kupitia hapa hapa JF ili kujipatia taarifa za uhakika bila kuchuja chochote .

Jingine la kufurahisha ni kwamba Mwamba Mbowe tayari kishatua Hai ili kuandaa mazingira salama ya ujio wa Game changer Tundu Lissu
FB_IMG_1595009729173.jpg
 
Endeleeni kutufuatilia kupitia hapa hapa JF ili kujipatia taarifa za uhakika bila kuchuja chochote .

Jingine la kufurahisha ni kwamba Mwamba Mbowe tayari kishatua Hai ili kuandaa mazingira salama ya ujio wa Game changer Tundu Lissu
Naona Mbowe kazungukwa na mabaunsa yamejazia, Ile siku alivyodondoka kwenye ngazi mabaunsa walikuwa wapi?
 
Kumekucha.......

Watu wa Lumumba hawaamini macho yao ya kinachoendelea nchini, jinsi huyu shujaa Lissu namna anavyochanja mbuga!
Siwezi Kumuandamine Lissu KATIKA race hii...ninamuona km mshindani aliyejipanga kujihakikishia KUNDI LA KURA ZAKE halimgeuki.......

Sisi tunaendelea kumtafutia KURA mh.Mafufuli kwani mitambo ilishazinduliwa.....

CCM Tena.
 
Ni vizuri mukijisikia furaha.. ya wananchi.. munaowaomba mapema wajitokeze.. kuja kuwaangalia.. munafafanaje na kusikiliza mipasho na lialia kisa mabeberu.. hawajapewa nafasi awamu hii.. furahini matembezi yenu.. futi sita..😃😃😃

Maamuzi ni kura.. na kura zao kwa sera zake nzuri na tunazotaka wananchi.. zinakwenda kwa

Magufuli 2020💯
 
😍😍😍
 
Wale jamaa zangu wa Lumumba sasa nawashauri wafunge macho tu, hatutaki kufokewa JF.
Raha Ya Kampeni buanaah...

We Kuna mtu atawafokea ilihali mna mikomandoo ya kutoka Burundi...loooh mibaba yatisha ileee....
Mbowe KWELI Ni master.....
 
Back
Top Bottom