mbowe

  1. B

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Tanzania yahitaji mabadiliko ya Katiba

    26 May 2021 Nairobi, Kenya MAHOJIANO EXCLUSIVE NA MWANASIASA FREEMAN MBOWE TOKA TANZANIA Maureen Medza akimkaribisha ktk mahojiano exclusive yaliyofanyika kupitia chombo cha media ya Mwanzo TV nchini Kenya akiongea na Freeman Mbowe . Anazungumzia hali ya kisiasa iliyopo nchini Tanzania...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa BAWACHA Rorya ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela

    Mwenyekiti wa BAWACHA Rorya ambaye jana alihudhuria kongamano la CHADEMA leo amehukumiwa kwenda jela mwaka mmoja. Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Mbowe yuko ziarani mkoani Mara. Taarifa rasmi itawajia punde. Kazi Iendelee!
  3. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na Jopo lake Waingia Bunda, aongoza kikao cha Mashauriano

    Mwamba Mbowe ameingia Bunda Mkoani Mara katika Mkakati unaotikisa wa Operesheni Haki , amelakiwa na maelfu ya wanachama na viongozi wa Chadema wa eneo hilo na baadaye akaongoza kikao cha Kimkakati cha mashauriano.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwenye akili timamu atakayemuamini Mbowe na Chadema kuchangia hela? Kwanini hazindui ujenzi Arusha au Moshi?

    Ndugu zangu, Maajabu hayaishi,miaka michache iliyopita Mbowe alinifaika na ongezeko kubwa la ruzuku kila aliposhauriwa ajenge ofisi yeye na wasaidizi wake walitoa maneno makali eti "chama cha siasa sio jengo au nyumba bali ni imani". Makamanda badala ya kuhoji walishangilia kwa furaha...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Aliyevuruga Mahusiano ya Kimataifa ni Hayati Magufuli na CCM huku Rais Samia akiwa msaidizi wake

    Yaelekea Mbowe alitegemea kupata nafuu fulani ya kisiasa kutoka kwa Rais Samia lakini kwa sasa bado iko mbali na taratibu mwenyekiti huyu wa Chadema anaishiwa uvumilivu. Mbowe anaanzisha chokochoko kwa kudai eti Rais Magufuli ( hayati) alivuruga mahusiano ya kimataifa huku Rais Samia akiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Hili la Wachaga kutoajiriwa Serikalini na Taasisi za Umma awamu ya tano, Mbowe anadanganya umma?

    Namnukuu Mbowe ''Miaka mitano ya Hayati Magufuli ilikuwa ni miaka ya mateso kwa watu wa Kaskazini hususan Wachaga, ilifika wakati Magufuli akatoa maagizo ya Wachaga kutoajiriwa Serikalini na kwenye Taasisi za Umma''
  7. M

    JamiiForums Tanzania Maisha yanaenda haraka sana, Mbowe kama anaurudia ufalme wake wa anga

    Juzi juzi kila mtu alishuhudia Mwenyekiti wa Chadema akiwa ameshuswa kutoka angani na muda wake mwingi alikuwa akiumalizia Segerea akitumia ndoo kwa matumizi ya msingi. Mfalme huyu wa anga ambaye alikuwa na uwezo wa kubadirisha gia angani hata malaika walikuwa wanashangaa. Wote tulishuudia...
  8. JamiiForums Tanzania Video: Freeman Mbowe apokelewa kwa kishindo Shinyanga. Shangwe na vigelegele vyarindima

    Ikumbukwe kwamba Leo Mh Mbowe ataongoza kikao cha Kamati ya utendaji ya Kanda ya Serengeti Mjini Shinyanga , Hivi ni vikao vinavyoendelea vya OPERESHENI HAKI vyenye lengo la kudai Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi . Sasa mapokezi yake ndio kama mnavyoona , siongezi chumvi.
  9. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Shinyanga lavamia eneo ambalo Mbowe alipanga kuweka jiwe la msingi wa ofisi ya CHADEMA

    Mapema leo, jeshi la polisi mkoani Shinyanga limevamia katika eneo ambalo Mwenyekiti wa Chama hiko alikuwa aweke jiwe la msingi ili kuzindua ujenzi wa ofisi za CHADEMA. My take: Nyani wapya msitu wa zamani
  10. P

    JamiiForums Tanzania Wakati CCM wakiwa bungeni kupitisha bajeti, CHADEMA wako majimboni kwa mikakati

    Kwa hakika Chama hiki (CHADEMA)kina mipango, mikakati na dhamira ya dhati ya kuchukua dola. Wanajua njia waipitayo. Msimamo wa mwenyekiti Mbowe ni thabiti na haujawahi kuyumba. Wakati CCM wakiwa bungeni kupitisha bajeti, Chadema wako majimboni kwa mikakati madhubuti kidigitali kuipanda Imani...
  11. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ausoma upepo wa CCM

    MWENYEKITI WA CHADEMA, FREEMAN MBOWE AUSOMA UPEPO CCM - Arusha muda huu: "Viongozi wa Chadema waliniambia nina misimamo mikali,nikawaambia kama mnataka misimamo milaini basi naomba nijiuzuru"- Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe. NB: Mbowe anaanza kuenzi Legacy ya JPM. "Makamanda wangu...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Sijipendekezi kwa Rais Samia, ninachotafuta ni haki

    Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mh Freeman Mbowe amesema yeye hajipendekezi kwa Rais wa JMT Mh. Samia bali anachotaka ni kuona HAKI inatamalaki nchini na wananchi wanakuwa na furaha. Mbowe amesema hana sababu ya kujipendekeza kwa sababu CCM inatawala kwa miaka 60 sasa na viongozi wake ni wale wale...
  13. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kuongea na Waandishi wa habari wa ndani na nje ya Nchi

    Hii ndio Taarifa iliyosambazwa mapema leo duniani, Mwamba Mbowe ataongea na wanahabari hao kutokea kwenye Hotel ya Golden Rose Mjini Arusha. Sikio la Dunia nzima limetegwa upande huo ili kujua kitakachozungumzwa. Wote mnakaribishwa. Muhimu: Tufuate mwongozo wa WHO wa kudhibiti Corona...
  14. JamiiForums Tanzania Mbowe: CHADEMA hatutashiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025 (bila Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi)

    Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ameenda kinyume na Lisu kwa kutangaza kuwa Chadema haitashiriki uchaguzi mkuu nchini wa mwaka 2025, hivyo kumpa nafasi rais Samia kuendelea kutawala mpaka 2030. Ikumbukwe mwanzoni mwa mwezi wa tano Tundu Lisu alitangaza kumvaa rais Samia kwenye uchaguzi mkuu...
  15. JamiiForums Tanzania Arusha: Freeman Mbowe avishwa vazi rasmi la kimila la Wamasai na kusimikwa kuwa kiongozi wao

    Kama tulivyoahidi kuwa nanyi bega kwa bega katika kipindi hiki ambacho Chadema imekuja na mkakati mpya wa OPERESHENI HAKI , basi leo tena Tunaendelea kuwapa uhondo na taarifa mbali mbali za yanayoendelea huko Arusha kwenye vikao vinavyoendelea. Mpaka hivi ninavyoandika hapa tayari Mwamba Mbowe...
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA yawasha moto Arusha. Mbowe azindua Mkakati mpya

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , leo kimeanza kupanga mipango mipya ya kukisogeza karibu zaidi na Wananchi , ambapo Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe ameanza kwa kufungua kikao cha Kamati ya Utendaji Mjini Arusha CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE FREEMAN...
  17. J

    JamiiForums Tanzania CCM imebadilisha wenyeviti mara 4 lakini wenzao CUF na Chadema wako wale wale Prof Lipumba na Mbowe

    Kama unataka kujishirikisha na chama kinachoheshimu demokrasia basi nenda CCM na kamwe usiguse CUF, Chadema wala Nccr Mageuzi. Rekodi ya Mbowe na Prof Lipumba kukaa muda mrefu madarakani haijawahi kuwekwa na mwenyekiti yoyote wa chama cha siasa hata Mwalimu Nyerere alikuwa mwenyekiti wa CCM kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Mbowe, Lema, Lissu kwanini hamkemei yanayoendelea nchini?

    Kweli tumefikia hatua ya kupanga foleni kununua umeme? Yaani kwa wakati mmoja mfumo wa TRA unasumbua, mfumo wa bandari unasumbua, mfumo wa LUKU unasumbua na TFF nao wamekula hela za wananchi. Hapa hutaona Lissu, Lema wala Mbowe wakilaani shughuli za wananchi kusimama na kupanga foleni ya...
  19. JamiiForums Tanzania Asante Kijana wetu Sabaya Umetusafishia Wilaya yetu. Tutakukumbuka kwa mema yako yote

    Kila zama na Kitabu chake , na kila linalo kutokea shukuru mungu. Kwa haya yafuatayo tutakukumbuka kwa muda mrefu sana ujao. 1 ) Haki katika kuendesha, kusimamia, kugawa na usambazaji wa maji 2) Jitihada za kutengeneza jamii ya haki. 3) Kurudisha heshima na uwajibikaji wa watumishi wa uma...
  20. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Mtemi mwingine wa kupambana na Mbowe?

    YUKO WAPI MTEMI MWINGINE WA KUPAMBANA NA MBOWE!? Leo 15:15hrs 14/05/2021 Sabaya anaonekana kufanya makosa kwa sababu ya aina za siasa za Arusha, ndio maana juzi kaongea Sabaya hapa Tanzania, akajibu Godbless Lema akiwa Canada, na sababu nyingine ni "spotlight" iliyokuwepo eneo lake la utawala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…